MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
Sawa nisalimie hapo parokiani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufuli alishasema kuwa hii ni vita ya kiuchumi siyo ugonjwa, mdudu Covido anatumika kama bomu la maangamizi. Sasa wameliboresha na kuanzia afrika kusini lakini kwa afrika halina madhara tuendelee kuchukua tahadhari hii ni vita, tusijisahau kunawa kwa maji tiririka, kunywa maji moto na vyakula vya motomoto, kula matunda, tumia Nimricaf.Piga sala sana kumuomba mungu hizi ndiyo silaha muhimu, mengine porojo tu.Kwani wewe huwezi kuchukua tahadhali mwenyewe mpaka ulazimishwe?
Anza Leo acha kusubili ya kuambiwa
Lockdown haitakiwi kinachotakiwa mamlaka kuweka wazi hili tatizo watu wafuate utaratibu wakujilinda.Mkuu tuache siasa, watz hatujui tunataka nini.
Siku akitangaza lock down nakuhakikishia watapiga kelele mno ooh anataka kuua raia, ooh uchumi utakufa.
Likija swala la siasa huwa nakuwa kimya tu
Mpaka mjitambue, kila famila itakuwa na kilio kutokana na tabia za Jonikov.Kuna Mbwa Mmoja wa Jirani yangu Jonikov Yeye anapenda akibweka tu umuogope na umsifie ila ukimkwaza tu lazima akulipizie bonge la Kisasi.
Ningeona waraka unamaana kama ungesitisha Ibada za makanisa yote ya katoliki nchi nzima kwa muda wa mwaka mzima ( miezi 12) ili kuondoa mikusanyiko isiyokuwa ya lazima. Pia kanisa likataze waumini wao kutotoka nje kwa mwaka mzima wakae ndani tuWakuu
Mimi kama mkatoliki mwenye imani thabiti naahidi kufuata maelekezo ya kanisa na hasa viongozi wangu mapadre na maaskofu waliosema tujikinge kuvaa barakoa, kunawa mikono na sabuni na maji tiririka, kamwe kwenye hili sitowasikiliza wanasiasa au viongozi wa serikali maana sioni kama wanaushauri mzuri juu ya ugonjwa huu
Natoa wito kwa wakatoliki wote tuusome waraka ule kwa umakini na tuhakikishe tunafuata maelekezo ya kanisa takatifu katoliki
Afya ni mali na utailinda mwenyewe na tujikinge huku tukiendelea kuomba.
Inaonekana umezoea vya kunyongwa!Wewe unashindana na nani humu JF!?
Huwa unakimbilia kuanzisha uzi lakini "updates" unaziweka masaa nane baadaye!!
Takatifu kwa kuliona au nn ? MkuuHana ubavu huo! Aanze kwanza na Mabeberu ndipo aje ashindane na Kanisa Takatifu la Mungu.
Ukuee mkuu vitu kama huna chakusem unakaa kimya sio mpka uonekan katika kila.threadJibwa lenyewe nasikia lina blid
Ulaya kunanuka kifo tupu Tanzania ni ile Nchi binadamu alianzia kuishiZanzibar watalii wana kuja kwa wingi na hawataki kurud makwao
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
sheikh Alhad yeye anasemaje katika hili??
Fara wwNingeona waraka unamaana kama ungesitisha Ibada za makanisa yote ya katoliki nchi nzima kwa muda wa mwaka mzima ( miezi 12) ili kuondoa mikusanyiko isiyokuwa ya lazima. Pia kanisa likataze waumini wao kutotoka nje kwa mwaka mzima wakae ndani tu
Nani alikuambia waraka una madhara, akili ndogo, wewe ni mpuuzi kama wapuuzi wengine you always have negative mind, am not TEC neither the government which is responsible.Mkuu Quinine,
Umeleta mbio mbio huu waraka ukitarajia kilichoandikwa kitaiudhi serikali, pole sana...
Nadhani labda kwa kuwa takwimu za ukimwi au hayo maradhi mengine hazitengenezi hofu na taharuki ndio maana wanazitoa.Mkuu nimekuelewa sana, binafsi napingana na serikali inavyowaaminisha watu wake kuwa tz huko hakuna korona, wangekubali kuwa ipo na tunaishi nayo kama tunavyoishi na ukimwi kansa nk, juzi tu tz imetoa takwimu ya wagonjwa wa ukimwi na virusi vya ukimwi kwanini takwimu za korona zinafichwa?
Tofauti ipo kwenye jinsi tunavyo yachukulia hayo magonjwa,yani mfano mtu akiniambia ameshuhudia watu watano waliyokufa kwa corona toka huu mwezi uanze basi itanitia hofu jambo hilo kuliko akiniambia kuwa toka mwezi uanze kuna watu 30 wamekufa kwa malaria sitoshtushwa sana.Unataka linganisha hii na malaria? unawaza kutumia nini?