Wapo wapi viongozi wakuu wa dini kwenye tukio lakuanguka kwa jengo la Kariakoo? Unaridhika na response yao?

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Majanga ni yetu sote na wanaopatwa na majanga siyo watu wa dini flani au kabila flani. Ni kariba zote z viumbe hai.
Natamani kuwakumbusha viongozi wa dini kwamba disaster management and control ni kazi yao ya msingi kabisa. Wanapobaini uwepo wa mifumo inayochagiza majanga wanapaswa kupiga kelele.

Ukimya wao ni wazi kwamba wanakubali kwamba hii siyo kazi yao. Lakini wao ni wafaraji walipaswa kuungana na ndugu na jamaa ambao bado ndugu zao wanatafutwa na kuwafariji.
Niwaombe tu katika mitaala yao ya shughuli za dini wakumbuke kuweka somo lakukakbiliana na majanga

Viongozi wa dini jitokezeni acheni kukaa ofisini hii ni yetu sote.
 
bro hao viongozi wa kidini wanahusikaje hapa? Wao dio wataalamu wa kuokoa? Mbona sie waafrica tuna endekeza sana hawa watu? Kila jambo basi kiongozi wa kidini atoe neno. Acheni kutukuza watu. Hii kazi ni ya waokoaji na serikali peke yake.
 
Majanga ni yetu sote na wanaopatwa na majanga siyo watu wa dini flani au kabila flani. Ni kariba zote z viumbe hai.
Natamani kuwakumbusha viongozi wa dini kwamba disaster management and control ni kazi yao ya msingi kabisa. Wanapobaini uwepo wa mifumo inayochagiza majanga wanapaswa kupiga kelele.

Ukimya wao ni wazi kwamba wanakubali kwamba hii siyo kazi yao. Lakini wao ni wafaraji walipaswa kuungana na ndugu na jamaa ambao bado ndugu zao wanatafutwa na kuwafariji.
Niwaombe tu katika mitaala yao ya shughuli za dini wakumbuke kuweka somo lakukakbiliana na majanga

Viongozi wa dini jitokezeni acheni kukaa ofisini hii ni yetu sote.
Usimjadibu bwana mungu wako..ujenzi wa magorofa kariakoo kwa asillimia kubwa hakuna usalama watu wamekula.milungula tu. Sasa viongozi wa.dini wasemaje?
 
Viongozi wa dini jitokezeni acheni kukaa ofisini hii ni yetu sote.
Umekuwa kama Steve Mengele (zamani akijulikana kama Steve Nyerere) alipohoji kwa nini CHADEMA hawajatoa rambirambi kwenye msiba wa Dida. Yaani mtu anaacha kufanya wajibu wake kwa kadiri awezavyo au alivyojaliwa, anaangalia nani hajafanya kitu fulani!
 
Back
Top Bottom