Kilemakyaaro
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 5,050
- 5,119
Hivi Lissu alikuwepo kwenye hayo mazungumzo?LISU UMEFELI, LISU UNAPASWA KUTUBU.
Hawa mkuu wasikusumbue ni fitna masalia baada ya yule mfitini namba moja kupumzishwa NairobiIli tuwalipe sisi eti?
Mwanaume wa kweli ni yule asiye omba msaada kwa mwanaume mwenziye!Wasalimie wanaume wenzangu.Umekosa noah sasa umeamua kunena kwa lugha.
Mods wanajua hiyo lugha utachezea ban
Tundu alikuwa akihamasisha waende sijui mahakama sijui MIga sijui mpaka nikawa najiuliza hivi Lisu ni mtanzania au mkenya ? Alipopelekwa kenya kwa matibabu nikakubali kuwa Lisu sio mtanzania ni mkenya ndio maana hajali na haoni haya kutetea wakoloni wa kiuchumi wanaotuibia sababu kwao ni kenyaKwa hiyo unatakaje,! We unataka wasilipe or? Maana wameshakubali bado unapayuka kama kware!
Hata hapa tulipofika mlisema mpaka muone lkn zikilipwa mtasema mpaka tuone check au madolari...TomasoTusije ukawa tunauza sura ya magazetini lakini lea uhakika tukawa tunadanganywa.
Mpaka watakapoleta ndipo nitaamini lea sasa naona bado ni kick kutuondoa kwenye issue ya Lissu
Waraka wa BASHIR YAKUB.
+255784482959.
Pole sana msomi Lissu kwa kuumwa. Lakini sasa kwa taarifa za jana ni kuwa unapata nafuu na Mungu Mwenyezi awe nawe urejee.
Hata hivyo huku ulipotuacha ni umeshindwa vibaya. Wale uliosema watatushitaki na kuwalipa mabilioni sasa wao ndio wanatulipa sisi mabilioni.
Kile ulichosema kuwa ni makosa yetu ya mikataba na ulofa, wamekubali kuwa ni makosa yao na wako tayari kwa marekebisho ya "terms" vipengele vipya kwenye mikataba.
Hata zile kesi ndogondogo tulizokuwa nao katika mahakama "tribunal" mbalimbali sasa nazo wamekubali iundwe kamati ya kuzimaliza kwa mazungumzo.
Lakini kubwa kuliko yote msomi Lissu ni kuwa wamekubali mgao wa 50/50 wa faida na Tz kuwa na wawakilishi kwenye bodi ya wakurugenzi na mengine mengi yenye kutia moyo. Sijui, lakin nadhan habari hizi sio njema sana kwako.
Msomi Lissu, siku nyingine ukiambiwa wako watu wana akili kuliko wewe uwe mwepesi tu kuelewa. Ukiambiwa wako watu wanaona maili 50 zaidi yako uelewe haraka.
Hatukatai, unaweza kuwa mzungumzaji mzuri lakin sio mwenye upeo. Upeo hupimwa kwa matokeo ya matendo. Na kwa matokeo haya twaweza tu kupima nani mwenye upeo kati ya wale uliowaita wa hovyo na wewe. Pia twaweza kujua wa hovyo ni nani sasa.
Nilikushangaa sana uliposema huoni kosa la Acacia. Watu wamedanganya uzito wa madini, wamedanganya sampuli walizobeba na ushahidi upo, msomi unasema huoni kosa !!!? , Looh.
Unajua vyema kuwa hawa jamaa wangekuwa upande salama kama ulivyopiga chapuo wasingefikia makubaliano kama haya. Wangeenda kwenye tribunal za kimataifa kama ulivyowasaidia kupendekeza na wangeshinda na tungelipa mabilioni kama ulivyokuwa umetabiri.
Ulikera sana hapa :
Makontena yakazuiwa, ukasema kimkataba ni yao na yamezuiwa kimakosa.
Ripoti ya kwanza ikasomwa,ukasema ripoti hiyo ni takataka"rubbish".
Ripoti ya pili ikasomwa, ukasema hamna jipya.
Akaja bosi wa Acacia Prof. John.L.Thompton akasema watalipa, ukasema hajasema kama watatulipa na hawawezi kutulipa.
Ulidhihirisha uadui na nia ovu na ndio maana ni halali leo kusema JAPO UNAUMWA LAKINI UMESHINDWA. Haikujulikana ulitaka nini hasa.
Msomi, hawa watu hawakuwa wasafi na hili kila Mtanzania aliliona isipokuwa wewe. Kwa matokeo haya sasa twaweza kujua nani ana maamuzi ya KUKURUPUKA na kuzungumza hovyo.
