Wapo watu wanne ndani ya nchi hii wakikuambia jambo nenda katafute ukweli kwingine kabla ya kulichukua kama lilivyo!

Alishikilia hilo jambo utasema kweli tutashtakiwa,huwa nafikiriga huyo jamaa akiwa Rais itakuaje?
Unajua alichofanya Magufuli kisha akarudi kukudanganya?
 
Nnaemwogopa zaidi kumwamini ni mwanasiasa, yeyote aliyepo kwenye hilo kundi simwamini.
 
Ndani ya hii nchi kuna watu wanne ambao wakikwambia jambo basi usilichukue kabla ya kutafuta ukweli wake kwingine.

Watu hao ni
1. Dkt. John Pombe Magufuli.
2. Prof. Palamagamba Kabudi
3. Prof. Joyce Ndalichako
4. Paul Makonda
No. moko muongo mpaka anajisahau, alafu akishajishtukia utasikia (Fulani oyeee huku akijichekesha mwenyewe.......)😂😂😂
 
Jina la pili la Daniel unalijua? Mwandishi wa habari za tukio hilo ni nani kwenye Bible?
Acha kujifanya kubadirisha maelezo kama vile hujaelewa. Kwani mzee alimwongelea mwandishi au alimwongelea aliyetupwa kwenye shimo la simba?
 
Unajua alichofanya Magufuli kisha akarudi kukudanganya?
Mimi siwezi kudanganywa maana siwekagi imani kwa wanasiasa,huwa nawajua si watu wa kuwaamini na nilivyokuwa sina ushabiki wa vyama ndio kabisa hao watu hawanidanganyi.
 
Ndani ya hii nchi kuna watu wanne ambao wakikwambia jambo basi usilichukue kabla ya kutafuta ukweli wake kwingine.

Watu hao ni
1. Dkt. John Pombe Magufuli.
2. Prof. Palamagamba Kabudi
3. Prof. Joyce Ndalichako
4. Paul Makonda
Kabisa tena Mzee wa Bila tashwishwi anaongea jicho kavu limemtoka kama mjusi kabanwa na mlango.
 
Nadhani shida ya Wabongo mnapendelea alternative facts, nina uhakika Magufuli akiquote Bible bado kuna watu wataenda kuhakikisha kama iko sahihi
Yule hata akikwambia ni usiku, wewe toka nje kahakikishe.
 
Aaaa wapi utopolo tupu
 
1: Makonda
2: Peter Msigwa(refer issue ya kinana)
3: Pole pole
4: Mbowe
5: Ali Kiba(kununua airport shinyanga)
 
Ndani ya hii nchi kuna watu wanne ambao wakikwambia jambo basi usilichukue kabla ya kutafuta ukweli wake kwingine.

Watu hao ni
1. Dkt. John Pombe Magufuli.
2. Prof. Palamagamba Kabudi
3. Prof. Joyce Ndalichako
4. Paul Makonda
Polepole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…