Waraka wa Bernard Membe kwa Askofu Mwamakula: Sitishiki, sitakaa kimya na kamwe sitaabudu mtu wala miungu wengine

"Askofu Mkuu Emmaus Bandekile Mwamakula - Mkuu wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania & Afrika Mashariki na Mwenyekiti Mwenza wa Umoja wa Makanisa ya Moravian ya Uamsho Duniani (World Fellowship of Moravian Revival Churches)"

Huyu Askofu mbona ana vyeo vingi kama Idd Amin? Haikutosha tu kutaja majina yake?

Hayo mengine mtajuana huko Veggies

Halafu haya kasema Membe kweli???
 
Anamtisha nani sasa??ahame chama !!maisha siyo CCM tu!! Kama anaubavu na kama anakubarika ajaribu kwenda chadema au ACT wazalendo wakutane na Bulldozer kwenye kwenye campaign .atapata kipigo cha mbwa koko!!
 
Fisadi...!
Kuna Kiongozi Malaika ?
Hebu andika Jina lake hapa.
Jina la Kiongozi Malaika.
 
Anamtisha nani sasa??ahame chama !!maisha siyo CCM tu!! Kama anaubavu na kama anakubarika ajaribu kwenda chadema au ACT wazalendo wakutane na Bulldozer kwenye kwenye campaign .atapata kipigo cha mbwa koko!!
Huyu bulldozer mbona mwepesi tu, kwanza tangu akiwa mbunge hajawahi shinda uchaguzi, 2015 aligaragazwa vibaya na lowasa (bubu), srmbuse member (vocal,
 
Aisee maneno ya waraka huu yanamuhitaji mtuu jasiri kuyasema hasa wakati huu na aliyeyasema ni jasiri
Sasa Membe kashambulia kushoto, JK kapiga kulia na suala la kujimwambafai.
Hakika jumbe zote ukiziangalia anatandikwa bingwa wa "kujimwambafai" na mpaka kufikia July 2020 atakuwa kachakaa kama bondia mchovu aliyekutanishwa na Tyson
 
2020 natamani sana Membe achukue fomu ili utamaduni wa miaka 10 ufe maana tushajionea hauna tija kwa Taifa.
 
Sasa Membe kashambulia kushoto, JK kapiga kulia na suala la kujimwambafai.
Hakika jumbe zote ukiziangalia anatandikwa bingwa wa "kujimwambafai" na mpaka kufikia July 2020 atakuwa kachakaa kama bondia mchovu aliyekutanishwa na Tyson
Jk kafanya kweli.
 
YAAAANI VYEO VYOTE VYAKE ASKOFU
KUNA SHIDAAAA WAANGALIE UPYA
 
Hii haihitaji kudukuliwa ikopeupe hata kwa mtoto wa chekechea.
 
Sema wewe na siyo sisi maana wapo wanaompinga.
Mafisadi ndiyo wanao mpinga ndiyo hao waliokula hadi kututapikia
Wanao mpinga ni wale waliokuwa wanatutapikia na tunao mkubali magu ni wale tuliokuwa tunatapikiwa mimi sipendi ccm ila magu namkubali 84%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…