Waraka kwa Rais Samia kuhusu vilio vyetu sisi Wahandisi tulioajiriwa kama Walimu

Bora nibaki nyumbani, ila ualimu siwezii.
Unaongea hivyo kwa kuwa bado upo Shuleni, ngoja uhitimu uje uone hali ilivyo mtaani. Wakati huo hizo Boom zenu za elfu 10 kwa siku zinapokuwa hazipatikani.

Sisi tulipokuwa Chuo tulimezeshwa eti Engineer bila mshahara wa milioni 1.5 kuendelea hatutafanya kazi. Nakuja mtaani nikakutana na Mshahara kwenye Kampuni moja ya Wahindi shilingi 100,000 kwa wiki ambayo ni sawa na shilingi 400,000 kwa mwezi, Imagine!

Sometimes we learn in hard ways 🙌
 
Yes maslahi Ila pia sio maslahi peke yake, na haki pia
Shida yote hii ni kwa sababu ya maslahi tu hakuna kingine...

Mngekuwa mnalipwa 2M hata bila mikataba msingelalamika...
 
Mkuu una experience

Mitaa imetufundisha Mengi

Lakini Bado tunaimani Mungu atatusaidia na kufikia ndoto zetu
Unaongea hivyo kwa kuwa bado upo Shuleni, ngoja uhitimu uje uone hali ilivyo mtaani. Wakati huo hizo Boom zenu za elfu 10 kwa siku zinapokuwa hazipatikani.

Sisi tulipokuwa Chuo tulimezeshwa eti Engineer bila mshahara wa milioni 1.5 kuendelea hatutafanya kazi. Nakuja mtaani nikakutana na Mshahara kwenye Kampuni moja ya Wahindi shilingi 100,000 kwa wiki ambayo ni sawa na shilingi 400,000 kwa mwezi, Imagine!

Sometimes we learn in hard ways [emoji119]
 
Pole sn wachapakazi wa Taifa. Baada ya pole niseme tu kuwa nyie sio Walimu ktaaluma. Kuwa Mwalimu kitaaluma Kuna kozi zake lazima uzisome km mtaala wa elimu unavyoelekeza. Kwa kutokujua hili ndio maana Kila mtu amekuwa akichukulia hawa ndungu zetu Walimu km watu wa chini na kuwabeza kumbe sio kweli bali ni ukosefu wa elimu kwa watu walio wengi.

Ndio maana huwezi kusoma sheria, habari na utangazaji, maendeleo ya jamii nk ukawa Mwalimu bila kusoma kozi zinazohusiana na ualimu. Hata uwe na PhD huwezi kuajiliwa ualimu.

Tukumbuke kuwa si Kila mtu anaweza kuwa Mwalimu kwa taaluma hata km umesoma vyuo vyote Duniani umemaliza huwezi kuwa Mwalimu hadi usomee kozi za ualimu kwa taaluma. Kuna wachungaji, wafundaji, waelimishaji jamii juu ya jambo flani, Walimu wa madrasa, hawa wote ni Walimu lakini siyo Walimu kitaaluma.

Unakumbuka programme ya huko nyuma ambayo watu waliajiliwa baada ya kusoma vyuo vya ualimu muda wa miezi 3/6 a.k.a voda faster(watu waliwaita hivyo). Hawa mbali na kupata elimu kidogo ya ualimu lakini serikali iliwaamuru wafikapo kazini wahakikishe wanajiendeleza ili kupata Diploma/degrees za ualimu kwa taaluma ndani ya miaka 2 tangu kuajiliwa. Unajua kwa nini serikalini iliweka huo utaratibu. Jibu ni kuwa hao walikuwa hawajawa Walimu kamili na mahili (complete and competent professional teachers).

Serikali iliaamua kuwaajili kipindi hicho kutokana na uhaba wa Walimu shuleni hasa elimu sekondari ambako shule nyingi za kata zilifunguliwa pasipo kuangalia mahitaji ya idadi ya walimu.

Hata nyie serikali iliona Kuna uhaba wa Walimu wa shule za ufundi ikaamua kutumia utaratibu wa huko nyuma wa voda faster ili kutatua hii changamoto, kwamba yeyote aliehitimu uhandisi (engineering) aombe ualimu. Ila ukweli unabaki kuwa huwezi kuwa Mwalimu kwa taaluma km wewe hujasomea ualimu. Mwalimu yeyote awe wa msingi, sekondari, cheti, diploma, au chuo kikuu lazima kasomea kozi za ualimu. Ndio maana laboratory technicians wa sekondari sio Walimu maana hawajasomea kozi za ualimu, wao wanabaki tu km wataalamu wa maabara, sio Walimu kwa taaluma.

