Waraka wa Bashir Yakub: Tundu Lissu japo unaumwa lakini umeshindwa

wanaCCM wakienda CDM wanakuwa na akili tena IQ kubwa sana?,ikiwa ni hiuvo basi kibaya si wanaCCM bali neno 'CCM' maana wakiwa CCM wanakuwa wabaya ila haohao wakienda CDM wanakuwa wazuri sana,hii ipo Tanzania tu;
SINA CHAMA,MIMI NI MTANZANIA;
Hivi unafikiri IQ za wanaCCM zilivyo watakuelewa??
 
wanaCCM wakienda CDM wanakuwa na akili tena IQ kubwa sana?,ikiwa ni hiuvo basi kibaya si wanaCCM bali neno 'CCM' maana wakiwa CCM wanakuwa wabaya ila haohao wakienda CDM wanakuwa wazuri sana,hii ipo Tanzania tu;
SINA CHAMA,MIMI NI MTANZANIA;
Wanajitoa akili kisa buku 7 au teuzi
 
Ama kweli jina huwa linaonyesha na kudhihirisha sura na akili ya mtu. Hongera sanaa
 
Ndugu zangu watanzania hasa wenye mapenzi mema na nchi hii, naomba kwa dhati kabisa kutumia fursa hii adhimu kwa ajili ya kuiombea msamaha ile BINGWA MROPOKAJI kwa aibu kubwa ya kiwango cha lami aliyoipata baada ya Acacia kushindwa kuishtaki serikali MIGA kama ile BINGWA MROPOKAJI ilivyowaaminisha watanzania. Hii ni aibu kubwa kwake, kwa familia yake, ndugu zake, jamaa zake, marafiki zake na hata kwa chama chake.
 
mbona husemi wamekataa kulipa trilioni 425!!
nitajie hizo dola milioni 300 ni za nini?
halafu 50/50 ya profit huelewi kitakachotokea,...watakuwa wanareport loss na utasubiri sana kupata hiyo nusu ya faida yao...tumepigwa hapo na wazungu
tumepigwa mchana kweupeee
 
Kwani wamelipa, Yakub, wamelipa? Eti na wewe ni msomi! Wanaokuchukua kama wakili nadhani wanaangukia pua kesi zote

Kama alivyodadavua Yajub, wenye upeo mdogo wataishia kuona mwisho wa pua zao. SIYO WEWE RETIRED Mkuu, una heshima kubwa humu jamvini

Hiyo fedha inayolipwa $300m, hata kama haitalipwa, haina mabadiliko makubwa kuliko makubaliano ya kurejea mikataba kulingana na marekebisho ya sheria ya madini, 2017.

Mbali na hilo la mikataba, kwamba barrick imekubali shughuli zote za mauzo kufanyika nchini na Watanzania kuwa wajumbe wa bodi ya kuendesha kampuni mpya ya kusimamia uchimbaji wa dhahabu migodi inayomilikiwa na Barrick, ni ushindi mkubwa sana.

Isitoshe, kuna makubaliano ya kujenga kinu cha kuchakatua madini na Barrick watasalimisha, kwa Serikali, aina ya madini yote yasiyo kwenye mkataba. Ukirejea ripoti ya pili, hayo madini pia yana thamani kuliko.

Hitimisho, makubaliano hayo yamefungua mlango wa kudhibiti rasmali zetu wenyewe.

HATUSHITAKIWI kama upinzani ulivyotegemea. Kama siyo aibu kwao ni nini!!

Mkuu, MMENUNUA MBEREKO MTOTO HAJAZALIWA
 
Kwa jinsi mnavyoshangilia kila kitu siku hata raisi akijamba mtashangilia tu. Nahitimisha kwa kusema kua ww ni mtanzania mzigo.
 
Tulia wewe ... wazungu washatuchapa vibao vya makalio bado unapata nguvu ya kubwabwaja... Kutoka Trillioni mia na ushenzi mpaka bilioni 700.. hilo ni jambo la kusherehekea? Kwanini mlikimbia umande lakini? ... kipi haswa cha ajabu leo???
 
Pamoja na maelezo marefu ni kuwa hukusikiliza au kuelewa kilichosemwa. Kwanza hawajukubali kuwa kulikuwa na wizi wowote ila wamesema wanatoa hicho kiasi kwa ajili ya kujenga imani ya biashara, ndiyo kusema tumeshindwa kuthibitisha wizi wowote.

Pili kukubali ubia wa 50/50 na serikali ni danganya toto, washachimba dhahabu karibia yote, mgodi 1 ushafungwa kwani gold imeisha, miwili iliyosalia haina muda wa zaidi ya miaka kumi. Hivyo wao kukubali ubia huo ni kutokana na kwamba tayari walishapata superprofit na bado wanafanya cost sharing na serikali ili wafaidi tena kwenye kidogo kilichosalia. Tundu lisu anabakia kuwa na mwono sahihi wa kile kinachofanyika kwa sasa
 
What a shame to the Government..
From a claim of USD 400+ Trillion and u get only USD 300 Bil..!!
Mruma and Ossoro reports were purely Professorial Nonsense and Rubbish.

What a lousy argument from a senior JF member!

Get a copy of the MoU, read it carefully and thoroughly, at least you can be able to think out of the box.

POOR MENGELENI KWETU
 
Kijana unaejiita msomi unasimama kuandika upuuzi kama huu? Mbona unamtukanisha alokufunza hesabu za kutoa kwa uvivu wa kufikiri???
 
Wewe unajua deposits za dhahabu ziko maeneo gani nchii hii tuondolee hii kitu
 
Hajielewi naye huyo. Unadhani wazungu wajinga ati tuwe na hisa 16% kisha tuoate faida 50% hebu leta jibu hesabu ya wapi hiyo?
 
Hah
hahahaaaaaa hapa lazima waje na mapovu kibao ila watalegea tu usijali..maana wao ni wazee wa kubeza kila kitu ila nahisi muda si mrefu salio litasoma tuuendelee kutoa elimu bure na kuleta maendeleo kwa wananchi
 
Afadhali tungeshtakiwa, hapo tumedharauliwa kwa thamani kiduchu
What is 300m USD kwa Barrick na madai ya USD 194 bn, it's just peanut
wee jamaaa sio mzalendo hahahahhahahaahahaha
 
Tunakutakia afya njema lakini upunguze kidogo kuropoka msomi. Watu wako makini kuliko unavyofikiria.

Mngekuwa watu makini kama unavyodai msingedanganywa na Rais leo kwamba tunagawana faida 50/50.

Mnashindwa kuelewa Kiingereza cha dakika tatu kaongea yule Chairman Thornton ndio mtakuwa watu makini nyinyi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…