Waraka wa Bashir Yakub: Tundu Lissu japo unaumwa lakini umeshindwa

Mungu ana namna nyingi sana zakuondoa fitna kwenye jamii, na hilo ndio nimeliona pale Mpiga debe maarufu nchini Tanzania alipoondolewa na kuhamishiwa kwa muda Pale Nairobi, najua ataendelea kuwepo huko kwa Muda lkn ni naamini pasi na shaka kuwa ni Fitna imeondolewa na hakika leo imedhihiri waziwazi pale yale aliyopinga yakinyooka kwa kias chake, najua angekua mzima leo saa hizi angeshaatapika mataptap maana yeye anajua kila kitu, msomi ndio yeye, mjuzi, mwanasheria na rais yeye, kwa sasa najua hana ipact tena maana akija atakua anasotea makalio, wakat huo tukichanua kama Taifa, leo nimeweka ukweli wangu wazi na nimekua huru nakaribisha matusi kwa wale nyumbu wote na ukisahau tusi njoo pm nikupe mengine lkn ukwel ndio huo, Fitna iliondoka na haki imetamalaki
 
Hivi good faith ina maanisha nini kutoka dollar bil119 kuwa dollar bil 0.03?
 
Kwa hiyo unatakaje,! We unataka wasilipe or? Maana wameshakubali bado unapayuka kama kware!
Tundu alikuwa akihamasisha waende sijui mahakama sijui MIga sijui mpaka nikawa najiuliza hivi Lisu ni mtanzania au mkenya ? Alipopelekwa kenya kwa matibabu nikakubali kuwa Lisu sio mtanzania ni mkenya ndio maana hajali na haoni haya kutetea wakoloni wa kiuchumi wanaotuibia sababu kwao ni kenya
 
Tusije ukawa tunauza sura ya magazetini lakini lea uhakika tukawa tunadanganywa.

Mpaka watakapoleta ndipo nitaamini lea sasa naona bado ni kick kutuondoa kwenye issue ya Lissu
Hata hapa tulipofika mlisema mpaka muone lkn zikilipwa mtasema mpaka tuone check au madolari...Tomaso
 
Waraka wa BASHIR YAKUB.
+255784482959.

Pole sana msomi Lissu kwa kuumwa. Lakini sasa kwa taarifa za jana ni kuwa unapata nafuu na Mungu Mwenyezi awe nawe urejee.

Hata hivyo huku ulipotuacha ni umeshindwa vibaya. Wale uliosema watatushitaki na kuwalipa mabilioni sasa wao ndio wanatulipa sisi mabilioni.

Kile ulichosema kuwa ni makosa yetu ya mikataba na ulofa, wamekubali kuwa ni makosa yao na wako tayari kwa marekebisho ya "terms" vipengele vipya kwenye mikataba.

Hata zile kesi ndogondogo tulizokuwa nao katika mahakama "tribunal" mbalimbali sasa nazo wamekubali iundwe kamati ya kuzimaliza kwa mazungumzo.

Lakini kubwa kuliko yote msomi Lissu ni kuwa wamekubali mgao wa 50/50 wa faida na Tz kuwa na wawakilishi kwenye bodi ya wakurugenzi na mengine mengi yenye kutia moyo. Sijui, lakin nadhan habari hizi sio njema sana kwako.

Msomi Lissu, siku nyingine ukiambiwa wako watu wana akili kuliko wewe uwe mwepesi tu kuelewa. Ukiambiwa wako watu wanaona maili 50 zaidi yako uelewe haraka.

Hatukatai, unaweza kuwa mzungumzaji mzuri lakin sio mwenye upeo. Upeo hupimwa kwa matokeo ya matendo. Na kwa matokeo haya twaweza tu kupima nani mwenye upeo kati ya wale uliowaita wa hovyo na wewe. Pia twaweza kujua wa hovyo ni nani sasa.

Nilikushangaa sana uliposema huoni kosa la Acacia. Watu wamedanganya uzito wa madini, wamedanganya sampuli walizobeba na ushahidi upo, msomi unasema huoni kosa !!!? , Looh.

