Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Haya mke wa kitima, tumeshakusikia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You'll never hear from them. Hicho ni moja ya vyombo vilivyoanzishwa kuupunguza nguvu ukatoliki.bado tunasubiri walaka wa Wapentecost !!
kwann unatetea huu ujinga?Pelekeni mpaka Vatican bandari itabinafsishwa mtake au msitake.
ilikuwaj hizo ela za escrow , tuanzie hapoNa pesa za escrow walizokula maaskofu wa TEC mmepewa kwenye vigango?
Niko hapa... subiri uone mkataba utakavyo kufa kibuduPelekeni mpaka Vatican bandari itabinafsishwa mtake au msitake.
acha uzuz kamuulize JKHilo ndo jibu? Kwani JK alipewa mgawo?
yeye mwenyew kala ela2. Serikali sasa iwe makini sana, kumbuka dini haina mipaka eneo la kazi, tumechanganyana humo, wako wabunge, mahakimu, mapolisi, wanajeshi, wakulima, walimu, madaktari, wafanyakazi bandarini, yaani popote na kwa kawaida WUMINI HUWA HATUPINGI MAELEKEZO YA KIROHO, KWA SASA KUTOKUBALIANA NA MKATABA WA BANDARI NI SUALA LA KIROHO
Nimekuelewa sana mkuu hasa hapo ulipo kazia kwa herufi kubwa, ni wakati sasa mama kuja mbele na kuvunja huo mkataba na wote waliokuwa mbele ya mkataba huu kuchukuliwa hatua akiwepo yeye mwenyewe
Dogo umepanickPelekeni mpaka Vatican bandari itabinafsishwa mtake au msitake.
Anglican walivurunda walivyomualika juzi kufungua jengo lao Dodoma.Mie ni Anglican, ILA wakatoliki hapo ndio nawapenda, they are very smart!
Msimamo unapokuwa ni wa TEC basi rasmi unakuwa wa wakatoliki wote👏🤝💪
Walikula sh. ngapi wewe mbumbumbu ?Na pesa za escrow walizokula maaskofu wa TEC mmepewa kwenye vigango?
Kijana amejipa kazi ngumu sana. Napita kila uzi unaohusu TEC yumo.Yaani ujue unahangaika na TEC mpaka unatia huruma [emoji23]
Walaka umelenga uwafikie viongozi wootw kokote waliko makanisani, jumuiyani na Kwenye vigango.Leo Mambo yamependeza sana, Waraka wa TEC unaofafanua Mkataba wa Bandari za Tanzania na DPW ya Dubai wenye ujumbe mwanana wa Sauti ya Watu ni Sauti ya Mungu.
Yaliyojitokeza ni waumini kuuelewa na kuukubali. Pembezoni nimeteta na Mh. Mbunge wa Jimbo letu, Ni muumini wa Jumia hii, kwa ufupi anasema waraka huu na yeye na wengine umewapa amani, wamepata pa kushikia, Nafsi zao zilisongwa sana kwenye vikao ndani ya chama. lakini sasa wametua mzigo. Wanasubiri kama utarudi bungeni au utatupwa kapuni. Niliyyapata kwa waumini mchanganyiko, akina mama, wazee wa familia, wafanya biashara na mmoja mtu muhimu serikalini.
1. Wao kama WAKATOLIKI na Watanzania wako tayari kuulinda, kuutetea Waraka huu hata kama ni kimyakimya.
2. Serikali sasa iwe makini sana, kumbuka dini haina mipaka eneo la kazi, tumechanganyana humo, wako wabunge, mahakimu, mapolisi, wanajeshi, wakulima, walimu, madaktari, wafanyakazi bandarini, yaani popote na kwa kawaida WUMINI HUWA HATUPINGI MAELEKEZO YA KIROHO, KWA SASA KUTOKUBALIANA NA MKATABA WA BANDARI NI SUALA LA KIROHO.
3. Ujumbe huu ukiwa na hoja muhimu ni vema zijibiwe kwa uwazi na weledi, halafu waumini na viongozi wetu kiroho tukiyaelewa majibu yenu Spika, Rais, Prof. Mbarawa tutarudi kwa waumini kuwaambia mmeeleweka .
Asanteni kwa Sasa. Kesho nitahudhuria misa ya Kwanza, Asanteni Maaskofu.
kwan athari za mkataba huu watapata wavatican ? ukiitwa nyqn unalalamika , ila akili zako znasadiki , hili sio swala la kidin hata kdg , kama waarab wana nia njema kwann watumie njia za panya ? zaid ya 1B imetumika kutoa rushwa ili mkataba upitishwe , jiulize wabunge , waandishi wa habari na viongoz wa serikalin wote wamepewa mgaoDP world wameshaingia nchini kazi inaendelea.nendeni mkashtaki Vatican
😄😁😁😆😅😂😂Pelekeni mpaka Vatican bandari itabinafsishwa mtake au msitake.