Mwisho, nyie nendeni mkasomee kozi za ualimu kitaaluma vinginevyo hamtathibitishwa kazini. Na hilo litakuwa ni balaa kwenu kwani mtakuwa mnafanya kazi lakini kwenye Data base ya waajiliwa serikalini hampo na ukipata tatizo lolote kazini au la kifamilia mtapata tabu. Hata mikopo Bank hamuwezi kupewa maana nyie sio waajiliwa (najua hili ndo limekufanya ulete Uzi hapa jf). Kwa lugha nyingine bado majina yenu yameandikwa kwa chaki muda wowote yatafutika (am just kidding). Km hamtaki kujiendeleza acheni kazi mkasubiri hizo zenu mlizosomea za uinjinia.
 
Kuna vibinti vinasoma sheria viko mwaka wa pili, vilikuwa vinaambiana, "Mwanasheria hutakiwi kutumia Techno wala infinix". Niliviangalia nikasema, hiiiiii bagoshaaaa
 
Shemeji yangu ndo kamaliza sheria,alisota mtaani anajitolea kwenye makampuni bila malipo juzi kuna jamaa kamwambia atamfanyia connection kwenye kampuni moja kuuza bidhaa atalipwa laki tatu,ninavoongea shemeji yupo kwenye maombi angalau apate hiyo kazi
 
Mkuu asante Kwa ushauri wako

Embu fikiria baadhi ya watu wameajiriwa na Diploma za Engineering lakini analipwa mshara wa TGTS C3.

Ana deni la bodi ya mikopo Kwa maana wakati anaajiriwa alikua final year ya Bachelor Degree in Engineering

Amejaribu kupeleka cheti cha Bachelor Degree in Engineering, Maafisa utumishi wanasema system haikubali hadi apeleke cheti cha ualimu Kwa maana bachelor degree in education (yaani akasome tena 3 years Kwa gharama zake)[emoji24]

Ana familia, amepanga nje Kwa mshahara wa around 400K

Mkuu acha tu
Dah!..inatesa sana, poleni, yote ni maisha
 
Masuala ya Utumishi hayaendi kwa utashi wa mtu, kuwa na akili na kama hujui kitu tulia, tumia muda wako kusoma comments za wanaoelewa nawe ujifunze.
Mleta Post nakushauri masuala yafuatayo:

1. Angalia Cheo chako cha muundo ulichoajiriwa, kisha tafuta muundo wa Kada yako uone utaratibu uliowekwa wa kupanda madaraja kutoka ngazi moja na nyingine.

2. Kuthibitishwa kazini (kwa mujibu wa Sheria) ni kuanzia miezi 8 hadi mwaka baada ya kuajiriwa, na pale unapoona hujapewa barua baada ya muda huo kuisha Sheria inaelekeza kwamba wewe tayari unethibitishwa by pressumption.

3. Mwajiri wako alipaswa kukupa barua ya sababu ya kutokukuthibitisha kazini baada ya mwaka kuisha, kama hajafanya hivyo ni kwamba alishakuthibitisha isipokuwa hajakupa barua.

4. Kwenda kusoma postgraduate diploma ya ualimu maana yake unataka uhame kutoka kada ya uhandisi na kuingia kada ya ualimu, ukirejea uajiriwe na uanze upya (kataeni upuuzi huo) na anayewashauri hivi ni Afisa Utumishi asiye na akili au Afisa Elimu wa magumashi.

5. Kwakuwa mna miaka 3 kazini, bado mwaka mmoja tu msitahili kupanda daraja hivyo msipofuatilia haraka mnaweza kupoteza haki zenu kwani hamtakuwa kwenye eligible list kwa ajili ya promo kwenye mfumo wa HCMIS.

6. Mwenye Mamlaka ya Miundo ya Utumishi wa Umma Nchini ni Katibu Mkuu_ Utumishi na ndiye aliyetoa kibali muajiriwe kwa Kada hiyo na kupelekwa Shuleni, ni katika sura hiyo kuwa malalamiko yenu lazima yaelekezwe kwake yakiwa na barua zenu za ajira.

7. OR TAMISEMI ni wizara tumizi, inawatumia Watumishi huku wakiwa si wasimamizi wa Miundo na Mishahara, kwahyo malalamiko yenu mliwasilisha kwa watu wasiojua kitu mathalan ukute ziliangukia idara ya Elimu iliyojaa walimu wenzenu kama mlio nao huko.

8. Poleni, zingatieni taratibu hizo. Barua zote mlizowahi kuandika kwenye mamlaka mlizotaja mzitunze kwa matumizi ya baadaye maana kwenye Utumishi jambo likikaa vibaya kila mtu huruka, ni vyema zaidi kama zilipokelewa kwa Dispatch.

