comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,950
Huu waraka ufike nyumba nyeupe, kama ni mvivu wa kusoma amuombe Msigwa amsomee, hasa hizo kurasa ulizoziainisha.
Nadhani upo kwa papa sasa hivi na balozi wa papa lazima aupeleke kunakohusika kwa maana Vatican wametoa macho rasmi