Tetesi: Wapo wapi Lema na Sugu?

Hauna upeo wa Siasa. Lema hamnae tena
Hata Slaa aliondoka, ila leo anataka kutudi kwa mlango wa nyuma. Ukishahama CHADEMA unafulia kisiasa. Kwanza kwa Arusha Lema hawezi kurudi ataenda Jimbo jingine.
 
Nina walaumu wazee wa Chadema kwa kutokamilisha kazinya kuwafundisha vijana wa Chama hicho kujengea hoja. Kuna mapungufu mengi kwenye Ujenzi wa hoja wa Vijana hawa.
Kuna hoja gani iliyoletwa?. Ya mwanaume kutangaza kuwa wanaume wenzake wanagombana. Hiyo sio hoja ni dalili za ushoga.
 
Mnatapatapa Sana. Mara Lema , mara Sugu. Mmeingia kwenye mtego wa kuifatilia CHADEMA kiurahisi.
 
Nyie ndio wale wanafiki, mnaonifanya kujua Jambo kumbe Wala hamjui chochote. Nyie ndio wale mnaoponda mchezaji hajui kucheza wakati hata danadana huwezi kupiga. Kasome katiba ya nchi uniambie tupo kwenye mfumo wa chama kimoja au mfumo wa vyama vingi?.
 
Mapandikizi ya Mfumo ndani ya Chadema hawawezi kuwa Lema wala Lissu

wapo na wataendelea kuwepo ……wao ndio watajifanya ni wana Chadema kuliko Mbowe, watajionesha wanaochukia CCM kuliko wanavyomchukia Shetani

Mpangaji mwenzio anaejifanya hataki kabisa ukaribu na wake wa wapangaji wenzie ndio mpangaji hatare zaid, Maofisni na kwny Siasa watumishi wanaopenda kuonekana wachamungu na wazalendo zaid ndio huwa mafisadi zaid
 
"Nimesema haya najua muda ni mwalimu na mwamuzi mzuri" - Nukuu Hakika! Muda ni mwalimu mzuri sana. Kuna kila aina ya mbinu za kiufundi na propaganda ndani ya michakato na usanii wa kuendesha ajenda za kisiasa.
 
Alipomualika Raisi kwenye birthday yake ya usanii, minilushasema jamaa keshaingia king, hapa Kuna namna🤔
Alimualika Kama Rais sio Mwenyekiti wa CCM . M ona hata CHADEMA walimualika Rais kwenye mkutano wa BAWACHA?. Mbona Leo spana zinaendelea mpaka mmeanza kulia.
 
Uongo.
 
acheni Siasa za kishamba za kuchochea mitafaruku kwny vyama vya Siasa…nyie humu kuna mtu wa kufikia Lema na Sugu kwny kupigania Chadema?!

Vijana wa siku hizi wa ajabu sana…mmekuwa watu wa kuzusha zusha
 
acheni Siasa za kishamba za kuchochea mitafaruku kwny vyama vya Siasa…nyie humu kuna mtu wa kufikia Lema na Sugu kwny kupigania Chadema?!

Vijana wa siku hizi wa ajabu sana…mmekuwa watu wa kuzusha zusha
Hawa vijana wakishashiba bada na tasi basi vidol vikiwawasha wakamata simu wanaropoka tu

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Hizo ni tetesi za kweli, Mbowe Nia yake ni kuwatoa wale ambao ni tishio kwake ili aendelee kuwa chairman of chadema,lisu alimsukia mpango wa kumpiga risasi,chacha wangwe alimwondoa kijanja Kwa Ile ajali,Zitto akamwita msaliti na kadhalika,Hiko ni chama Cha wachaga na wakiristo
 
Imejaa ujinga kwenye Hilo fuvu Kisha unautapika humu! Huu mtazamo wako ni wa kifedhuli Sana wa kutaka wanaosema ukweli waumizwe na huyo makonda wako ndio unamuona mtesaji mzuri eti eeh! Amlete tu akione Cha moto!
 
Na iwe hivyo..kinyume chake ..Kuna shida mahali!
Mboga mboga wana haha...

Sugu yuko Mbeya na Songwe ana piga mikutano usiku na mchana

Lema uta mshuhudia soon Arusha Tanga Moshi na Manyara OP rudisha Bandari

Chadema Taasisi kubwa huko Ngorongoro wenzako wameomba Pooo
 
Kwani dhambi kukaa kwa shemeji bwanaa, wacha nile raha, wivu mpaka kwa shemeji yangu..mbwaa wewe
 
Lema ana ugomvi mkubwa sana na viongozi wake ndani ya chama
Wee ni mpumbavu sana, yaani unaandika Kwa kuuliza swali halafu Aya ya pili tu unakua umeshajijibu halafu unaendelea kuandika! Huu ni aina Fulani ya ushoga
 
Soma ulichoandika. Serikali yako juzi imeipigia magoti World Bank waipe dollar, halafu unakuja kupiga kelele kuhusu Lissu. Kama serikali, bunge na mahakama zimetekwa na CCM wananchi wakimbilie wapi?.
Wananchi na nani sema sisi Chadema. Nyinyi ngoja tuwafanye vibaya 2024/2025 ndio mtashikana mashati wanafiki wakubwa nyinyi. Mbona watu hata waliokuwa wanaichukia CCM wanawajuwa nyinyi ndio hamfai hata kuongoza mtaa. JPM aliwajuwa nyinyi mbwaa leo hii mngekuwa vilema wote. Eti Ulaya... nyokooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…