Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Majanga ni yetu sote na wanaopatwa na majanga siyo watu wa dini flani au kabila flani. Ni kariba zote z viumbe hai.
Natamani kuwakumbusha viongozi wa dini kwamba disaster management and control ni kazi yao ya msingi kabisa. Wanapobaini uwepo wa mifumo inayochagiza majanga wanapaswa kupiga kelele.
Ukimya wao ni wazi kwamba wanakubali kwamba hii siyo kazi yao. Lakini wao ni wafaraji walipaswa kuungana na ndugu na jamaa ambao bado ndugu zao wanatafutwa na kuwafariji.
Niwaombe tu katika mitaala yao ya shughuli za dini wakumbuke kuweka somo lakukakbiliana na majanga
Viongozi wa dini jitokezeni acheni kukaa ofisini hii ni yetu sote.