Waraka wa kwanza wa c.t.u kwenda kwa wana chit chat wote......

Chilli maisha yenyewe haya mafupi ya nini kutoka povu humu, huku hatujuani wala hatujawai onana.. Nipo nipo hapa nachapa juice ya sugarcane then niende massai leo yupo dj mafuvu ndani ya dj pro 24
Halafu noahism unazingua.
 
Last edited by a moderator:
This meseji has been deleted by Shark
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Chilli maisha yenyewe haya mafupi ya nini kutoka povu humu, huku hatujuani wala hatujawai onana.. Nipo nipo hapa nachapa juice ya sugarcane then niende massai leo yupo dj mafuvu ndani ya dj pro 24

nani atoke povu kwa muimba taarabu man?ndo maana nasema unazingua. Mi leo niko kijiji huku napiga ugali wa udaga na bonge la sato halafu kwa pembeni kuna mnavu wa asili. Karibu tugonge.
 
Mpaka aazime gari la baba huyo atafika ni leo...
Hahahahaha
 
Last edited by a moderator:
asante sana Chilli my brother brother pamoja, upo na Madame B ? au upo mwenyewe
nani atoke povu kwa muimba taarabu man?ndo maana nasema unazingua. Mi leo niko kijiji huku napiga ugali wa udaga na bonge la sato halafu kwa pembeni kuna mnavu wa asili. Karibu tugonge.
 
Last edited by a moderator:
Mpaka aazime gari la baba huyo atafika ni leo...
Hahahahaha

Tembelea humu utaona unaohusu harusi yangu dogo, na wana CC walikuja kibao. Nalea dogo, sifugwi kama wewe.
By the way sina muda wa kubishana na mtu wa type yako, you are not of my type.
 
Basi lea...mkubwa mie ngoja niendelee na shughuli za hapa na pale
 
Chilli nitumie sato mkuu hapa na siku mingi sijawala hao samaki.
Tembelea humu utaona unaohusu harusi yangu dogo, na wana CC walikuja kibao. Nalea dogo, sifugwi kama wewe.
By the way sina muda wa kubishana na mtu wa type yako, you are not of my type.
 
Last edited by a moderator:
Baba V utata wake ndio una mponza hadi anaenda kupumzishwa kwenye server .... Chimbuvu usije shangaa akajimilikisha moja kwa moja mkuu , wame mpelekea nini huko jela

Wamempeleka leo bana, alipeleka utata siasani mod wakasema nae. Hapa nilipo Mama v ashanipigia simu anaomba nimchekie wakili mzuri.
Chimbuvu hata sina hofu nae ujue ni nyuki wa mashine, hana madhara.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…