Waraka wa Bernard Membe kwa Askofu Mwamakula: Sitishiki, sitakaa kimya na kamwe sitaabudu mtu wala miungu wengine

Mpaka wachawi wanatumwa?? Hii serikali kiboko.
 
Haya maneno kama si ya Member basi ni ya Baba askofu ila anajarbu kumlisha BENARD!
 
Njaa ndio inamsumbua Membe. Anafikiri serikali ya sasa ni ile ya watu wa pwani, kingozi kama yeye alitakiwa kutumia busara na kuacha kufata maneno ya mitandaoni na mitaani. Kwani mpaka sasa ameitwa na chama chake na kupewa onyo? Au amefunguliwa kesi ? Sasa mbona anajishakia shakia?
 
Sawa naona Shetani akizeeka anakua malaika.

Mambo ya kinafki Sana.
 
Upuuzi na uomgo , eti kampeni na ufisadi.
Hivi huyu siyo yule wa mabilion ya Gaddafi, siyo yule wa clip za kupindua serikali?
Shetani hana tone la aibu.
Mabilioni ya Gaddafi? Embu elezea ilikuwaje aliibaje ibaje
 
Mawe yamerushwa mchana kweupe na yanajua yaendako!
 
Hapa nadhani unamsema jiwe kwani ni kweli alikuwa madarakani kwa muda wa miaka zaidi ya ishirini ama ulikuwa hujui!
Who is jiwe? Binafsi sitaki kuwa mtu wa kijiweni. Nyayo za Magufuli zinaonekana kila wizara aliyopita. Niambie nyayo za Membe. Just say one!
 
Upuuzi na uomgo , eti kampeni na ufisadi.
Hivi huyu siyo yule wa mabilion ya Gaddafi, siyo yule wa clip za kupindua serikali?
Shetani hana tone la aibu.
Membe ni mtu wa kutapatapa tu. Hata facial appearance haioneshi kuwa ni mtu mwenye akili ya kutumainiwa. Alihangaika na Lowasa akasahau kuna wengine wanaomzidi. Amekosa ubunge, amekosa urais, leo anajidai ana super ideas.
 
Comment Murua sama kwa wiki hii.
 
Membe ni mtu wa kutapatapa tu. Hata facial appearance haioneshi kuwa ni mtu mwenye akili ya kutumainiwa. Alihangaika na Lowasa akasahau kuna wengine wanaomzidi. Amekosa ubunge, amekosa urais, leo anajidai ana super ideas.
Jibu hoja yake hata moja tu, utaonekana wa maana.
 
Nyayo za Magufuli zinaonekana kila wizara aliyopita. Niambie nyayo za Membe. Just say one!
Ni kweli nyayo zake zinaonekana kila wizara aliyopita kuanzia kituo cha petroli Mwanza, meli ya wachina baharini, upigaji Tanroads, kashfa ya nyumba za serikali, ununuzi wa kivuko kibovu...je niendelee?
 
Usiendelee mwache ahangaike na hayo kwanza
 
Kama siyo fisadi kwanini anamchukia magufuli siange shikamana naye Leo wauza ngada na mafisadi ndiyo wanamaumivu na magufuli
 
Tatizo siyo kula tu je nchi inajengwa
 
Ahsante Sana Mkuu kwa ujazilizo ulioshiba. Barikiwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…