Kwa nini masheikh wamechafukwa hivi na waraka huu dhidi ya mkataba wa Bandari?

Kwamba:

"Wasitufanye kama foreigners katika nchi hii.

Wametoa waraka umeaomwa makanisani na sisi tutoe waraka usomwe misikitini."


Your browser is not able to display this video.


Kwani waraka wa TEC ni dhidi ya masheikh au ni dhidi ya waislam?

Kwani masheikh ndiyo wenye mkataba huu?

Au hawa ndugu zetu na jazba hizi ni kwa maslahi ya nani?
 
Atueleze waislam mnanufaika vipi na mkataba baina ya Tanzania na Dubai?

Je kuna mahali waraka wa maaskofu umewataja waislamu?

Je DPW ni uislamu?
 
Hawanaga brain hawa. Jazba na mikurupuko ndio character zao. Maaskofu wameainisha mapungufu ya mkataba. Wao wanajistukia kwamba wanaonwa ni foreigners!?
 
Yaani wamelalama utadhani wametajwa kwenye tamko..!!
Ukiona mtu anaacha kuujadili mkataba wa DWP anaingia kujadili tamko la TEC ujuwe tamko limemshika pabaya na hajielewi..!!
 
Hao ni ma sheikh ubwabwa. Masheikh wa ukweli wanajua huu Mkataba upoje. Kwa hiyo hawatazungumzia Wakatoliki bali watajielekeza kwenye huu Mkataba kama ni wa manufaa kwao au la kama Wa Tanzania na siyo masheikh. Kwa kifupi yeyote atakaeujadili mkataba Kwa misingi ya kidini badala ya uchumi na heshima ya Nchi yetu huyo ni kanjanja
 
Maslahi ya Dubai
 
Hawa wamezoea vita, M. University watu wanalambwa bakora
 
Hawa watu Kila siku nawaambia humu, ni Mbumbumbu kwelikweli, yaaan wamejaaa ujinga wa kimataifa

WARAKA wa TEC, kuanzia ukrasa wa Kwanza mpaka wa Mwisho, Kuna Mahali wanaandika Uislam au Masheikh??.

Kama inshu ni kusomwa kanisan, hili ni dhehebu Lina njia yake ya kuzungumza na waumin wake ili kuwafikia.


Wao kama wanaandikaz waandike, na waugawe misikitini, Sasa waseme, hili limkatabaa la kijinga ,wanaliunga mkono ??.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…