Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Kwa hiyo kumbe mnatega Rais kwenye vita vya kidini. Sasa hamfai nyie au hafai Samia?Hii vita ni rasmi ya kidini, Samia 2025 hawezi kuwa Rais
Wamemtega ametegeka , Wenye nchi hawawezi mruhusu kuendelea 2025
Byebye Samia
Hawana uwezo wa kujadili vipengele sababu kwanza hata hawavielewi. Juzi kati nilimsikia shehe mmoja anasema "kwani kuna shida gani kama DPW wakimiliki all port teritorries and corridors kama mkataba unavyosema"!?. Nikaona hapa kuna shida, hata kama ni haki kwa kila mtu kusema, ila dah KUNA SHIDA YA KUJITAMBUA hapo.Wanajadili vipengele?
Hili Mwabukusi alishauliza, fursa ilikuwa ya siku moja. Yaani tangazo lilitoka leo kesho watu wakutane Dodoma kutoa maoni. Hivi mtu wa Mbambabay kule, au wa Mkarakate, au wa Namiungo huko angeweza kuwahi Dodoma kwenye kutoa maoni?Wanadai fursa imetolewa ya kupeleka maoni na watu hawapeleki kwakua watu Wana maslahi yao
Hili hawawezi fanya, wao hawalitaki TAMKOMasheshe wetu wasisahau kujadili na mapungufu ya mkataba kipi kiboreshwe kwa faida ya nchi.
Wewe sio Mkristo Mbumbumbu mmoja wewe acha kujivesha vazi lisilo la kwakoKama Mkristo na Mkatoliki nasema hapa rasmi.
So sad!Hawana uwezo wa kujadili vipengele sababu kwanza hata hawavielewi. Juzi kati nilimsikia shehe mmoja anasema "kwani kuna shida gani kama DPW wakimiliki all port teritorries and corridors kama mkataba unavyosema"!?. Nikaona hapa kuna shida, hata kama ni haki kwa kila mtu kusema, ila dah KUNA SHIDA YA KUJITAMBUA hapo.
Yaani ukitaja kusoma, mapadre wote wamesoma..!! Hawa mashehe kuhusu kusoma wengi wao hawana lolote. Ni elimu ahera tu ya kiislamu ndo wanayoijuaAnasema yeye amesoma Political science
Mimi mkristo tena mkatoliki. No 1 fan of kitimoto. Nikirudi Tz nitakuita tupige kitimoto kama vipiWewe sio Mkristo Mbumbumbu mmoja wewe acha kujivesha vazi lisilo la kwako
Ila unapambana sana MaalimKwa hiyo kumbe mnatega Rais kwenye vita vya kidini. Sasa hamfai nyie au hafai Samia?
Kama Mkristo na Mkatoliki nasema hapa rasmi. Nitampigia kampeni Samia awe Rais 2025- 2030.
Kumbe ndo maujinga mnayoyafanya eeeh!! Tumewashtukia
Mkipata korona mnawaomba wawaombee..!!Nimesema mara nyingi watu wa dini wakemewe Kuingilia Serikali inaweza kuleta mtafaruku.
Kama TEC Wametoa tamko lao hadharani na hao Wana Haki ya kujadili hadharani kama walivyosema watasoma waraka makanisani.
Hawana uwezo huo ila ushabiki tu wenye vinasaba vya udini.Hili hawawezi fanya, wao hawalitaki TAMKO
Kuna watu wengine akili zao zinawatosha kuvuka barabara tu. Hivi hawa waarabu wakikubaliwa kuna kwá huu mkataba mbovu kabisa waislam watafaidika na nini? Au kuna mambo yako nyuma ya pazia ambayo hatuyajui?Naona Waraka Sasa umefika Kila pahala, haujamuacha MTU salama! Naam wanaushambulia Kwa hakika though hakuna tangible points hapa!
Masheikh hawa wanaamini Waraka wa TEC utaleta taharuki. Wanafanya reference ya mambo ya ESCROW.
Wanasema tamko la TEC linataka kuleta taharuki Kwa wananchi na chuki Kwa wananchi dhidi ya serikali ya CCM.
Unataka kusemaje hapo .......maana sijakupata vizuri.............ujue watu wote mnaofata utamaduni wa mwarabu mna tatizo kubwa kwenye oblangata.........shule hamna harafu mnapinga kwa kutumia male mba badala ya shule........kama ujafika University hapo uwezi kugundua kama uwekezaji bandari ni mtego wa kuku............madrasa haiwezi kupambanua mikataba mikubwa hivyoHapana kabisa. Hakuna shida yoyote kwa mtu kuwa Muislam. Shida ni wale wajinga waliopo huko ndiyo Majasiri waliojivika taswira ya dini. Hao ndiyo wametawala platforms zote na kuwanyima kabisa wengine kuonekana.
Mimi sipambani bwashee. Naweka rekodi sawa!Ila unapambana sana Maalim
Waeleze mapungufu ya tamko ni yapi ili tujenge nyumba mojaHili hawawezi fanya, wao hawalitaki TAMKO
Duh!Unataka kusemaje hapo .......maana sijakupata vizuri.............ujue watu wote mnaofata utamaduni wa mwarabu mna tatizo kubwa kwenye oblangata.........shule hamna harafu mnapinga kwa kutumia male mba badala ya shule........kama ujafika University hapo uwezi kugundua kama uwekezaji bandari ni mtego wa kuku............madrasa haiwezi kupambanua mikataba mikubwa hivyo
Hao hawanihusu. Mimi nakula kwa sababu hata Biblia inasema kimtokacho mtu ndicho najisi na sio kiingiacho.Waislam wangapi wanakula? Kuna mujahidina mmoja ukiambiwa anakula utashangaa.
Nadhani huu ni utaratibu waliojiwekea CCM, hakufanya hivyo kwa hiariDini yangu naona hawana hoja kabida zaidi ya umbea. Hivi Dkt Magufuli angekuwa na udini angemchagua Samia kuwa Makamu wake. Hivi inakuwaje rais anapokuwa muislamu udini huibuka?