Naona hapa CCM na DPW wanatetewa Kwa nguvu zote bahati mbaya saaana hawataji Mapungufu yaliyomo kwenye mkataba ambayo yametajwa na Mahakama na Sekretarieti ya BUNGE pia, achana na individuals kama Professor Shivji.

Wanadai hizi ni propaganda! Duh
Hapo tunapata picha jinsi gani shetani na hiyo Imani Yao ni kitu kimoja.
Badala ya kijadili mkataba wanajadili dini yao
 
Tukumbuke katika sakataa ESCROW bank ya Mkombozi ilitumika kupitisha pesa za ufisadi na maaskofu walipewa mgao.

Watu hata hawafanyi mapenzi na familia hawana lakini wanapenda sana hela sijui wanaenda kuhonga mabasha zao wanaowatindua.
Umesahau wameshinda kesi na wanatakiwa kulipwa sheikh.
 
Maaskofu hawakukaa kimya wakati wa Magufuli. Walitoa waraka na ulisomwa makanisani baada ya uchaguzi na wakati wa Corona.

Nafikiri masheikh ubwabwa wanachokosa ni shule. Huwezi chambua mkataba kwa elimu ya madrasa.
Wawekeze kwenye elimu dunia walau wasome hata diploma waache umwamba wa kuturushia majini. Kianawasumbua mashek ni kutojiamini.
 

Uislamu ni changamoto sana.
 
Muislam ndugu yake ni muislam. Hata mama akituuza kwa waarabu ni Sawa tu,
Kwanza hao waarabu ni wajukuu wa mtume.
Wamebarikiwa.
Hewala. Takbiiiirrrr
 
Usiwalishe maneno tls wao wanasema mkataba uko ok hauna shida
Acha kupotosha taarifa iliyotolewa na kusiniwa na Rais wa TLS ndugu Sungusia imeweka bayana kasoro za mkataba na kuainisha vifungu vyenye utata ambayo (baadhi) kifungu cha 20, 21, na 23. Kasoro ya ushirikishwaji wa Wananchi ktk maamuzi ya rasilimali, ardhi, ulinzi na usalama vilitajwa. Labda kama una TLS ya kwako.
 
Huyo sheikh atulie tu maana watu hawautaki huo mkataba wa wizi. Akina Lisu, Mbowe nk hawataki hisani bali wanataka sheria zifuatwe. Hakuna popote hao wapinzani walimsifia Magufuli wala kumuogopa japo aliwafanyia unyama. Hao akina Lisu, Mbowe nk walijitokeza hadharani kusema Magufuli ni dictator na hawakujali kuwa ni mkristo mwenzao.

Huyo sheikh anasema kuwa Magufuli alifanya mambo mabaya, je ni lini alithubutu kujitokeza hadharani kusema Magufuli anafanya mambo mabaya, au wakati Magufuli anafanya unyama yeye alikuwa mkristo? Isitoshe Magufuli sio kipimo cha wema au ubora wa rais, sasa huo ulinganifu wa Samia kwa Magufuli unatokea wapi wakati tunajua Magufuli hakustahili kuwa rais?
 
DP wangekuwa na hofu ya alllah wangesitisha na kuungana na maskini, lakini wapo kimaslahi, hawajali, waliolambishwa nai hawajali, Maulid, Mwijaku, na chawa wengine.
Hivi mnauhakika huu mkataba ni wa UAE au wale wale kina Ramazan Watanzania walioutunga??Na walivyo wajinga wamechanganya vifungu vya mikataba yote ya kimataifa IGA,HGA na BIT bila kujua muhimu wa kila mkataba unavyofanywa na matumizi yake
 
Muislam ndugu yake ni muislam. Hata mama akituuza kwa waarabu ni Sawa tu,
Kwanza hao waarabu ni wajukuu wa mtume.
Wamebarikiwa.
Hewala. Takbiiiirrrr
Huko kwao hakuna magereza? Hakuna mahakama? Hawauani au kuoneana wivu? Inaonekana wanaroho nzuri sana.
Mbona wale wakimbizi kule Tunisia walifukuzwa kama mbwa na mwingine alichomwa kisu na muislam?
 
Hii ni kweli kwani tamko lilitolewa kupinga ushoga?
Wangetoa tamko kuzungumzia nini?

Kumbuka tamko linakuja pale serikali inapoenda nje ya line,kwani serikali ilikuwa imeingia hata kwa uchache kuhusu hayo mambo ya lgbtq?
 
Hawa Msheikh ubwabwa wana elimu ahera tu lakini elimu dunia hawana ndiyo maana uwezo wa kuchambua mambo kimantiki hawawezi.
Ukisha ona mtu anaitwa sheikh basi jua kichwan ni mtupu na mweupe peee kwa mambo ya kisomi na kitaalamu ila yupo vizuri kwa maswala yanayo husu Qur'an takatifu , sasa hivyo ni vitu viwili tofauti kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…