WARAKA: Maaskofu Katoliki waonya uminywaji wa demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari nchini

Sisi viongozi wetu wa kiislamu ( kasoro sheikh Ponda) sijawai kusikia hata siku moja kutoa waraka au tamko la kuilamu serikali wala kutoa ushauri,
Sa kama tuna kiongozi aina ya Musa wa DSM tutegemee nini?
 
ndiyo maana huwezi ona wakatoliki wakijipendekeza pendekeza kama yule aliyetukanwa na Mange ama yule aliyekua mfuasi wa Lowasa.
Huko kote umenena vyema kabisa, ndiyo maana nimeondoa. Lakini katika hili la mwisho, naomba kuuliza kama unamfahamu Pengo.
 
Tukiondoa sheria ya misamaha ya kodi,tutaelewana vizuri sana,hapo sielewi kitu
 
...yule kama yule aliekana desa lake!
 
Hapa kweli hata Pengo alijiorodhesha kwa urahisi au alilazimishwa na wenzake, mmoja katuhumiwa kuwa mhamia haramu mzee wa watu kimyaaaa.
 
Unapatikana katika Duka la vitabu la Paulines Books and Media Centre, au maarufu kama CATHEDRAL BOOKSHOP. Duka liko jirani na Kanisa Kuu la Mt. Yosefu
Sikio la kufa halisikii dawa
 
.....kwa hiyo !?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…