Waraka wa Bernard Membe kwa Askofu Mwamakula: Sitishiki, sitakaa kimya na kamwe sitaabudu mtu wala miungu wengine

Hivi kuna mwenye matokeo ya uchaguzi wa Wajumbe 10 wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kupitia Mkutano Mkuu (KAPU) uliofanyika Dodoma 2012?
 
Ndo umejitahidi kijenga hoja hadi mwisho wa uwezo wako.
Kazi kweli kweli
Fisadi membe mlipokua mnakula hadi kututapikia wananchi mliona sawa sisi tunamtaka magu aendelee kuwa nyoosha
 
Uko nje ya Mada mkuu.
Upuuzi na uomgo , eti kampeni na ufisadi.
Hivi huyu siyo yule wa mabilion ya Gaddafi, siyo yule wa clip za kupindua serikali?
Shetani hana tone la aibu.
 
Hata kikwete alikuwa hivyo hivyo matokeo yake nchi ikageuka kuwa ya wahuni wauza unga hadi twiga wakapanda ndege .hela kuchukuliwa kwenye lumbesa na ungese wa kila namna ulisha wahi msikia huyo membe akikemea maovu hata siku moja
 
Kwa mtindo wa utendaji wa utawala huu wa awamu ya tano, tusije shangaa "wakamzushia" huyo Askofu na Membe wake, kuwa wote siyo raia wa nchi hii!
Kwa kuandika ujumbe kama huu unasupoti hayo uliyoandika au unapinga? Au ndiyo Mystery!!!
 
2020 natamani sana Membe achukue fomu ili utamaduni wa miaka 10 ufe maana tushajionea hauna tija kwa Taifa.
Utamaduni wa miaka kumi sisi tulionyuma ya magufuli atuutaki magufuli tutampa 20y or 25y
 
Mimi sijaelewa eti serial hi ya awamu ya tano wameipa rihaa wenyewe hivi huyu member alipiga kura ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…