muhamar Gadaf
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 1,101
- 1,050
Siyo kubinafsishwa, sema itaporwa.Pelekeni mpaka Vatican bandari itabinafsishwa mtake au msitake.
Hata mhamishe magoli maumivu yako pale pale,ongezeni kufuga majini tuNa pesa za escrow walizokula maaskofu wa TEC mmepewa kwenye vigango?
Nyie pigeni kelele na walaka wenu, kwa Dk Samia zege halilaliInshort huo waraka ni lazima isimwe kwenye kila jumuiya, kigango, kabisa na parokia kui zote..., hadi vijijini pasipo hata na minara ya simu ni lazima upelekwe kwa maandishi na usomwe wote bila kuacha hata herufi!
Na hoja zijibiwe!!!
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa
1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)
2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?
3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?
4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!
6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
Walikula sh. ngapi wewe mbumbumbu ?
Una uhakika na hii hoja yako?kwan athari za mkataba huu watapata wavatican ? ukiitwa nyqn unalalamika , ila akili zako znasadiki , hili sio swala la kidin hata kdg , kama waarab wana nia njema kwann watumie njia za panya ? zaid ya 1B imetumika kutoa rushwa ili mkataba upitishwe , jiulize wabunge , waandishi wa habari na viongoz wa serikalin wote wamepewa mgao
Watangaze maandamano ili waone sura halisi ya serikali, ndio watajua viongozi wa serikali ni wakatoliki au wapagani!!Msiishie kuchoka kwa kuandika waraka pekee.
Anzisheni vita na waislamu au mnaogopa?
Walikula hela chafu za Rugemarulaa kupitia ESROW. Wamizirejesha nitakuwa na imani nao vinginevyo ni wale waleLeo Mambo yamependeza sana, Waraka wa TEC unaofafanua Mkataba wa Bandari za Tanzania na DPW ya Dubai wenye ujumbe mwanana wa Sauti ya Watu ni Sauti ya Mungu.
Yaliyojitokeza ni waumini kuuelewa na kuukubali. Pembezoni nimeteta na Mh. Mbunge wa Jimbo letu, Ni muumini wa Jumia hii, kwa ufupi anasema waraka huu na yeye na wengine umewapa amani, wamepata pa kushikia, Nafsi zao zilisongwa sana kwenye vikao ndani ya chama. lakini sasa wametua mzigo. Wanasubiri kama utarudi bungeni au utatupwa kapuni. Niliyyapata kwa waumini mchanganyiko, akina mama, wazee wa familia, wafanya biashara na mmoja mtu muhimu serikalini.
1. Wao kama WAKATOLIKI na Watanzania wako tayari kuulinda, kuutetea Waraka huu hata kama ni kimyakimya.
2. Serikali sasa iwe makini sana, kumbuka dini haina mipaka eneo la kazi, tumechanganyana humo, wako wabunge, mahakimu, mapolisi, wanajeshi, wakulima, walimu, madaktari, wafanyakazi bandarini, yaani popote na kwa kawaida WUMINI HUWA HATUPINGI MAELEKEZO YA KIROHO, KWA SASA KUTOKUBALIANA NA MKATABA WA BANDARI NI SUALA LA KIROHO.
3. Ujumbe huu ukiwa na hoja muhimu ni vema zijibiwe kwa uwazi na weledi, halafu waumini na viongozi wetu kiroho tukiyaelewa majibu yenu Spika, Rais, Prof. Mbarawa tutarudi kwa waumini kuwaambia mmeeleweka .
Asanteni kwa Sasa. Kesho nitahudhuria misa ya Kwanza, Asanteni Maaskofu.
Anatoka nanii kwenye naniii. 😆🤣🏃Mama yenu ana hali gani huko alipo?
Sisi wasabatho Tutasoma Jumamosi Ijayo.Leo Mambo yamependeza sana, Waraka wa TEC unaofafanua Mkataba wa Bandari za Tanzania na DPW ya Dubai wenye ujumbe mwanana wa Sauti ya Watu ni Sauti ya Mungu.
Yaliyojitokeza ni waumini kuuelewa na kuukubali. Pembezoni nimeteta na Mh. Mbunge wa Jimbo letu, Ni muumini wa Jumia hii, kwa ufupi anasema waraka huu na yeye na wengine umewapa amani, wamepata pa kushikia, Nafsi zao zilisongwa sana kwenye vikao ndani ya chama. lakini sasa wametua mzigo. Wanasubiri kama utarudi bungeni au utatupwa kapuni. Niliyyapata kwa waumini mchanganyiko, akina mama, wazee wa familia, wafanya biashara na mmoja mtu muhimu serikalini.