Ahsanteni na karibuni shambani tulime
Mizega.
Anapandaje daraja ikiwa hajathibitishwa kazini lakini pia TSC mpandisha madaraja hamtambui
 
Kuna vibinti vinasoma sheria viko mwaka wa pili, vilikuwa vinaambiana, "Mwanasheria hutakiwi kutumia Techno wala infinix". Niliviangalia nikasema, hiiiiii bagoshaaaa
Hao bado hawajaonja adha ya kujitafutia, seems kila kitu wanahudumiwa na Wazazi, wakihitimu shule na kuanza kuzunguka na bahasha kutafuta ajira ndiyo wataweza kujifunza in hardway
 
Asante Kwa ushauri wako
Pole sn wachapakazi wa Taifa. Baada ya pole niseme tu kuwa nyie sio Walimu ktaaluma. Kuwa Mwalimu kitaaluma Kuna kozi zake lazima uzisome km mtaala wa elimu unavyoelekeza. Kwa kutokujua hili ndio maana Kila mtu amekuwa akichukulia hawa ndungu zetu Walimu km watu wa chini na kuwabeza kumbe sio kweli bali ni ukosefu wa elimu kwa watu walio wengi.

Ndio maana huwezi kusoma sheria, habari na utangazaji, maendeleo ya jamii nk ukawa Mwalimu bila kusoma kozi zinazohusiana na ualimu. Hata uwe na PhD huwezi kuajiliwa ualimu.

Tukumbuke kuwa si Kila mtu anaweza kuwa Mwalimu kwa taaluma hata km umesoma vyuo vyote Duniani umemaliza huwezi kuwa Mwalimu hadi usomee kozi za ualimu kwa taaluma. Kuna wachungaji, wafundaji, waelimishaji jamii juu ya jambo flani, Walimu wa madrasa, hawa wote ni Walimu lakini siyo Walimu kitaaluma.

Unakumbuka programme ya huko nyuma ambayo watu waliajiliwa baada ya kusoma vyuo vya ualimu muda wa miezi 3/6 a.k.a voda faster(watu waliwaita hivyo). Hawa mbali na kupata elimu kidogo ya ualimu lakini serikali iliwaamuru wafikapo kazini wahakikishe wanajiendeleza ili kupata Diploma/degrees za ualimu kwa taaluma ndani ya miaka 2 tangu kuajiliwa. Unajua kwa nini serikalini iliweka huo utaratibu. Jibu ni kuwa hao walikuwa hawajawa Walimu kamili na mahili (complete and competent professional teachers).

Serikali iliaamua kuwaajili kipindi hicho kutokana na uhaba wa Walimu shuleni hasa elimu sekondari ambako shule nyingi za kata zilifunguliwa pasipo kuangalia mahitaji ya idadi ya walimu.

Hata nyie serikali iliona Kuna uhaba wa Walimu wa shule za ufundi ikaamua kutumia utaratibu wa huko nyuma wa voda faster ili kutatua hii changamoto, kwamba yeyote aliehitimu uhandisi (engineering) aombe ualimu. Ila ukweli unabaki kuwa huwezi kuwa Mwalimu kwa taaluma km wewe hujasomea ualimu. Mwalimu yeyote awe wa msingi, sekondari, cheti, diploma, au chuo kikuu lazima kasomea kozi za ualimu. Ndio maana laboratory technicians wa sekondari sio Walimu maana hawajasomea kozi za ualimu, wao wanabaki tu km wataalamu wa maabara, sio Walimu kwa taaluma.

Mwisho, nyie nendeni mkasomee kozi za ualimu kitaaluma vinginevyo hamtathibitishwa kazini. Na hilo litakuwa ni balaa kwenu kwani mtakuwa mnafanya kazi lakini kwenye Data base ya waajiliwa serikalini hampo na ukipata tatizo lolote kazini au la kifamilia mtapata tabu. Hata mikopo Bank hamuwezi kupewa maana nyie sio waajiliwa (najua hili ndo limekufanya ulete Uzi hapa jf). Kwa lugha nyingine bado majina yenu yameandikwa kwa chaki muda wowote yatafutika (am just kidding). Km hamtaki kujiendeleza acheni kazi mkasubiri hizo zenu mlizosomea za uinjinia.
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Kuna vibinti vinasoma sheria viko mwaka wa pili, vilikuwa vinaambiana, "Mwanasheria hutakiwi kutumia Techno wala infinix". Niliviangalia nikasema, hiiiiii bagoshaaaa
 
Unaongea hivyo kwa kuwa bado upo Shuleni, ngoja uhitimu uje uone hali ilivyo mtaani. Wakati huo hizo Boom zenu za elfu 10 kwa siku zinapokuwa hazipatikani.

Sisi tulipokuwa Chuo tulimezeshwa eti Engineer bila mshahara wa milioni 1.5 kuendelea hatutafanya kazi. Nakuja mtaani nikakutana na Mshahara kwenye Kampuni moja ya Wahindi shilingi 100,000 kwa wiki ambayo ni sawa na shilingi 400,000 kwa mwezi, Imagine!

Sometimes we learn in hard ways [emoji119]
Sitaenda ualimu kisa maslahi, sina hobby ya kufundishaa.
 
Kuna vibinti vinasoma sheria viko mwaka wa pili, vilikuwa vinaambiana, "Mwanasheria hutakiwi kutumia Techno wala infinix". Niliviangalia nikasema, hiiiiii bagoshaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah
 
Back
Top Bottom