Tetesi: Wapo wapi Lema na Sugu?

Lissu nipewe hata mimi kazi mbona kumaliza kiguru yule kazi ndogo sanaa. Mtu kiguru chini hakufai tena faida yake nini kuishi, Jitu halina thamani yoyote nchi hii kazi nyepesi sana.
 
Imejaa ujinga kwenye Hilo fuvu Kisha unautapika humu! Huu mtazamo wako ni wa kifedhuli Sana wa kutaka wanaosema ukweli waumizwe na huyo makonda wako ndio unamuona mtesaji mzuri eti eeh! Amlete tu akione Cha moto!
Ukweli ni kwako wewe kwa uelewa wako mdogo, kakojoe ulale
 
Mbowe baada ya kutoka gerezani kituo cha kwanza haikuwa kwake wala kwenye makao makuu ya chama chake, wala haikuwa kanisani bali ilikuwa ni state hause,
Unajua mambo yapi aliongea mambo yapi na akina Kikwete, Kinana na Samia?
 
Sugu haonekani kwenye kampeni za chama chake. Lazima kuna shida
Haiwezekani viongozi almost wote wa kamati kuu wako site yeye haonekani kuungana nao kuongeza nguvu
wanamtuhumu ameshaingia makubaliano na serikali upande wa ccm , wanasema anajali zaidi biashara zake za hoteli kuliko chama , na sasa ukiangalia kwa jicho la tatu utamuona Sugu kajitenga na Chadema kimtindo sema hataki iwe visible sana
 
Nchi ina wapumbavu wengi sana hii

View attachment 2744805
Mkutano huu ameufanya baada ya viongozi wenzake kumpigia simu na kumtaka atoe maelezo kwa nini hataki kushiriki siasa za chama chake , na pili angalia na kusikiliza kila neno kwenye mkutano huo alioufanya juzi , hajagusia hata kwa bahati mbaya suala la bandari, ameongelea katiba mpya pekee , nakwambia hivi ndugu Mimba imeshatungwa pale chadema subirin muda sio mrefu kuna kitu kinazaliwa
 
Wafuasi wa vyama vya upinzani vilivyopo leo watakurushia mawe, ila ukweli ni huo mkuu.
Tanzania hakuna upinzani wa Kweli , asilimia 90 ya wapinzani mnaowaamini ni maafisa usalama wa serikali deep very deep under cover ambao kila siku hutoa briefying kwa handlers wao
 
Mbona hamueleweki.... mara hawaonekani kwenye mikutano... sasa hivi mnahamia kwenye nini wanasema!
 
Mbona hamueleweki.... mara hawaonekani kwenye mikutano... sasa hivi mnahamia kwenye nini wanasema!
kuna taarifa zinasema Lema amewataarifu viongozi wake leo Rasmi kwa nini hashiriki siasa za Chama , yeye anasingizia kwamba Jeshi la polisi linatafuta kumkamata kwa kuwa ni mtuhumiwa namba moja wa uendeshaji wa account ya TanzaniaLeaks ya Twitter , niwaambie tu ukweli Chadema , LEMA anasingizia ,ukweli ameshawauza zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…