Unajua vyema kuwa hawa jamaa wangekuwa upande salama kama ulivyopiga chapuo wasingefikia makubaliano kama haya. Wangeenda kwenye tribunal za kimataifa kama ulivyowasaidia kupendekeza na wangeshinda na tungelipa mabilioni kama ulivyokuwa umetabiri.

Ulikera sana hapa :

Makontena yakazuiwa, ukasema kimkataba ni yao na yamezuiwa kimakosa.

Ripoti ya kwanza ikasomwa,ukasema ripoti hiyo ni takataka"rubbish".

Ripoti ya pili ikasomwa, ukasema hamna jipya.

Akaja bosi wa Acacia Prof. John.L.Thompton akasema watalipa, ukasema hajasema kama watatulipa na hawawezi kutulipa.

Ulidhihirisha uadui na nia ovu na ndio maana ni halali leo kusema JAPO UNAUMWA LAKINI UMESHINDWA. Haikujulikana ulitaka nini hasa.

Msomi, hawa watu hawakuwa wasafi na hili kila Mtanzania aliliona isipokuwa wewe. Kwa matokeo haya sasa twaweza kujua nani ana maamuzi ya KUKURUPUKA na kuzungumza hovyo.

Tunakutakia afya njema lakini upunguze kidogo kuropoka msomi. Watu wako makini kuliko unavyofikiria.

Na ndiyo maana anaumwa, Waswahili tunasema malipo hapa hapa Duniani, ukisaliti watu wako ni lazima ulaaniwe!
 
Kwa hiyo utaenda London kuwambia wasikubali au siyo!!!?cc watz wanyonge machozi yetu yanakudondokea kwenye paji lako la USO haya bwana poa tu lkn Mungu yuko nasi!

Tangu mwanzo ripoti ya makinikia zillithibitika kua zimejaa porojo na data za kupikwa na serikali. Iliokataa uchunguzi huru wa madini kupitia standard za kimataifa.

Serikali ilifanya juhudi zote zikiwemo Ku dhibiti Bunge,
Wabunge,
vyama vya siasa,
media nk

ili tupate taarifa za serikali peke yake. Ambazo zimejaa maswali yaliokosa majibu. Na hatukuruhusiwa kuhoji.

Pamoja na jitihada hizo za serikali kudhibiti Taarifa kuwafikia wanyonge.

Hatimaye Profesa Mruma anayeaminika kama mzalendo wa jpm, aligundulika naye alishiriki kusaini mikataba mibovu ya kuliletea hasara Taifa kupitia ripoti iliyosomwa ya wabunge ambayo hata hivyo serikali bado ilijimilikisha na kuidhibiti isipitie Bungeni. Professa alikiri mwenyewe kutenda kosa hilo peke yake.

LAKINI..jpm akamtetea KuA alimtuma kwa kazi hiyo. Which means alimtuma kuliletea hasara Taifa.
Tunalitangaza kudai trillions of money Leo tunapewa posho ya kikao billion 600 tunachekacheka.

Kweli ajizi nyumba ya njaa.

Sio huyu jpm aliewaambia alipoingia madarakani sukari ilikua shilingi 5000 kwa kilo na sasa imeshuka?
SIo huyu aliesema Gadafi ni raisi wa iraq.?

SIo huyu anayemkingia kifua Bashite kwa tuhuma za kufoji cheti?

Nakuombea Unyonge wako usihamie kwenye ubongo TAFADHALI?.

Na HII sio mara ya kwanza
JPM kUTANGAZA HADHARANI KUAu wazungu wamekubali kutulipa fidia kwa wizi WALIOTUFANYIA.

Alisema hivi kipindi kile wazungu walipokuja kwaajili ya majadiliano.

Na wao walikanusha moja kwa moja kwenye press CONFERENCE.

Leo tena jpm anawaambia wanyonge kwamba wazungu wamekubali kutulipa.

Lakini ameshasahu figure anataja kiasi kidogo cha fedha bilioni 600s badala ya zile Trilioni.
My foot!!

Hivi Tundu Lisu angekua mzima wa Afya. Sura zenu mngeziweka wapi leo hii?

