Waraka wa TEC umesomwa kwenye Jumuia yangu ya Mt. Marcelino. Tunawashukuru Maaskofu. Kesho utasomwa vigangoni na Parokiani Mt. Antoni wa Padua

Anzisheni sasa msiishie kuandika vikaratasi vya kipuuzi na kuvisambaza makanisani mwenu.

Anzisheni vita muone kazi.

Kama mmeichoka amani tutawapa mnachokitaka.
sisi amani yenyewe tushaichoka na sijui hata tuanzishe vipi.Sisi ndio tuliouwa waarabu wenu 1964 apo zenji na kuuangusha kabisa utawala wa kiislam sasa sijui tufanyaje tena na hapo wala kitimoto wenzetu wa ulaya na marekani hatujawaalika waje.......upo wewe bichwa flat?
 
Pelekeni mpaka Vatican bandari itabinafsishwa mtake au msitake.
Ibinafsishwe tu ila believe me or not Samia atashinda ila atapata ugumu sana awamu ijayo coz wabunge wengi wa ccm tutakula vichwa na safari hii hakuna wanafunzi ambao hawana sifa za kupiga kura wataruhusiwa kupiga kura
 
sisi amani yenyewe tushaichoka na sijui hata tuanzishe vipi.Sisi ndio tuliouwa waarabu wenu 1964 apo zenji na kuuangusha kabisa utawala wa kiislam sasa sijui tufanyaje tena na hapo wala kitimoto wenzetu wa ulaya na marekani hatujawaalika waje.......upo wewe bichwa flat?
Anzeni sasa au mnamsubiri kitima aje mstari wa mbele?

Kule Rwanda kanisa lilikuwa linawalaghai watusi kuwafungia kanisani na kuwapa amani kumbe kwa nyuma viongozi wanawatonya wahutu waje kuwachinja watusi!

Sisi hatuwezi kufanyiwa upuuzi kama huo anzisheni muone.

Mashoga wakubwa nyie.
 
Mie ni Anglican, ILA wakatoliki hapo ndio nawapenda, they are very smart!
Msimamo unapokuwa ni wa TEC basi rasmi unakuwa wa wakatoliki wote👏🤝💪
Ni taasisi kubwa kuliko hata ccm yenyewe i swear
Duu umenikumbusha majuzi huko Mwanza
Mkuu wa Mkoa Makala anasema Daimond mkubwa kuliko Chadema
Kweli CCM Mme imbiwa !!!
 
Leo Mambo yamependeza sana, Waraka wa TEC unaofafanua Mkataba wa Bandari za Tanzania na DPW ya Dubai wenye ujumbe mwanana wa Sauti ya Watu ni Sauti ya Mungu.
Yaliyojitokeza ni waumini kuuelewa na kuukubali. Pembezoni nimeteta na Mh. Mbunge wa Jimbo letu, Ni muumini wa Jumia hii, kwa ufupi anasema waraka huu na yeye na wengine umewapa amani, wamepata pa kushikia, Nafsi zao zilisongwa sana kwenye vikao ndani ya chama. lakini sasa wametua mzigo. Wanasubiri kama utarudi bungeni au utatupwa kapuni. Niliyyapata kwa waumini mchanganyiko, akina mama, wazee wa familia, wafanya biashara na mmoja mtu muhimu serikalini.
1. Wao kama WAKATOLIKI na Watanzania wako tayari kuulinda, kuutetea Waraka huu hata kama ni kimyakimya.
2. Serikali sasa iwe makini sana, kumbuka dini haina mipaka eneo la kazi, tumechanganyana humo, wako wabunge, mahakimu, mapolisi, wanajeshi, wakulima, walimu, madaktari, wafanyakazi bandarini, yaani popote na kwa kawaida WUMINI HUWA HATUPINGI MAELEKEZO YA KIROHO, KWA SASA KUTOKUBALIANA NA MKATABA WA BANDARI NI SUALA LA KIROHO.
3. Ujumbe huu ukiwa na hoja muhimu ni vema zijibiwe kwa uwazi na weledi, halafu waumini na viongozi wetu kiroho tukiyaelewa majibu yenu Spika, Rais, Prof. Mbarawa tutarudi kwa waumini kuwaambia mmeeleweka .

Asanteni kwa Sasa. Kesho nitahudhuria misa ya Kwanza, Asanteni Maaskofu.
Naona kama kanisa langu katoliki limepotoka safari hii. Halijamtendea haki Rais Samia na wasaidizi wake.

Padre Kitina ni mwana CHADEMA na mfumo unamwangalia na kumheshimu kwani wanajua wapi watashughulika nae.
 