1. Wao kama WAKATOLIKI na Watanzania wako tayari kuulinda, kuutetea Waraka huu hata kama ni kimyakimya.
2. Serikali sasa iwe makini sana, kumbuka dini haina mipaka eneo la kazi, tumechanganyana humo, wako wabunge, mahakimu, mapolisi, wanajeshi, wakulima, walimu, madaktari, wafanyakazi bandarini, yaani popote na kwa kawaida WUMINI HUWA HATUPINGI MAELEKEZO YA KIROHO, KWA SASA KUTOKUBALIANA NA MKATABA WA BANDARI NI SUALA LA KIROHO.
3. Ujumbe huu ukiwa na hoja muhimu ni vema zijibiwe kwa uwazi na weledi, halafu waumini na viongozi wetu kiroho tukiyaelewa majibu yenu Spika, Rais, Prof. Mbarawa tutarudi kwa waumini kuwaambia mmeeleweka .
Asanteni kwa Sasa. Kesho nitahudhuria misa ya Kwanza, Asanteni Maaskofu.
Halafu wengine wanaabudu jiwe.Waabudu sanamuuu
Hii imeenda! Hii imeenda!! Hii imeenda!!!Leo Mambo yamependeza sana, Waraka wa TEC unaofafanua Mkataba wa Bandari za Tanzania na DPW ya Dubai wenye ujumbe mwanana wa Sauti ya Watu ni Sauti ya Mungu.
Yaliyojitokeza ni waumini kuuelewa na kuukubali. Pembezoni nimeteta na Mh. Mbunge wa Jimbo letu, Ni muumini wa Jumia hii, kwa ufupi anasema waraka huu na yeye na wengine umewapa amani, wamepata pa kushikia, Nafsi zao zilisongwa sana kwenye vikao ndani ya chama. lakini sasa wametua mzigo. Wanasubiri kama utarudi bungeni au utatupwa kapuni. Niliyyapata kwa waumini mchanganyiko, akina mama, wazee wa familia, wafanya biashara na mmoja mtu muhimu serikalini.
1. Wao kama WAKATOLIKI na Watanzania wako tayari kuulinda, kuutetea Waraka huu hata kama ni kimyakimya.
2. Serikali sasa iwe makini sana, kumbuka dini haina mipaka eneo la kazi, tumechanganyana humo, wako wabunge, mahakimu, mapolisi, wanajeshi, wakulima, walimu, madaktari, wafanyakazi bandarini, yaani popote na kwa kawaida WUMINI HUWA HATUPINGI MAELEKEZO YA KIROHO, KWA SASA KUTOKUBALIANA NA MKATABA WA BANDARI NI SUALA LA KIROHO.
3. Ujumbe huu ukiwa na hoja muhimu ni vema zijibiwe kwa uwazi na weledi, halafu waumini na viongozi wetu kiroho tukiyaelewa majibu yenu Spika, Rais, Prof. Mbarawa tutarudi kwa waumini kuwaambia mmeeleweka .
Asanteni kwa Sasa. Kesho nitahudhuria misa ya Kwanza, Asanteni Maaskofu.
Hata wewe jugeuze sanamu tukuabuduWaabudu sanamuuu
Warudishe pesa za escrowAtakayepingana na askofu wa Mungu ajiandae kusoma namba
Mbona Yapi Merkez ni Waarabu hao wanajenga reli na hakuna tatizo?Ni uoga wa waarabu unaosumbua viongozi wetu wa kanisa. Wanasahau kuwa waarabu ni wamiliki tu wa biashara nzima lakini watendaji wote huku chini ni watu wa mataifa mengine.
Ni sawa na Man City, wamiliki ni waarabu wenyewe lakini makocha na wataalam wengine wote ni watu wa mataifa mengine.
Tatizo kubwa la Tanzania ujuaji ni mwingi sana, mtanzania wa kawaida anajua kila kitu, kocha ni yeye, daktari wa timu ni yeye, mtaalam wa misuli ni yeye, profesa wa sheria ni yeye yaani tunajua kila kitu.
Pengo nae alikua nani?Mambo ya Escrow kamuulize JK ndie alikuwa architect.
Usimkufuru Mungu wakoHata wewe jugeuze sanamu tukuabudu
ukasomwe hata Goligotha Bandar anapewa Mwarabu na Mjiandae MoU na serikali tunaenda kuivunja mmezoea vya kunyonga saiz mtakula vya kuchinja