Kama wanachosema ni kweli kwanini wampige risasi Tundu Lisu.?

Kuna haja gani kutumia nguvu kubwa dhidi ya Lisu kama wao ni Wa sema Kweli?

Tafakari...
 
Hiyo 50-50 tunaishangilia sana wakati kampuni inapata hasara always,
Wao wamesema hiyo ni baada ya faida wakishatoa gharama ZOTE,
Halafu 50-50 ya faida wakati tutamiliki only 16% ni mtego nasema,
Najaribu kuangalia faida zote hizi zilizotajwa nikilinganisha na $190 tulizotakiwa kulipwa still naona wao barick ndio wameshinda,
 
Tundu alikuwa akihamasisha waende sijui mahakama sijui MIga sijui mpaka nikawa najiuliza hivi Lisu ni mtanzania au mkenya alipopelekwa kenya kwa matibabu nikakubali kuwa Lisu sio mtanzania ni mkenya ndio maana hajali na haoni haya kutetea wakoloni wa kiuchumi wanaotuibia sababu kwao ni kenya
Mkuu ile ajali ilikua ni mpango wa Mungu kuiondoa fitna ktk jamii leo nimeona niseme ukwel kama ni kufa malofa waniue kwa matusi lkn huo ndio ukwel ambao naamini mpaka kesho kua Fitna imeondoka ktk jamii yetu japo kwa muda
 
Afadhali tungeshtakiwa, hapo tumedharauliwa kwa thamani kiduchu
What is 300m USD kwa Barrick na madai ya USD 194 bn, it's just peanut
eti peanut
Wewe unayo hata dola 50 hapo ulipo? Chupi tu unayovaa imechanika kwenye makalio
 
Siyo kweli

Ukweli ni upi?
Hataki katiba mpya....maana yake msanii
Hataki siasa.....maana yake hajiamini na afanyayo watu wataweka hadharani ukweli

Kweli mtu unashangilia kupewa 0.016% na unaaachia 99.984% kweli kabisa?
 
Waraka wa BASHIR YAKUB.
+255784482959.

Pole sana msomi Lissu kwa kuumwa. Lakini sasa kwa taarifa za jana ni kuwa unapata nafuu na Mungu Mwenyezi awe nawe urejee.

Hata hivyo huku ulipotuacha ni umeshindwa vibaya. Wale uliosema watatushitaki na kuwalipa mabilioni sasa wao ndio wanatulipa sisi mabilioni.

Kile ulichosema kuwa ni makosa yetu ya mikataba na ulofa, wamekubali kuwa ni makosa yao na wako tayari kwa marekebisho ya "terms" vipengele vipya kwenye mikataba.

Hata zile kesi ndogondogo tulizokuwa nao katika mahakama "tribunal" mbalimbali sasa nazo wamekubali iundwe kamati ya kuzimaliza kwa mazungumzo.

Lakini kubwa kuliko yote msomi Lissu ni kuwa wamekubali mgao wa 50/50 wa faida na Tz kuwa na wawakilishi kwenye bodi ya wakurugenzi na mengine mengi yenye kutia moyo. Sijui, lakin nadhan habari hizi sio njema sana kwako.

Msomi Lissu, siku nyingine ukiambiwa wako watu wana akili kuliko wewe uwe mwepesi tu kuelewa. Ukiambiwa wako watu wanaona maili 50 zaidi yako uelewe haraka.

Hatukatai, unaweza kuwa mzungumzaji mzuri lakin sio mwenye upeo. Upeo hupimwa kwa matokeo ya matendo. Na kwa matokeo haya twaweza tu kupima nani mwenye upeo kati ya wale uliowaita wa hovyo na wewe. Pia twaweza kujua wa hovyo ni nani sasa.

Nilikushangaa sana uliposema huoni kosa la Acacia. Watu wamedanganya uzito wa madini, wamedanganya sampuli walizobeba na ushahidi upo, msomi unasema huoni kosa !!!? , Looh.

Unajua vyema kuwa hawa jamaa wangekuwa upande salama kama ulivyopiga chapuo wasingefikia makubaliano kama haya. Wangeenda kwenye tribunal za kimataifa kama ulivyowasaidia kupendekeza na wangeshinda na tungelipa mabilioni kama ulivyokuwa umetabiri.

