Waraka wa Bashir Yakub: Tundu Lissu japo unaumwa lakini umeshindwa

Asante jinga lao, je zile kozi ambazo tra aliaema anawadai acacia zitalipwa? Au kusikia dola milion 300 ndo basi tena
 
Hopeless comments
 
Leo nimefurahi sana baada ya kuona tukipiga hatua kama Taifa kusonga mbele hatua moja ktk uwanja wa mapambano ya kiuchumi...Hongera Magu
Lkn wakati nikitafakuri na kushangilia nikakumbuka mtu mmoja aliepinga tena kwa matusi na kejeli huku akitutisha kuwa hakuna kilichofanyika, mtu huyu kwa sasa hayupo ktk ardhi yetu, yupo hukoo nje akiugulia maumivu. Lkn kwangu yanayomkuta siyatafsiri kama machungu bali naona Ulikua mpango wa Mungu kuondoa fitna katika Ardhi yetu, Ndio kwangu bwana yule alikua ni fitna na alijitaahid sana kupanda mbegu ya chuki, kibri, choyo na husda kwa kizazi cha vijana. Naona Mungu aliamua tukio lile litokee kwa lengo kuwa fitna iondoke japo kwa muda na hata leo sipatii picha angekuwapo bongoland mataptap kias gan angekua katapika, hii ni kwa sababu bwana yule ni mjuaji mnoo, mbabe, kiburi na dharau na huwa hakosi lakukosoa...Ahsante Mungu kwakuondoa fitna ktk ardhi hii japo kwa muda
Nakaribisha matusi na ukiona huna matusi ya kutosha njoo dm nikuazime na mods atakaetukana naomba msimpige ban maana nnaham kutukanwa na wenye iq ndogo na fitna masalia...
 
Ropokaji lile bora lingekufa tu

Mimi nina roho mbaya ila sidhani kama nimeifikia hii ya Kwako Mkuu. Hivi kweli leo Siasa zetu Watanzania zimetufikisha hapa kwamba kutofautiana Kwetu tu kwa ' Hoja ' ndipo Mtu anaombea kabisa ' Mpinzani ' wake afe? Hivi Mkuu kwa aina yako ya roho ya Kikatili hivi ' tukikulengesha ' kwa IGP Sirro kwamba pengine Wewe ndiye ' uliyemfyatulia ' zile risasi kati ya 28 hadi 32 pale Area Dodoma tutakuwa tumekosea? Nisikufiche post yako hii imenisikitisha na imeniumiza mno. Natilia sana ' mashaka ' kama kweli Wewe ni Mtanzania mwenzetu kwani Watanzania hatuna roho ' ngumu ' na ' mbaya ' kama yako.
 
mbona husemi wamekataa kulipa trilioni 425!!
nitajie hizo dola milioni 300 ni za nini?
halafu 50/50 ya profit huelewi kitakachotokea,...watakuwa wanareport loss na utasubiri sana kupata hiyo nusu ya faida yao...tumepigwa hapo na wazungu
Dah. Ungeshauri nini kifanyike labda? [emoji87]
 
Ni bora tungeshtakiwa MIGA kuliko kipigo tulichopata. Madai ya sh. 425 trilioni tuje kulipwa 673 bilioni!? Yaani hata trilioni moja haifiki! Na zile Noah zetu je?
Jamani Noah zetu zimeota mbawa
 
Ndugu yangu Bashiru najua ni mtanzania lakini ningependa kujua kabila lako japo nchini hapa huwa hatuulizani makabila. Nadhani ungevumilia kidogo Antiphas Lissu apone kabisa. Kwa sasa ulichofanya ni kumsimanga mgonjwa ambaye bado yuko kitandani. Kwetu Singida huwa hatufanyi hivyo maana unamwongezea majeraha moyoni. Kumpenda mwenzako ni agizo la Mungu si mwanadamu. Uliyoandika yanaonyesha unahitaji kumwomba Mungu anayependa wanadamu wenye dhambi akupe japo chembe ya upendo. Pia kumbuka kwamba japo aliyoyasema Lissu hayakutimia na sisi tumefurahi kuwa mazungumzo ambayo kwa upande wetu yaliongozwa na nguli wa Sheria Prof. Kabudi yameenda vizuri, Lissu alikuwa na nia njema kwa nchi yake hivyo usimchukulie kuwa msaliti. Ninakutakia usiku mwema!
 
Afadhali tungeshtakiwa, hapo tumedharauliwa kwa thamani kiduchu
What is 300m USD kwa Barrick na madai ya USD 194 bn, it's just peanut
wapumbavu nye muwe waelewa haya mambo yamechukua 16 yrs kumbukumbu zngne
 
Sijaelewa partner 50% 50% , unajua shareholding structure ya barick?, share zimepanda mpaka 16% , maana yake nini?!. OK sh billion 600 ndio fidia ya dhahabu yote iliyoibwa toka 1998?.waiter ongezaa na meza ile.
 
Tundu Lissu hajui sheria kinachomsaidia ni majigambo na kibwabwaja kwa sana mahakamani. Wataalamu wa sheria wapo wametulia akina Profesa Kabudi hawana mihemuko kama yeye ndio maana wametutoa kwenye kushitakiwa kama alivyotuaminisha mwanzo na sasa tunalipwa mabilioni ya shilingi.
 
Maskini Tanzania yangu dah ivi kwanini sisi ni mbumbumbu kiasi hiki.
 
Ombea adui yako aishi siku nyingi ili aone mpaka unapobarikiwa.
 
Ndg. Unashangaa nini. haikuwa mahakamani. Ilikuwa negotiation team . HUU NI USHINDI
MTABIRI AMESHINDWA. UZURI HAKUJIBIWA. ALIOWASIFU NA KUWATABIRIA USHINDI WAMEMJIBU NA KUKATAA UTABIRI WAKE. ANGEKUWA MWANASHERIA MZURI WANGEMSIKILIZA. HAYA SASA MNABIDI WAFUASI MSIOJIULIZA SABABU YA UPENZI WENU KWAKE MCHANGANYE NA AKILI ZENU
 
yaan ww fala ndo unasema ulikuwa unapambana na lissu?;
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…