Tunakutakia afya njema lakini upunguze kidogo kuropoka msomi. Watu wako makini kuliko unavyofikiria.
Kwa hiyo utaenda London kuwambia wasikubali au siyo!!!?cc watz wanyonge machozi yetu yanakudondokea kwenye paji lako la USO haya bwana poa tu lkn Mungu yuko nasi!
Mkuu ile ajali ilikua ni mpango wa Mungu kuiondoa fitna ktk jamii leo nimeona niseme ukwel kama ni kufa malofa waniue kwa matusi lkn huo ndio ukwel ambao naamini mpaka kesho kua Fitna imeondoka ktk jamii yetu japo kwa mudaTundu alikuwa akihamasisha waende sijui mahakama sijui MIga sijui mpaka nikawa najiuliza hivi Lisu ni mtanzania au mkenya alipopelekwa kenya kwa matibabu nikakubali kuwa Lisu sio mtanzania ni mkenya ndio maana hajali na haoni haya kutetea wakoloni wa kiuchumi wanaotuibia sababu kwao ni kenya
eti peanutAfadhali tungeshtakiwa, hapo tumedharauliwa kwa thamani kiduchu
What is 300m USD kwa Barrick na madai ya USD 194 bn, it's just peanut
Siyo kweli
Waraka wa BASHIR YAKUB.
+255784482959.
Pole sana msomi Lissu kwa kuumwa. Lakini sasa kwa taarifa za jana ni kuwa unapata nafuu na Mungu Mwenyezi awe nawe urejee.
Hata hivyo huku ulipotuacha ni umeshindwa vibaya. Wale uliosema watatushitaki na kuwalipa mabilioni sasa wao ndio wanatulipa sisi mabilioni.
Kile ulichosema kuwa ni makosa yetu ya mikataba na ulofa, wamekubali kuwa ni makosa yao na wako tayari kwa marekebisho ya "terms" vipengele vipya kwenye mikataba.
Hata zile kesi ndogondogo tulizokuwa nao katika mahakama "tribunal" mbalimbali sasa nazo wamekubali iundwe kamati ya kuzimaliza kwa mazungumzo.
Lakini kubwa kuliko yote msomi Lissu ni kuwa wamekubali mgao wa 50/50 wa faida na Tz kuwa na wawakilishi kwenye bodi ya wakurugenzi na mengine mengi yenye kutia moyo. Sijui, lakin nadhan habari hizi sio njema sana kwako.
Msomi Lissu, siku nyingine ukiambiwa wako watu wana akili kuliko wewe uwe mwepesi tu kuelewa. Ukiambiwa wako watu wanaona maili 50 zaidi yako uelewe haraka.
Hatukatai, unaweza kuwa mzungumzaji mzuri lakin sio mwenye upeo. Upeo hupimwa kwa matokeo ya matendo. Na kwa matokeo haya twaweza tu kupima nani mwenye upeo kati ya wale uliowaita wa hovyo na wewe. Pia twaweza kujua wa hovyo ni nani sasa.
Nilikushangaa sana uliposema huoni kosa la Acacia. Watu wamedanganya uzito wa madini, wamedanganya sampuli walizobeba na ushahidi upo, msomi unasema huoni kosa !!!? , Looh.
Unajua vyema kuwa hawa jamaa wangekuwa upande salama kama ulivyopiga chapuo wasingefikia makubaliano kama haya. Wangeenda kwenye tribunal za kimataifa kama ulivyowasaidia kupendekeza na wangeshinda na tungelipa mabilioni kama ulivyokuwa umetabiri.
Ulikera sana hapa :
Makontena yakazuiwa, ukasema kimkataba ni yao na yamezuiwa kimakosa.
Ripoti ya kwanza ikasomwa,ukasema ripoti hiyo ni takataka"rubbish".
Ripoti ya pili ikasomwa, ukasema hamna jipya.
Akaja bosi wa Acacia Prof. John.L.Thompton akasema watalipa, ukasema hajasema kama watatulipa na hawawezi kutulipa.
Ulidhihirisha uadui na nia ovu na ndio maana ni halali leo kusema JAPO UNAUMWA LAKINI UMESHINDWA. Haikujulikana ulitaka nini hasa.
Msomi, hawa watu hawakuwa wasafi na hili kila Mtanzania aliliona isipokuwa wewe. Kwa matokeo haya sasa twaweza kujua nani ana maamuzi ya KUKURUPUKA na kuzungumza hovyo.
Tunakutakia afya njema lakini upunguze kidogo kuropoka msomi. Watu wako makini kuliko unavyofikiria.
