Waraka wa Profesa Anna Tibaijuka kuhusu Maendeleo ya Mkoa wa Kagera. "Kagera Twafa"

Waraka wa Profesa Anna Tibaijuka kuhusu Maendeleo ya Mkoa wa Kagera. "Kagera Twafa"

Haaaaa....watu kule wana kauvivu' fulani, nafikiri kutokana sijui na historia yao ya zamani ya kutumikisha ' warundi/wahamiaji' kwenye kazi nzito......... hahahahaaaa
... sana! Ni ajabu kusikia mkoa wa Kagera ni mkoa masikini; ajabu mno! Mkoa ambao ni evergreen throughout the year kwanini uwe masikini? Dah!
 
Kwanza aache kumuita “mama“ pili hana nia (kuhusu uwezo wake sijui) ya kufanya chochote kupunguza umaskini Tanzania vinginevyo Bwawa la kuzalisha umeme lingemaliziwa lkn linapotezewa, umeme hakuna umaskini ataushughulikia vipi ?
Kwa hiyo kumwita "mama" ni tatizo mbona N Nyerere alikuwa anaitwa "mwalimu" bila neno Rais yaani Rais mwalimu wala mwalimu Rais bali MWALIMU TU
 
Nafikiri hujafuatilia michango ya Profesa Anna bungeni na nje ya Bunge ndugu

Katika wabunge wa Kagera walioongelea Kagera na kuipigania Ni Prof Anna Tibaijuka

Aliongelea zao la kahawa mpaka Rais akaingilia Kati , aliamuru wananchi katika Jimbo lake wauze kahawa popote wanapotaka na akagombana Sana na viongozi wa ushirika na mkuu wa wilaya kwamba anawafanya wanachi wauze kahawa bila utaratibu hii Ni baada ya mamlaka kutaka kahawa yote iuzwe kwenye ushirika

Naomba uwe mfuatiliaji kabla huja-comment chochote kuhusu mtu fulani hasa , usipende kuweka chuki binafsi na siasa katika ukweli maana watu watakushangaa Sana kwani clip zipo za kutosha kuhusu mchango wa Prof Anna
Wewe naona hamjui Tibaijuka vizuri,kwao Mleba kafanya kipi cha maana?Hata shule kajenga mkoa wa Pwani baadala ya kujenga kwao Mleba ili ndugu zake waliompa ubunge wafaidike na elimu,amekuwa aridhi alifanya nini,ni mradi hupi aliupeleka kwao Muleba?Sanasana migogoro ya aridhi,angalia Magufuli alipokuwa bado Waziri ajawa bado Rais wetu, alikuwa amefanya mangapi chato,watu wanalalamika eti Magufuri alikuwa anapendelea chato,kumbe Magufuri kaanza kujenga chato kuanzia akiwa Waziri,
 
Tibaijuka Yeye amekua Waziri katika Serikali, mbona hatujawai kusikia anawasemea wana kagera, amekuwa mbunge miaka 10, hatukuwai kuona hata akisemea zao kuu la biashara kahawa, wakati Nchi jirani Uganda kahawa ni bei ni zaidi ya mala 3, mpaka kagera tunatamani kuuza Uganda.Tibaijuka alichokifanya alipopata ubunge na uwaziri ni kujimilikisha aridhi tu,akuna alichosaidia chochote, Sasahivi eti anapiga kelele.
Hao ndiyo wahuni wenyewe, icho anacho fanya ni harakati za kihuni kujidai anauchungu na wanabukoba wakati alipokuwa na cheo kazi pekee aliyokuwa anafanya ni ufisadi tu
 
..katika nafasi ya Uwaziri Prof.Tibaijuka alikuwa Waziri wa ardhi wa Tanzania nzima, sio Waziri wa ardhi wa Kagera au Karagwe jimbo lake la uchaguzi.

..kwa msingi huo Prof ktk nafasi ya Waziri wa ardhi asingeweza kufanya au kutekeleza jambo lolote huko Kagera nje ya mipango ya serikali kuu au ilani ya chama chao.
Magufuli mbona alikuwa akipeleka miradi mikubwa bado akiwa Waziri? mpaka alijenga nyumba za NHC zikaja kuzinduliwa na Mkapa na Odinga, Barabara ya lami ulikuwa kwenda bukoba lazima upite chato sio bialamulo, akina tibaijuka walivyopata ubunge wakajenga mashule Pwani, baadala ya kwao Mleba
 
Hao ndiyo wahuni wenyewe, icho anacho fanya ni harakati za kihuni kujidai anauchungu na wanabukoba wakati alipokuwa na cheo kazi pekee aliyokuwa anafanya ni ufisadi tu
Huyu Mama anasaka furusa tu anauchungu wowote na Kagera
 
Wahaya bhaaana, ndio maana insomilee siku hiZi imepunguwa .

Poleni sana Watani Zangu
 
Nyumba ya vioo inarushiwa mawe. Mama ana hoja. Tushambulie hoja yake si kumshambulia yeye binafsi. Hoja Kagera ni mkoa maskini Tanzania bara. Inakwamuliwaje kutoka kwenye umaskini?
Ndo upambane sas hakuna mtu atakuja na bakuli la ngawila akupe
 
Profesa afanye utafiti atuambie nini tatizo alafu ndiyo aombe msaada.
India waliwahi kufanya mjadala kama huu;ni kwa nini India imeachwa sana na China,ikizingatiwa nchi ya INDIA ni ya pili kwa idadi ya watu duniani baada ya nchi ya CHINA.

JIBU lilotolewa na wengi ni kuwa nchi ya India,wananchi wake wanabaguana sana!!

Inawezekana hata mkoa wa Kagera ikawa na tatizo la kubaguana wao kwa wao,na kuwabagua wengine wasio kuwa na asili ya Mkoa wa Kagera.
 
Kuna jamaa anaitwa Instanbul kwa jinsi anavyosifia kagera kwamba pameendelea sijui atakuwa anajisikiaje kuhusu hili bandiko............wahaya sound ni nyingi kuliko uhalisia wa mambo.
 
Alipewa hela nyingi sana na Ruge alishindwa hata kufungua kiwanda cha Kahawa hapo?

Anaongelea eti mwaka 1960 hivi hajui wao ndio walivumbua kuyeyusha chuma miaka 1900 kabla ya wazungu
IMG_4013.jpg
 
Wahaya rudini kwenu tokeni town
Mmeanza lini kutubagua? Mnatufukuza twende Kwetu wapi? Uganda,Rwanda ,Congo ama Kamerun? Idd Amin alipotuchukua mbona mlimpiga na kumfukuza kama mwizi hadi akafia ukimbizini? Ubaguzi ni kama kula nyama ya mtu,alisema Nyerere.Mkimaliza kutufukuza sisi atamfuata nani? Otagwisa Mkono 2022.
 
Mbona yeye hata shule zake amewekeza Mwanza,badala ya Bukoba.

Huyu mama amepagawa baada ya kuona bibi kizee mwenzake Muramura amepewa ulaji wakati yeye akisahaulika ingawa naye alikuwa huko UN-HABITAT.

Huo ndio ukweli,hakuna lingine wala nini?

Yeye si anakula za Museveni kidogo kidogo, shida yake nini?

Bado za mboga kutoka kwa Rugemalira!

Bado malori semi trailers zinapishana barabarani zikisomba cement,kwa mgongo wa Texas!

Kweli mama ana tamaa ya FISI.
Kajumulo iko Bukoba mkuu.
 
Back
Top Bottom