Wazungumzaji wote wamekutana Mazembwela, wakaishia kupiga soga za Mahoka.Hahahaha mkuu!
Ni kusema labda hao wazungumzaji walikuwa wanachangamsha genge wakimngoja mgeni mualikwa aje amwage nondo?
Wanawaonaga waarabu ni ndugu zao kuliko hata mkristo mweusi kwa hiyo furaha yao ni mwarabu kuchukua bandariKuna watu wengine akili zao zinawatosha kuvuka barabara tu. Hivi hawa waarabu wakikubaliwa kuna kwá huu mkataba mbovu kabisa waislam watafaidika na nini? Au kuna mambo yako nyuma ya pazia ambayo hatuyajui?
TEC ndio wanaopromote LGBTQ wataanzaje kupinga wakati wao ndio wanafungisha ndoa?Serikali ya Tanzania ilishawahi kutunga sheria ya kuwatambua LGBT mpaka TEC watoe matamko?
Wao waendelee kufuga majini wawaachie TEC wajadili mambo ya mkataba. Kazi yao ni kufuga majini na kuwasomea watu alubadiri....hawana tofauti na wachawi au washirikina. Wawaache watu wa Mungu (TEC) wajadili mkataba kwa manufaa ya taifa. Wasiwavuruge wana wa Mungu bila sababu za msingi.Naona Waraka Sasa umefika Kila pahala, haujamuacha MTU salama! Naam wanaushambulia Kwa hakika though hakuna tangible points hapa!
Masheikh hawa wanaamini Waraka wa TEC utaleta taharuki. Wanafanya reference ya mambo ya ESCROW.
Wanasema tamko la TEC linataka kuleta taharuki Kwa wananchi na chuki Kwa wananchi dhidi ya serikali ya CCM.
Wewe ni Christian Fundamentalism ,umekukia kanisani na kufundishwa chuki dhidi ya dini nyingine,unafikiri unaweza kutumia akili zako kufikiri?Hawana uwezo wa kujadili vipengele sababu kwanza hata hawavielewi. Juzi kati nilimsikia shehe mmoja anasema "kwani kuna shida gani kama DPW wakimiliki all port teritorries and corridors kama mkataba unavyosema"!?. Nikaona hapa kuna shida, hata kama ni haki kwa kila mtu kusema, ila dah KUNA SHIDA YA KUJITAMBUA hapo.
Ila wewe bwana Mohamedi atakusaidia??Subiri ufe ndio utajua kama uyo yesu wako anaweza kukusaidia
Hapa na mimi naanza kuwa na mashaka na nia ovu iliyo ktk mkataba wa DPW. Maana yeyote anayepinga wanaopinga mkataba haongelei yaliyo ktk mkataba badala yake ni kushambulia watu.Sheikh Mussa Juma amesema Wapinzani na Maaskofu wanaomsaka Rais Samia Suluhu Hassan hawana shukrani wanaendekeza Udini na maslahi yao binafsi nakusahau hisani waliyowafanyia kipindi walipokuwa hawana kitu.
Akizungumza huko visiwani Zanzibar katika mawaidha Sheikh Mussa Juma amesema Rais Samia ni kiongozi wenye huruma na uadilifu ndani yake hivyo wanaomsakama wanafanya hivyo kwa maslahi yao binafsi.
"Hapa kwetu ndio kabisa madudu haya ya kisiasa sijui wakina Mbowe kina Lissu waliyoyaficha ndani ya mioyo yao yalikuwa ni makubwa zaidi kuliko wanayoyadhihirisha, angalia sasa hivi wanavyotapika maneno yale angalia ni udini tu ule, kama huyo Dkt. Slaa yeye ndio kamaliza mchezo mmemsikia mwenyewe Udini tu ule hakuna kitu kingine Udini tu..sasa yale ndio yaliyokuwa yamejificha hawana shukrani hata kidogo" alisema
Sheikh Mussa Juma amesema Rais Samia ni mtu mwenye imani wanaomuanda wanapaswa kumshukuru na kumheshimu kutokana nakuwafanyia hisani kwa kuwarejeshea vitu vyao walivyopoteza kipindi cha awamu ya Tano.