Vipi kuhusu kutupa 50/50 ya faida kutuoa 16 % ya hisa kujenga barabara zinazozunguka migodi kutumia wataalam wa tz kwa kiwango kikubwa kujenga smelter zote in rushwa?Mkuu hapo tumepewa rushwa in the name of Good faith
Hauwezi ukapewa ahadi ya 0.15% ya unachokidai ukajisifu mshindi . Hiyo ni bakshishi a.k.a rushwa ili unyamaze, uache makelele ya kuwaharibia kwenye soko la hisa duniani.
Kwa hiyo nikiwa namdai mtu shilingi 100000 akinipa 1,500 tsh niruke ruke kama zuzu damn shit!!Waraka wa BASHIR YAKUB.
+255784482959.
Pole sana msomi Lissu kwa kuumwa. Lakini sasa kwa taarifa za jana ni kuwa unapata nafuu na Mungu Mwenyezi awe nawe urejee.
Hata hivyo huku ulipotuacha ni umeshindwa vibaya. Wale uliosema watatushitaki na kuwalipa mabilioni sasa wao ndio wanatulipa sisi mabilioni.
Kile ulichosema kuwa ni makosa yetu ya mikataba na ulofa, wamekubali kuwa ni makosa yao na wako tayari kwa marekebisho ya "terms" vipengele vipya kwenye mikataba.
Hata zile kesi ndogondogo tulizokuwa nao katika mahakama "tribunal" mbalimbali sasa nazo wamekubali iundwe kamati ya kuzimaliza kwa mazungumzo.
Lakini kubwa kuliko yote msomi Lissu ni kuwa wamekubali mgao wa 50/50 wa faida na Tz kuwa na wawakilishi kwenye bodi ya wakurugenzi na mengine mengi yenye kutia moyo. Sijui, lakin nadhan habari hizi sio njema sana kwako.
Msomi Lissu, siku nyingine ukiambiwa wako watu wana akili kuliko wewe uwe mwepesi tu kuelewa. Ukiambiwa wako watu wanaona maili 50 zaidi yako uelewe haraka.
Hatukatai, unaweza kuwa mzungumzaji mzuri lakin sio mwenye upeo. Upeo hupimwa kwa matokeo ya matendo. Na kwa matokeo haya twaweza tu kupima nani mwenye upeo kati ya wale uliowaita wa hovyo na wewe. Pia twaweza kujua wa hovyo ni nani sasa.
Nilikushangaa sana uliposema huoni kosa la Acacia. Watu wamedanganya uzito wa madini, wamedanganya sampuli walizobeba na ushahidi upo, msomi unasema huoni kosa !!!? , Looh.
Unajua vyema kuwa hawa jamaa wangekuwa upande salama kama ulivyopiga chapuo wasingefikia makubaliano kama haya. Wangeenda kwenye tribunal za kimataifa kama ulivyowasaidia kupendekeza na wangeshinda na tungelipa mabilioni kama ulivyokuwa umetabiri.
Ulikera sana hapa :
Makontena yakazuiwa, ukasema kimkataba ni yao na yamezuiwa kimakosa.
Ripoti ya kwanza ikasomwa,ukasema ripoti hiyo ni takataka"rubbish".
Ripoti ya pili ikasomwa, ukasema hamna jipya.
Akaja bosi wa Acacia Prof. John.L.Thompton akasema watalipa, ukasema hajasema kama watatulipa na hawawezi kutulipa.
Ulidhihirisha uadui na nia ovu na ndio maana ni halali leo kusema JAPO UNAUMWA LAKINI UMESHINDWA. Haikujulikana ulitaka nini hasa.
Msomi, hawa watu hawakuwa wasafi na hili kila Mtanzania aliliona isipokuwa wewe. Kwa matokeo haya sasa twaweza kujua nani ana maamuzi ya KUKURUPUKA na kuzungumza hovyo.
Tunakutakia afya njema lakini upunguze kidogo kuropoka msomi. Watu wako makini kuliko unavyofikiria.
Hayo mapendekezo sio mapya, yapo enzi na enzi. Hawa wanarudia tu.Vipi kuhusu kutupa 50/50 ya faida kutuoa 16 % ya hisa kujenga barabara zinazozunguka migodi kutumia wataalam wa tz kwa kiwango kikubwa kujenga smelter zote in rushwa?
Jaribu kuelewa kua majadiliano yanaendelea hapo siyo usiwe mgumu kuelewa kuna mengi mengi tu waliokubaliana mbali na kulipa hiyo USD 300 Mil.Ukweli ni upi?
Hataki katiba mpya....maana yake msanii
Hataki siasa.....maana yake hajiamini na afanyayo watu wataweka hadharani ukweli
Kweli mtu unashangilia kupewa 0.016% na unaaachia 99.984% kweli kabisa?