tunduma001
JF-Expert Member
- Jun 7, 2021
- 403
- 762
sisi amani yenyewe tushaichoka na sijui hata tuanzishe vipi.Sisi ndio tuliouwa waarabu wenu 1964 apo zenji na kuuangusha kabisa utawala wa kiislam sasa sijui tufanyaje tena na hapo wala kitimoto wenzetu wa ulaya na marekani hatujawaalika waje.......upo wewe bichwa flat?Anzisheni sasa msiishie kuandika vikaratasi vya kipuuzi na kuvisambaza makanisani mwenu.
Anzisheni vita muone kazi.
Kama mmeichoka amani tutawapa mnachokitaka.
😂😂😂😂 MakasirikoPelekeni mpaka Vatican bandari itabinafsishwa mtake au msitake.
Ibinafsishwe tu ila believe me or not Samia atashinda ila atapata ugumu sana awamu ijayo coz wabunge wengi wa ccm tutakula vichwa na safari hii hakuna wanafunzi ambao hawana sifa za kupiga kura wataruhusiwa kupiga kuraPelekeni mpaka Vatican bandari itabinafsishwa mtake au msitake.
Anzeni sasa au mnamsubiri kitima aje mstari wa mbele?sisi amani yenyewe tushaichoka na sijui hata tuanzishe vipi.Sisi ndio tuliouwa waarabu wenu 1964 apo zenji na kuuangusha kabisa utawala wa kiislam sasa sijui tufanyaje tena na hapo wala kitimoto wenzetu wa ulaya na marekani hatujawaalika waje.......upo wewe bichwa flat?
Duu umenikumbusha majuzi huko MwanzaMie ni Anglican, ILA wakatoliki hapo ndio nawapenda, they are very smart!
Msimamo unapokuwa ni wa TEC basi rasmi unakuwa wa wakatoliki wote👏🤝💪
Ni taasisi kubwa kuliko hata ccm yenyewe i swear
Bora sanamu kuliko kuabudu shoga wenuWaabudu sanamu
Naona kama kanisa langu katoliki limepotoka safari hii. Halijamtendea haki Rais Samia na wasaidizi wake.Leo Mambo yamependeza sana, Waraka wa TEC unaofafanua Mkataba wa Bandari za Tanzania na DPW ya Dubai wenye ujumbe mwanana wa Sauti ya Watu ni Sauti ya Mungu.
Yaliyojitokeza ni waumini kuuelewa na kuukubali. Pembezoni nimeteta na Mh. Mbunge wa Jimbo letu, Ni muumini wa Jumia hii, kwa ufupi anasema waraka huu na yeye na wengine umewapa amani, wamepata pa kushikia, Nafsi zao zilisongwa sana kwenye vikao ndani ya chama. lakini sasa wametua mzigo. Wanasubiri kama utarudi bungeni au utatupwa kapuni. Niliyyapata kwa waumini mchanganyiko, akina mama, wazee wa familia, wafanya biashara na mmoja mtu muhimu serikalini.
1. Wao kama WAKATOLIKI na Watanzania wako tayari kuulinda, kuutetea Waraka huu hata kama ni kimyakimya.
2. Serikali sasa iwe makini sana, kumbuka dini haina mipaka eneo la kazi, tumechanganyana humo, wako wabunge, mahakimu, mapolisi, wanajeshi, wakulima, walimu, madaktari, wafanyakazi bandarini, yaani popote na kwa kawaida WUMINI HUWA HATUPINGI MAELEKEZO YA KIROHO, KWA SASA KUTOKUBALIANA NA MKATABA WA BANDARI NI SUALA LA KIROHO.
3. Ujumbe huu ukiwa na hoja muhimu ni vema zijibiwe kwa uwazi na weledi, halafu waumini na viongozi wetu kiroho tukiyaelewa majibu yenu Spika, Rais, Prof. Mbarawa tutarudi kwa waumini kuwaambia mmeeleweka .
Asanteni kwa Sasa. Kesho nitahudhuria misa ya Kwanza, Asanteni Maaskofu.
Vipi nyie Wala vijing'ombe vya elfu10 za waturuki.... Mtalowa mpaka ndevu.. hapa hamchomoki shenzi nyie.Waabudu sanamuuu
Lengo ni Nini! Ili kuleta taharaki au? Kanisa linashiriki kuleta taharaki? No wonder kanisa katoliki nchini rwanda lilichangia kuleta mauaji ya kimbari. Ningekuwa rais,ningelifuta hili kanisaLeo Mambo yamependeza sana, Waraka wa TEC unaofafanua Mkataba wa Bandari za Tanzania na DPW ya Dubai wenye ujumbe mwanana wa Sauti ya Watu ni Sauti ya Mungu.