Ulikera sana hapa :

Makontena yakazuiwa, ukasema kimkataba ni yao na yamezuiwa kimakosa.

Ripoti ya kwanza ikasomwa,ukasema ripoti hiyo ni takataka"rubbish".

Ripoti ya pili ikasomwa, ukasema hamna jipya.

Akaja bosi wa Acacia Prof. John.L.Thompton akasema watalipa, ukasema hajasema kama watatulipa na hawawezi kutulipa.

Ulidhihirisha uadui na nia ovu na ndio maana ni halali leo kusema JAPO UNAUMWA LAKINI UMESHINDWA. Haikujulikana ulitaka nini hasa.

Msomi, hawa watu hawakuwa wasafi na hili kila Mtanzania aliliona isipokuwa wewe. Kwa matokeo haya sasa twaweza kujua nani ana maamuzi ya KUKURUPUKA na kuzungumza hovyo.

Tunakutakia afya njema lakini upunguze kidogo kuropoka msomi. Watu wako makini kuliko unavyofikiria.

1. Hoja ya kutetea masilahi ya nchi haikulenga kuona nani mshindi na nani siyo msindi. Kama hoja ilikuwa hiyo, mikataba mibovu tuliyosaini ni ushahidi wa kuonyesha kushindwa kwetu kwenye mambo ya msingi.
2. Mambo ambayo yamejitokeza kwenye negotiations ndiyo pia Tundu Lissu aliyokuwa akiyapigania kwa muda mrefu (ili madini yaweze kutunufaisha na tunufaike na rasilimali zetu). Nikisikia alichokuwa akizungumza na pia nikisoma aliyokuwa akiyaandika napata picha hiyo.
3. Hivyo, provided kilichofikiwa ni kwa lengo la kunufaisha taifa letu na wawekezaji (katika win-win situation), binafsi sioni wapi ambapo Tundu Lissu ameshindwa kwa sababu hata yeye alikuwa anapigania tunufaike zaidi na uwezekezaji unaofanyika nchini.
4. Kurekebisha sheria zetu - ambayo pia ilikuwa issue aliyokuwa akiipigania kumeshaanza kufanywa - na naamini kutaendelea na kwa hili pia sioni kama ameshindwa.
5. Kitu ambacho kimefanyika (kutokana na makubaliano) ni kwamba kila upande umepoteza asilimia fulani ili kuweza kufikia mwafaka na hii huwa inatokea kwenye negotiations - yaani kama kila upande ukisimamia upande wake bila kulegeza msimamo hakuna makubaliano yatakayofikiwa na ndiyo maana utaona pia ripoti zilidai tunadai trillions of shillings, lakini kwenye makubaliano haikutokea hivyo (walau as of now).
6. Therefore, kuliko kudhani lengo lilikuwa ni kutafuta mshindi, tufikiri kuwa walau kelele zote zimetusaidia kufikia hatua fulani na tuna mengi ya kujifunza ili tuweze kusonga mbele zaidi na zaidi. Kwa ufupi, wote tumekuwa washindi na kama tungeshindwa - wote tungekuwa tumeshindwa. Hivi ndivyo nionavyo mimi.
 
Mkuu hapo tumepewa rushwa in the name of Good faith
Hauwezi ukapewa ahadi ya 0.15% ya unachokidai ukajisifu mshindi . Hiyo ni bakshishi a.k.a rushwa ili unyamaze, uache makelele ya kuwaharibia kwenye soko la hisa duniani.
Vipi kuhusu kutupa 50/50 ya faida kutuoa 16 % ya hisa kujenga barabara zinazozunguka migodi kutumia wataalam wa tz kwa kiwango kikubwa kujenga smelter zote in rushwa?
 
IMG-20171019-WA0042.jpg
IMG-20171019-WA0039.jpg
 
Waraka wa BASHIR YAKUB.
+255784482959.

Pole sana msomi Lissu kwa kuumwa. Lakini sasa kwa taarifa za jana ni kuwa unapata nafuu na Mungu Mwenyezi awe nawe urejee.

