Waraka wa Profesa Anna Tibaijuka kuhusu Maendeleo ya Mkoa wa Kagera. "Kagera Twafa"

Yeye kama msomi na katokea mkoa huo mchango wake ni upi na amekuwa mbunge na waziri jtihada gani kafanya, au ndiyo anataka naye asikike kama bado yupo mama wa pesa ya mboga milioni 10

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachagga wajipange. Iringa tunakuja kwa kasi ya jet
Miaka 30 ijayo Kilimanjaro na Kagera itakua Kati ya mikoa duni nchini. Naiona Pwani, Morogoro Iringa, Mwanza, Geita, Mbeya Njombe kuaendesha uchumi. Shida ya Kagera na Kilimanjaro ni ukabila wazawa ni wabinafsi sana, wageni wanabaguliwa sana, ardhi imekumabtiwa na wenyeji.

Maendeleo huletwa na wageni. Miji/mikoa isiyokua na ukabila na uzawa itaendelea tu.

Kagera Wahaya waendelee na katelelo tu wamwagiane maji wao kwa wao. Na wilaya za Ngara na unayambo zitaendelea Buhaya itabaki duni mpaka waache ukabila

Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
 
Wahaya hamrudi makwenu baada ya kufika town haswa Dar
Ndio kosa kubwa la muhaya,akitoka kwao kashahau kama ndio asili yake. Wanajenga Dar na kutanua Dar kwanini wasiwe masikini?
 
Wahaya acheni ukabila, pendeni wagane hakuna mtu anawekeza kwenu. Kutakufa huko. Nchi hii hakuna kijana anandoto ya kuishi Uhayani kama siyo mhaya.

Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
 
Wahaya mnashida mahali, roho mbaya na chuki, ubinafsi ndiyo adui yenu, narafiki zangu wana chuki wao kwa wao ndani ya familia mtu ananchukia ndugu moaka basi
 
Hivi huyu mwanamke anashangaa nini? Yeye hajashiriki kudhoofisha hali ya Kagera? Hakuwa na mamlaka? Hakuwa kiongozi? Alifanya nini? Useless.
Wewe mwache Magufuli ndo maana aliwatosa! Na akaitoa Chato kutoka Kagera!
 
Nyumba ya vioo inarushiwa mawe. Mama ana hoja. Tushambulie hoja yake si kumshambulia yeye binafsi. Hoja Kagera ni mkoa maskini Tanzania bara. Inakwamuliwaje kutoka kwenye umaskini?
 
Wahaya acheni ukabila, pendeni wagane hakuna mtu anawekeza kwenu. Kutakufa huko. Nchi hii hakuna kijana anandoto ya kuishi Uhayani kama siyo mhaya.

Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
Ni kweli kuna jamaa yangu mjita wa musoma alienda huko kagera akaanzisaha biashara walimletea fitina mpaka akafunga biashara!
 
Profesa afanye utafiti atuambie nini tatizo alafu ndiyo aombe msaada.
 
Nakubaliana na wewe 100%
 
Wewe mwache Magufuli ndo maana aliwatosa! Na akaitoa Chato kutoka Kagera!
Hata sielewi watu wa huko wanawaza nini. Kati ya mikoa iliyokuwa na wasomi wengi ni Kagera lakini hawakuwahi kuwa na mawazo ya kuendeleza kwao.
 
Kagera kuwa maskini wala sishangai wamekuwa hapo toka enzi za mkapa pili hao mnaoasema wamejenga huku mjini sijui wana mihela ni muendelezo wa sifa hewa wahaya ndio kabila linaloongoza kufilisika wakiwa wazeee
 
Huyu mama mnafiki sana juzi hapa anapinga Chato kuwa mkoa anaongea ujinga ujinga tu! Naomba kagera igawanywe wabaki hawa roho mbaya!
Chato, Ngara na Karagwe zitolewe Kagera hata kwa nguvu wabaki na Mkoa wao wa roho mbaya na katelelo. Ukifanya kazi Kagera ndo utakua Kuna ukabila nchi hii.

Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
 
Wachaga shule nzuri ipo kilimanjaro. Nyumba nzuri kilimanjaro. Unaambiwa ktk Tz sehem nyumba kupanga ni bei chee ni Kilimanjaro.. wenzenu wanaishi mikocheni ila wama magorofa Kilimanjaro nyie mnalia lia tu...

Kuwa na nyumba za kupanga “ bei chee“ siyo tafsiri ya maendeleo bali uwekezaji ambao hauna tija kwani haujazingatia hitaji la soko la upangaji wa hizo nyumba, hivyo siyo mafanikio bali failure!
 
Waliona fahari kuja Dar na kuanzisha mtaa wa kwanza kabisa wa wauza nyapu wakapaita "Magomeni Kagera kwa wahaya" hicho ndo walijua kutanguliza mbere!
 
Aipata mgao wa bilion 1.6 kipindi hicho kagera aliwekeza nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…