Yaliyojitokeza ni waumini kuuelewa na kuukubali. Pembezoni nimeteta na Mh. Mbunge wa Jimbo letu, Ni muumini wa Jumia hii, kwa ufupi anasema waraka huu na yeye na wengine umewapa amani, wamepata pa kushikia, Nafsi zao zilisongwa sana kwenye vikao ndani ya chama. lakini sasa wametua mzigo. Wanasubiri kama utarudi bungeni au utatupwa kapuni. Niliyyapata kwa waumini mchanganyiko, akina mama, wazee wa familia, wafanya biashara na mmoja mtu muhimu serikalini.
1. Wao kama WAKATOLIKI na Watanzania wako tayari kuulinda, kuutetea Waraka huu hata kama ni kimyakimya.
2. Serikali sasa iwe makini sana, kumbuka dini haina mipaka eneo la kazi, tumechanganyana humo, wako wabunge, mahakimu, mapolisi, wanajeshi, wakulima, walimu, madaktari, wafanyakazi bandarini, yaani popote na kwa kawaida WUMINI HUWA HATUPINGI MAELEKEZO YA KIROHO, KWA SASA KUTOKUBALIANA NA MKATABA WA BANDARI NI SUALA LA KIROHO.
3. Ujumbe huu ukiwa na hoja muhimu ni vema zijibiwe kwa uwazi na weledi, halafu waumini na viongozi wetu kiroho tukiyaelewa majibu yenu Spika, Rais, Prof. Mbarawa tutarudi kwa waumini kuwaambia mmeeleweka .
Asanteni kwa Sasa. Kesho nitahudhuria misa ya Kwanza, Asanteni Maaskofu.
Waabudu sanamu hawaendi mbinguniBora sanamu kuliko kuabudu shoga wenu
Karibu SDA leoVipi nyie Wala vijing'ombe vya elfu10 za waturuki.... Mtalowa mpaka ndevu.. hapa hamchomoki shenzi nyie.
Peleka utahira wako huko...Karibu SDA leo
Hata sisi huku umesomwaLeo Mambo yamependeza sana, Waraka wa TEC unaofafanua Mkataba wa Bandari za Tanzania na DPW ya Dubai wenye ujumbe mwanana wa Sauti ya Watu ni Sauti ya Mungu.
Yaliyojitokeza ni waumini kuuelewa na kuukubali. Pembezoni nimeteta na Mh. Mbunge wa Jimbo letu, Ni muumini wa Jumia hii, kwa ufupi anasema waraka huu na yeye na wengine umewapa amani, wamepata pa kushikia, Nafsi zao zilisongwa sana kwenye vikao ndani ya chama. lakini sasa wametua mzigo. Wanasubiri kama utarudi bungeni au utatupwa kapuni. Niliyyapata kwa waumini mchanganyiko, akina mama, wazee wa familia, wafanya biashara na mmoja mtu muhimu serikalini.
1. Wao kama WAKATOLIKI na Watanzania wako tayari kuulinda, kuutetea Waraka huu hata kama ni kimyakimya.
2. Serikali sasa iwe makini sana, kumbuka dini haina mipaka eneo la kazi, tumechanganyana humo, wako wabunge, mahakimu, mapolisi, wanajeshi, wakulima, walimu, madaktari, wafanyakazi bandarini, yaani popote na kwa kawaida WUMINI HUWA HATUPINGI MAELEKEZO YA KIROHO, KWA SASA KUTOKUBALIANA NA MKATABA WA BANDARI NI SUALA LA KIROHO.
3. Ujumbe huu ukiwa na hoja muhimu ni vema zijibiwe kwa uwazi na weledi, halafu waumini na viongozi wetu kiroho tukiyaelewa majibu yenu Spika, Rais, Prof. Mbarawa tutarudi kwa waumini kuwaambia mmeeleweka .
Asanteni kwa Sasa. Kesho nitahudhuria misa ya Kwanza, Asanteni Maaskofu.
Tahira ni Mama na Baba yako waliokuzaa na kukuleaPeleka utahira wako huko...
Moja ya kanuni ya Wakatoliki ni utii kwa mamlaka ya Kanisa...kwa hiyo hilo tamko la TEC ni msimamo wa Wakatoliki Tanzania nzima...na Sina shaka Papa kule Vatican ameshajulishwa kabla ya waraka/tamko kutoka....Na usomwe makanisa yote hiyo kesho [emoji120]
Kama hujui roles za makanisa katika jamii ni vizuri ukapumzisha fuvu lako.... Kanisa linawajibu zaidi ya chama Cha siasa.Lengo ni Nini! Ili kuleta taharaki au? Kanisa linashiriki kuleta taharaki? No wonder kanisa katoliki nchini rwanda lilichangia kuleta mauaji ya kimbari. Ningekuwa rais,ningelifuta hili kanisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Nakuona mvaa kobazi wa jumamosiWaabudu sanamuuu
SDA ndio wanafundisha ushudu huu? Ewe zwazwa!.Tahira ni Mama na Baba yako waliokuzaa na kukulea