Hata hivyo huku ulipotuacha ni umeshindwa vibaya. Wale uliosema watatushitaki na kuwalipa mabilioni sasa wao ndio wanatulipa sisi mabilioni.

Kile ulichosema kuwa ni makosa yetu ya mikataba na ulofa, wamekubali kuwa ni makosa yao na wako tayari kwa marekebisho ya "terms" vipengele vipya kwenye mikataba.

Hata zile kesi ndogondogo tulizokuwa nao katika mahakama "tribunal" mbalimbali sasa nazo wamekubali iundwe kamati ya kuzimaliza kwa mazungumzo.

Lakini kubwa kuliko yote msomi Lissu ni kuwa wamekubali mgao wa 50/50 wa faida na Tz kuwa na wawakilishi kwenye bodi ya wakurugenzi na mengine mengi yenye kutia moyo. Sijui, lakin nadhan habari hizi sio njema sana kwako.

Msomi Lissu, siku nyingine ukiambiwa wako watu wana akili kuliko wewe uwe mwepesi tu kuelewa. Ukiambiwa wako watu wanaona maili 50 zaidi yako uelewe haraka.

Hatukatai, unaweza kuwa mzungumzaji mzuri lakin sio mwenye upeo. Upeo hupimwa kwa matokeo ya matendo. Na kwa matokeo haya twaweza tu kupima nani mwenye upeo kati ya wale uliowaita wa hovyo na wewe. Pia twaweza kujua wa hovyo ni nani sasa.

Nilikushangaa sana uliposema huoni kosa la Acacia. Watu wamedanganya uzito wa madini, wamedanganya sampuli walizobeba na ushahidi upo, msomi unasema huoni kosa !!!? , Looh.

Unajua vyema kuwa hawa jamaa wangekuwa upande salama kama ulivyopiga chapuo wasingefikia makubaliano kama haya. Wangeenda kwenye tribunal za kimataifa kama ulivyowasaidia kupendekeza na wangeshinda na tungelipa mabilioni kama ulivyokuwa umetabiri.

Ulikera sana hapa :

Makontena yakazuiwa, ukasema kimkataba ni yao na yamezuiwa kimakosa.

Ripoti ya kwanza ikasomwa,ukasema ripoti hiyo ni takataka"rubbish".

Ripoti ya pili ikasomwa, ukasema hamna jipya.

Akaja bosi wa Acacia Prof. John.L.Thompton akasema watalipa, ukasema hajasema kama watatulipa na hawawezi kutulipa.

Ulidhihirisha uadui na nia ovu na ndio maana ni halali leo kusema JAPO UNAUMWA LAKINI UMESHINDWA. Haikujulikana ulitaka nini hasa.

Msomi, hawa watu hawakuwa wasafi na hili kila Mtanzania aliliona isipokuwa wewe. Kwa matokeo haya sasa twaweza kujua nani ana maamuzi ya KUKURUPUKA na kuzungumza hovyo.

Tunakutakia afya njema lakini upunguze kidogo kuropoka msomi. Watu wako makini kuliko unavyofikiria.
Kwa hiyo nikiwa namdai mtu shilingi 100000 akinipa 1,500 tsh niruke ruke kama zuzu damn shit!!
 
Vipi kuhusu kutupa 50/50 ya faida kutuoa 16 % ya hisa kujenga barabara zinazozunguka migodi kutumia wataalam wa tz kwa kiwango kikubwa kujenga smelter zote in rushwa?
Hayo mapendekezo sio mapya, yapo enzi na enzi. Hawa wanarudia tu.
 
Ukweli ni upi?
Hataki katiba mpya....maana yake msanii
Hataki siasa.....maana yake hajiamini na afanyayo watu wataweka hadharani ukweli

Kweli mtu unashangilia kupewa 0.016% na unaaachia 99.984% kweli kabisa?
Jaribu kuelewa kua majadiliano yanaendelea hapo siyo usiwe mgumu kuelewa kuna mengi mengi tu waliokubaliana mbali na kulipa hiyo USD 300 Mil.
 
Back
Top Bottom