Waraka wa Bashir Yakub: Tundu Lissu japo unaumwa lakini umeshindwa

Ni sawasawa na mtu unamdai gunia la mahindi alafu mwisho wa siku unapewa sado moja alafu unasifia kupewa sado duh ndo mana nachukiaga siasa
 
Baba bora ungeachana na Lisu ukashukuru tu kwa kidogo tulichoambulia!
Sasa ile mali waliyosema akina usolo imo kwenye hizo kontena 200+ si walisema ina thamani kuliko hizo 700b tulizopewa kwa jina la kituliza roho,kwa ujumla hatujalipwa hata shilingi bali ni kuonyesha nia njema ili kesho na sisi tufaidike,lakini si nasikia baadhi ya migodi imebakiza miaka mitatu?
Baada ya kumsamehe mwizi wetu turudi katika kuliponya taifa na chuki na ujinga mwingine kama huo wa kwako.
Lakini tumepata ushindi kwa ajili ya kesho sio leo wa jana tusameheane tu si zaidi ya hapo.
 
Uadui huu umepitiliza, mtu ambaye anapigania uhai wake, ambaye hawezi kujibu, yafaa nini kumshambulia?
 

Ama kweli nyie wapinzan ni popo
 
Tatizo la nchi yetu inawasomi wakukariri maandishi na sio waelewa wa maandishi ndo maana niwepes kuanzisha hoja halafu umaliziaji unakua 0 kwsababu yakukariri na sio kuelewa! Mtoa mada kuna maswali anaulizwa lkn hajibu be4 alijiina perfect kwasababu yakukurupuka sasa anaulizwa maswali sijui ndo ameenda kuuliza majibu au vp na mm nauliza tena kutoka trillion 425 hadi bilioni 660 ni sawa??
 
Mwenyekiti wa Barrick Gold
John L. Thornton amesema
kulikuwa na
kutokukubaliana kati ya
Tanzania na kampuni ya
Acacia kuhusu masualaya
kodi, hata hivyo
wamekubali kulipa dola
milioni 300 kwa ajili ya
kukuza uaminifu
 
Kimsingi huyu bwana anachuki na Lisu, alikuwa anatafuta namna ya kumtusi.
 
Un
Ungejipa muda ukarudia kumsikiliza Thornton na Kabudi mara kadha kabla ya kuandika ulichoandika, ile sio kaswida ya kukariri, ni intellectual output inayokuzidi uwezo wa gray matter uliyonayo! Angalia majibu ya thread yako ujue unamsemea nani, wacha mazoea ya kutumia - tu tumefanya, hatutaki, zoea kujisemea binafsi kwa sababu huna mandate ya kumsemea mtu mwingine yeyote labda mkeo au wanao kama una familia!
 
Wewe huna data.
No kampuni gani ya dhahabu iliyowahi kutoa faida asilimia 50/ kwa tz? In kampuni iliyokubali kujenga smelters before? Ni mgodi gani Tanzania iliwahi kumiliki kwa 16 percent?
 
Kwani wametulipa kodi au zile tril 400? Hizi rushwa ndiyo malipo? Wasomi wengine njaa tu
 
Wewe hujitambui, kati yako na kundi lako mlio tuaminisha kwamba tutalipwa tilioni 4, leo zimekua bilioni 500.sijui kati yenu na Lisu nani mwelevu, acha umazwazwa wewe
 
Reactions: SDG
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…