"Alikuwepo Magufuli kawanyongesha watu, kawaadhibu watu, kawatesa watu hawana hatia wamenyamaza kimya, Mwenyezi Mungu kafanya Rehema zake katuletea mtu ana imani watu wanaishi kwa raha , watu wanapendana, wanasaidiana, mnyonge anasaidiwa leo hawa wakina Mbowe, Lissu hawana Shukrani mtu kama huyo alowafanyia hisani kama huyu Lissu alipofanyiwa mambo mazito mtu wa kwanza kwenda kumtizama ni Rais Samia wale waliobakia wote maaskofu ambao sasa hivi ndio wanamtukana Samia kwa sababu ya uislamu hakuna kingine na maslahi yao waliyokuwa wanaipata kwenye ile bandari wanamsaka hawana shukrani wote hao maaskofu walikuwa wameufyata wanamuogopa Magufuli , lakini tazama alichomfanya Rais Samia kamlipa kila kitu chake kamrejeshea ambavyo alikuwa kanyang'anywa na huyo Mbowe hivyo hivyo kila kitu chake karejeshewa kalipwa pesa chungu mzima ambazo zingewasaidia wananchi , Rais Samia anaonyesha huruma kwa rai wake alafu hawa wanakuja juu wanamtukana na kumkashifu kwa maslahi yetu wenyewe sisi wananchi lakini kwa sababu wao kuna maslahi yao ya dini pale wanahisi atakuja kuondoka , pamoja na maslahi yao walikuwa wanapitisha vitu pale...." alisema Sheikh huyo
Pamoja na yote Sheikh Mussa dunia ilipofikia sasa mambo mema yanaonekana mabaya huku mabaya yakionekana mema hata hivyo amemuomba Rais Samia aendelee kuishi maisha marefu kutokana na uadilifu na huruma alionao katika uongozi wake.
"Mbona mambo sasa hivi yanaanza kuchimbuka yaliyokuwa yamejificha na sisi ndio tunayasubiri kwa hamu kwa sababu tulipokuwa tunasema nyinyi mlituona sisi wabaya lakini sasa hivi Mwenyezi Mungu anayachimbua, mmemsikia Slaa alivyosema nyie waislamu mmekaa tu mmemsikia na uislamu wenu mnasikia wanavyomfanyia muislamu mwenzenu wanavyomwandama, wanaranda kwenye mikoa kwa kutumia pesa hizi hizi wanazopewa zetu wenyewe kama rai wanamsakama Mhe. Rais Samia lakini Mwenyezi Mungu atamuhifadhi, atamlinda na shari zao ataendeleza uadilifu, ni Rais pekee aliyekuwa hana mfano na waliyokuwa wamepita mwenye huruma mpaka na vilema tunamuombea dua na tutazidi kumuombea sasa kama wewe unanuna nuna"_ Sheikh Mussa Juma akizungumza msikitini Zanzibar
Mbona unaonekana umesoma lakini bado hauna akili?Udini huwa unatoka Kanisani.yaani akanisa halikujiamdaa kutawaliwa na Mwislaam,mission ilikuwa hijawa Accomplished
Umesha leta tayari hapo hamna jingine.Leo Jumapili tarehe 20 Agosti 2023, Dominika ya 20 ya Mwaka A wa Kanisa Waraka wa Maaskofu wa Katoliki Tanzania umesomwa katika makanisa mengi nchini, lakini kinachoniogopesha ni "clip" hii ya Sheikh Mussa Juma akitoa mawaidha ameeleza waziwazi kuwa Wapinzani na Maaskofu wanaomsakama Rais Samia Suluhu Hassan hawana shukrani na wanaendekeza Udini na maslahi yao binafsi
Sheikh Juma anaeleza kushangazwa na ukimya uliokuwepo wakati wa mateso wa Rais Magufuli
WITO WANGU SISI KAMA TAIFA TUNAPASWA KUTENGANISHA SIASA NA DINI, MAJUKWAA YA KISIASA YABAKI KUWA YA KISIASA NA NYUMBA ZA IBADA ZIBAKI KUWA NYUMBA ZA IBADA
Tazama video hapa chini
View attachment 2722654
bado anaturufu ya kuiba kuraHii vita ni rasmi ya kidini, Samia 2025 hawezi kuwa Rais
Wamemtega ametegeka , Wenye nchi hawawezi mruhusu kuendelea 2025
Byebye Samia
Kuna wenzako tayari wameshaileta hii taarifa humu jukwaani. Hivyo unachokifanya wewe ni marudio tu.Leo Jumapili tarehe 20 Agosti 2023, Dominika ya 20 ya Mwaka A wa Kanisa Waraka wa Maaskofu wa Katoliki Tanzania umesomwa katika makanisa mengi nchini, lakini kinachoniogopesha ni "clip" hii ya Sheikh Mussa Juma akitoa mawaidha ameeleza waziwazi kuwa Wapinzani na Maaskofu wanaomsakama Rais Samia Suluhu Hassan hawana shukrani na wanaendekeza Udini na maslahi yao binafsi
Sheikh Juma anaeleza kushangazwa na ukimya uliokuwepo wakati wa mateso wa Rais Magufuli
WITO WANGU SISI KAMA TAIFA TUNAPASWA KUTENGANISHA SIASA NA DINI, MAJUKWAA YA KISIASA YABAKI KUWA YA KISIASA NA NYUMBA ZA IBADA ZIBAKI KUWA NYUMBA ZA IBADA
Tazama video hapa chini
View attachment 2722654
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Naona Waraka Sasa umefika Kila pahala, haujamuacha MTU salama! Naam wanaushambulia Kwa hakika though hakuna tangible points hapa!
Masheikh hawa wanaamini Waraka wa TEC utaleta taharuki. Wanafanya reference ya mambo ya ESCROW.
Wanasema tamko la TEC linataka kuleta taharuki Kwa wananchi na chuki Kwa wananchi dhidi ya serikali ya CCM.