Shimbayaane
Member
- Dec 18, 2020
- 45
- 40
Na Dar es salaam nako padri karudisha fileAfadhali sasa sauti zinaanza kupazwa toka kila kona, tuache kuishi kwa kudanganyana kama watoto, kila mmoja popote alipo achukue tahadhari kwa kujilinda yeye na awapendao, Corona ipo na inaua.
Inawezekana kifo cha Padre huko Kagera ndio kimewasukuma TEC kutoa hili tamko, wameona ukimya ungezidi kutuangamiza.
Wanasema Roma Locuta causa finiteNgoja nikufungue macho kidogo, siku zote ukiona kanisa katoliki linatoa kauli ujue hiyo imepita, kwasababu wao ndiyo wanao control mambo mengi hao ni zaidi ya kanisa. Hakuna kiongozi wa kiserekali anaweza kushindana nao.
Kuna taasisi ya kidini yenye hospitali nyingi tanzania kama roman catholic?..... huo ndio usemi wao kuhusu malaria na waraka wao unalenga taifa la Mungu yaani waumini wao inawezekana wewe huko exemptedWao ni Idara ya afya? Wanasemaje pia kuhusu Malaria?
Yashatimia mkuu,Thubutu,atawajibu wengine tu,lakini si (Nasadiki kwa Kanisa moja) Anawajua vizuri sana wale jamaa!
Uliona!?uliskiaShamba???
Hahaa pale hekima ikikosekanaWe waache. Atawajibu tu. Kwamba hawana imani na Mungu wanayemtumikia. Wanatudanganya tu na majoho yao.
NilihisiUliona!?uliskia
Kaka ukilinganisha nchi tafadhali uelewe tofauti iliyopo:Nashukuru mleta hoja umesema kumbe tangu korona iingie Tz sasa ni mwaka unaisha. Pia umesema kuwa wenzetu walichukua tahadhari mapema (mwaka sasa) lakini sisi hatukuchukua tahadhari zao za kujifungia (Lockdown).
Swali ni Je, kama hatukujifungia sasa huu ni mwaka, kuna mtu amebaki tena Tz kweli? Waliojifungia mbona wamekufa ka panzi huku kwetu hao wafu wanaliwa au?? Mbona hatujaona haswa mimi sijawahi ona jirani yangu hata mmoja tu. Ila nimezika wengi wa ajali za baharini na ziwani, ajali za kuungua moto Moro, ajali za kufunikwa udongo machimboni etc. Hao wa korona mnawala?
Acheni kututisha, hameni Tz muende huko wanakovaa barakoa tuone kama hamtakufa. B/up sana mh Rais wetu kwa kututoa hofu. Kihoro cha hofu kingetumaliza. Mnaotaka Lockdown mna zenyu agenda na hapa kwetu hampati nafasi ng'o!!!!!