Leo Mambo yamependeza sana, Waraka wa TEC unaofafanua Mkataba wa Bandari za Tanzania na DPW ya Dubai wenye ujumbe mwanana wa Sauti ya Watu ni Sauti ya Mungu.
Yaliyojitokeza ni waumini kuuelewa na kuukubali. Pembezoni nimeteta na Mh. Mbunge wa Jimbo letu, Ni muumini wa Jumia hii, kwa ufupi anasema waraka huu na yeye na wengine umewapa amani, wamepata pa kushikia, Nafsi zao zilisongwa sana kwenye vikao ndani ya chama. lakini sasa wametua mzigo. Wanasubiri kama utarudi bungeni au utatupwa kapuni. Niliyyapata kwa waumini mchanganyiko, akina mama, wazee wa familia, wafanya biashara na mmoja mtu muhimu serikalini.
1. Wao kama WAKATOLIKI na Watanzania wako tayari kuulinda, kuutetea Waraka huu hata kama ni kimyakimya.
2. Serikali sasa iwe makini sana, kumbuka dini haina mipaka eneo la kazi, tumechanganyana humo, wako wabunge, mahakimu, mapolisi, wanajeshi, wakulima, walimu, madaktari, wafanyakazi bandarini, yaani popote na kwa kawaida WUMINI HUWA HATUPINGI MAELEKEZO YA KIROHO, KWA SASA KUTOKUBALIANA NA MKATABA WA BANDARI NI SUALA LA KIROHO.
3. Ujumbe huu ukiwa na hoja muhimu ni vema zijibiwe kwa uwazi na weledi, halafu waumini na viongozi wetu kiroho tukiyaelewa majibu yenu Spika, Rais, Prof. Mbarawa tutarudi kwa waumini kuwaambia mmeeleweka .

Asanteni kwa Sasa. Kesho nitahudhuria misa ya Kwanza, Asanteni Maaskofu.
Lengo ni Nini! Ili kuleta taharaki au? Kanisa linashiriki kuleta taharaki? No wonder kanisa katoliki nchini rwanda lilichangia kuleta mauaji ya kimbari. Ningekuwa rais,ningelifuta hili kanisa
 
Safi sana, ibara ya 27 ya katiba inataka kila mtanzania alinde na kutetea rasilimali za nchi. Maaskofu kama Watanzania, wametimiza wajibu wao!
 
Leo Mambo yamependeza sana, Waraka wa TEC unaofafanua Mkataba wa Bandari za Tanzania na DPW ya Dubai wenye ujumbe mwanana wa Sauti ya Watu ni Sauti ya Mungu.
Yaliyojitokeza ni waumini kuuelewa na kuukubali. Pembezoni nimeteta na Mh. Mbunge wa Jimbo letu, Ni muumini wa Jumia hii, kwa ufupi anasema waraka huu na yeye na wengine umewapa amani, wamepata pa kushikia, Nafsi zao zilisongwa sana kwenye vikao ndani ya chama. lakini sasa wametua mzigo. Wanasubiri kama utarudi bungeni au utatupwa kapuni. Niliyyapata kwa waumini mchanganyiko, akina mama, wazee wa familia, wafanya biashara na mmoja mtu muhimu serikalini.
1. Wao kama WAKATOLIKI na Watanzania wako tayari kuulinda, kuutetea Waraka huu hata kama ni kimyakimya.
2. Serikali sasa iwe makini sana, kumbuka dini haina mipaka eneo la kazi, tumechanganyana humo, wako wabunge, mahakimu, mapolisi, wanajeshi, wakulima, walimu, madaktari, wafanyakazi bandarini, yaani popote na kwa kawaida WUMINI HUWA HATUPINGI MAELEKEZO YA KIROHO, KWA SASA KUTOKUBALIANA NA MKATABA WA BANDARI NI SUALA LA KIROHO.
3. Ujumbe huu ukiwa na hoja muhimu ni vema zijibiwe kwa uwazi na weledi, halafu waumini na viongozi wetu kiroho tukiyaelewa majibu yenu Spika, Rais, Prof. Mbarawa tutarudi kwa waumini kuwaambia mmeeleweka .

Asanteni kwa Sasa. Kesho nitahudhuria misa ya Kwanza, Asanteni Maaskofu.
Hata sisi huku umesomwa
 
Na usomwe makanisa yote hiyo kesho [emoji120]
Moja ya kanuni ya Wakatoliki ni utii kwa mamlaka ya Kanisa...kwa hiyo hilo tamko la TEC ni msimamo wa Wakatoliki Tanzania nzima...na Sina shaka Papa kule Vatican ameshajulishwa kabla ya waraka/tamko kutoka....

Mizizi ya Wakatoliki imejikita ndani ya jamii mijini na vijijjnii....dah serikali kazi wanayo kwa hili...
 
Lengo ni Nini! Ili kuleta taharaki au? Kanisa linashiriki kuleta taharaki? No wonder kanisa katoliki nchini rwanda lilichangia kuleta mauaji ya kimbari. Ningekuwa rais,ningelifuta hili kanisa
Kama hujui roles za makanisa katika jamii ni vizuri ukapumzisha fuvu lako.... Kanisa linawajibu zaidi ya chama Cha siasa.
 
Back
Top Bottom