Waraka uliowaondoa Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo CHADEMA huu hapa

Waraka uliowaondoa Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo CHADEMA huu hapa

sasa humu kuna nini? daa Tundulissu katumika.
 
kwa mujibu wa waraka huu kumbe zitto mwenyewe siyo key player katika kuuandaa mkakati huu, bali kuna watu wanatamani awe camp yao, sasa iweje zitto aadhibiwe wakati siyo driving force katika huu mkakati?. Uonevu tu.

Kaka km umeenda shule hauwezi Pata shida kujua waandishi wa wataka huu... Wataka huu umeandaliwa na watu wanaojua fitina sana .... CCM inawana propaganda wengi wazuri wao hawana nafasi kwenye chama chao ...kifupi laazima CDM iyapitie magumu haya na hata km yakaishi ofisa chama basi yawe ktk msingi wa kukiimarisha chama!
 
May our good Lord bless GODBLESS J. Lema

Mi nafikiri hakuna ubaya wowote kupanga mkakati ya ushindi. Sidhani kama unaweza kushinda bila mkakati. Hata Lowasa anaitaji urais na anaendelea na mikakati yake na CCM wanajua lkn wamenyamaza. Mi sioni hapo kitendo cha kugawa chama bali ni kuimarisha chama kwa kuja na mtazamo tofauti. Tuwe wavumilivu ili kujenga demokrasia sahihi hata Huyu mkuu asingepata nafasi endapo asingeachiwa. Tusiwe kama CUF uenyekiti wa maisha
 
Kwa mtu unayekumbuka yaliyoikumba NCCR-Mageuzi ilipokuwa na nguvu kama ilivyo CHADEMA kwa sasa, huna haja ya kuumiza kichwa kujua ni mchezo gani unachezwa...

Yale yaleee ya Yuda Iskariote na vipande 30 vya fedha!!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
mkuu una hasira sana taratibu usije ukakosa raha na weekend hii. Unganisha dots na ile ya wasira kuhusu chadema.

Mkuu upo sahihi kabisa maana nilikuwa nikijiuliza sana huyu Wasira anapata wapi nguvu ya kutangazia umma kuwa Chadema itakufa ndani ya mwaka huu,kumbe alikuwa anajua mkakati walioupanga na hawa watu.
 
Aende zake,hakuna cha kambi wala nn,msaliti wa chama hatumtaki
 
Kwa ujinga huu wa chadema wa kurudisha nyuma matumaini ya watu waliokiamini chama kwa vijiishu kama hivi binafsi unanifanya nizidi kuiamini CCM kuwa ndio chama pekee kwa sasa kilichobeba matumaini ya watanzania walio wengi na wasiojiweza. Haiwezekani hata kama waraka huu angeuandika zitto kumuadhibu kama walivyofanya. Wenye akili watakuwa wameshapata sasa big picture na uelewa wa wazi kuwa chadema ni chama kinachoendeshwa kilaghai na agenda yake ya ndani ukiacha ya kwenye makaratasi si kuwakomboa maskini katika taifa hili bali ni mipango ya wachache kuja kufaidi keki ya taifa kama mafisadi wafanyavyo hapa nchini. Pasco, Ruttashobolwa, Mwita Maranya, Mohamedi Mtoi, sixgates, Ben Saanane, Molemo, Mungi, ZeMarcopolo et al jamani huo ndio ukombozi unavyopiganiwa?
 
Last edited by a moderator:

Sijaona kosa la kumvua uongozi mtu ni ushauri murua kabisa huu ni wakati wa kuongozwa na wasomi siyo vilaza safi.

Siyo rahisi wewe kuona kosa ..... ni matarajio ya wengi kuwa Zitto ataungwa mkono na CCM .... Hatutegemei tofauti.... na hata suala la udini litatumika sana tu! na haya laazima yatakuja.... na kwa chama makini laazima ki yapitie magumu haya kujieleza na kujikita ktk kujijenga hakuna wakati mwingine zaidi ya huu wa sasa
 
Kama unaelewa kilichosukwa na kuimaliza NCCR - Mageuzi kilipokuwa na nguvu kama ilivyo CHADEMA kwa sasa, basi huna haja ya kujiuliza maswali mengi na kujiumiza kichwa bure.

Yale yaleeee ya Yuda Iskariote na vipande 30 vya fedha!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Jamani labda huu waraka sio wenyewe.

Kama ni wenyewe kuna nini cha ajabu hapa kwenye siasa za vyama na demokrasia? Bila mikakati huwezi kupata hata ubalozi.
Mtanzania,
Waraka huu ni dalili tosha kuwa MM alikuwa anapanga ( au genge lake linapanga) kufanya mapinduzi yasiyo halali ndani ya chama. Kuundwa kwa mitandao, kama inavyopendekezwa kwenye waraka huu, ndiko kumepelekea matatizo makubwa katika utawala wa Kikwete na mfarakano ndani ya CCM. Chadema ni chama kichanga. Haifai kiongozwe kwa mitandao.
 
Huu waraka umepikwa tuu na kikundi cha chadema baunsa.

Siyo kweli ..... huu waraka umelenga kutaka kuhujumu umaarufu wa chama na kuukuza ukikundi ndani ya CDM ... haya yote ni yale CCM imekua ikikishutumu CDM kwa miaka sasa ... malengo wa waraka huu umejikita katika kuonyesha unahiri wa wanadini fulani dhidi ya wengine .... dhamira ya waraka huu ni kujenga utofauti huo .... kifupi ndio mashambulizi ya CCM dhidi ya CDM
 
Huu waraka umepikwa tuu na kikundi cha chadema baunsa.

Siyo kweli ..... huu waraka umelenga kutaka kuhujumu umaarufu wa chama na kuukuza ukikundi ndani ya CDM ... haya yote ni yale CCM imekua ikikishutumu CDM kwa miaka sasa ... malengo ya waraka huu umejikita katika kuonyesha umahiri wa wanadini fulani dhidi ya wengine .... dhamira ya waraka huu ni kujenga utofauti huo .... kifupi ndio mashambulizi ya CCM dhidi ya CDM
 
Back
Top Bottom