Waraka wa Profesa Anna Tibaijuka kuhusu Maendeleo ya Mkoa wa Kagera. "Kagera Twafa"

Haaaaa....watu kule wana kauvivu' fulani, nafikiri kutokana sijui na historia yao ya zamani ya kutumikisha ' warundi/wahamiaji' kwenye kazi nzito......... hahahahaaaa
... sana! Ni ajabu kusikia mkoa wa Kagera ni mkoa masikini; ajabu mno! Mkoa ambao ni evergreen throughout the year kwanini uwe masikini? Dah!
 
Kwanza aache kumuita “mama“ pili hana nia (kuhusu uwezo wake sijui) ya kufanya chochote kupunguza umaskini Tanzania vinginevyo Bwawa la kuzalisha umeme lingemaliziwa lkn linapotezewa, umeme hakuna umaskini ataushughulikia vipi ?
Kwa hiyo kumwita "mama" ni tatizo mbona N Nyerere alikuwa anaitwa "mwalimu" bila neno Rais yaani Rais mwalimu wala mwalimu Rais bali MWALIMU TU
 
Wewe naona hamjui Tibaijuka vizuri,kwao Mleba kafanya kipi cha maana?Hata shule kajenga mkoa wa Pwani baadala ya kujenga kwao Mleba ili ndugu zake waliompa ubunge wafaidike na elimu,amekuwa aridhi alifanya nini,ni mradi hupi aliupeleka kwao Muleba?Sanasana migogoro ya aridhi,angalia Magufuli alipokuwa bado Waziri ajawa bado Rais wetu, alikuwa amefanya mangapi chato,watu wanalalamika eti Magufuri alikuwa anapendelea chato,kumbe Magufuri kaanza kujenga chato kuanzia akiwa Waziri,
 
Hao ndiyo wahuni wenyewe, icho anacho fanya ni harakati za kihuni kujidai anauchungu na wanabukoba wakati alipokuwa na cheo kazi pekee aliyokuwa anafanya ni ufisadi tu
 
Magufuli mbona alikuwa akipeleka miradi mikubwa bado akiwa Waziri? mpaka alijenga nyumba za NHC zikaja kuzinduliwa na Mkapa na Odinga, Barabara ya lami ulikuwa kwenda bukoba lazima upite chato sio bialamulo, akina tibaijuka walivyopata ubunge wakajenga mashule Pwani, baadala ya kwao Mleba
 
Hao ndiyo wahuni wenyewe, icho anacho fanya ni harakati za kihuni kujidai anauchungu na wanabukoba wakati alipokuwa na cheo kazi pekee aliyokuwa anafanya ni ufisadi tu
Huyu Mama anasaka furusa tu anauchungu wowote na Kagera
 
Wahaya bhaaana, ndio maana insomilee siku hiZi imepunguwa .

Poleni sana Watani Zangu
 
Nyumba ya vioo inarushiwa mawe. Mama ana hoja. Tushambulie hoja yake si kumshambulia yeye binafsi. Hoja Kagera ni mkoa maskini Tanzania bara. Inakwamuliwaje kutoka kwenye umaskini?
Ndo upambane sas hakuna mtu atakuja na bakuli la ngawila akupe
 
Profesa afanye utafiti atuambie nini tatizo alafu ndiyo aombe msaada.
India waliwahi kufanya mjadala kama huu;ni kwa nini India imeachwa sana na China,ikizingatiwa nchi ya INDIA ni ya pili kwa idadi ya watu duniani baada ya nchi ya CHINA.

JIBU lilotolewa na wengi ni kuwa nchi ya India,wananchi wake wanabaguana sana!!

Inawezekana hata mkoa wa Kagera ikawa na tatizo la kubaguana wao kwa wao,na kuwabagua wengine wasio kuwa na asili ya Mkoa wa Kagera.
 
Kuna jamaa anaitwa Instanbul kwa jinsi anavyosifia kagera kwamba pameendelea sijui atakuwa anajisikiaje kuhusu hili bandiko............wahaya sound ni nyingi kuliko uhalisia wa mambo.
 
Alipewa hela nyingi sana na Ruge alishindwa hata kufungua kiwanda cha Kahawa hapo?

Anaongelea eti mwaka 1960 hivi hajui wao ndio walivumbua kuyeyusha chuma miaka 1900 kabla ya wazungu
 
Wahaya rudini kwenu tokeni town
Mmeanza lini kutubagua? Mnatufukuza twende Kwetu wapi? Uganda,Rwanda ,Congo ama Kamerun? Idd Amin alipotuchukua mbona mlimpiga na kumfukuza kama mwizi hadi akafia ukimbizini? Ubaguzi ni kama kula nyama ya mtu,alisema Nyerere.Mkimaliza kutufukuza sisi atamfuata nani? Otagwisa Mkono 2022.
 
Kajumulo iko Bukoba mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…