Waraka wa TEC wajadiliwa TV IMAAN
Huo ndiyo ukweli. Ukitaka kuona ujinga wenu, kaangalie Iman TV wakijadili mkataba wa DP World. Mpk aibu aisee
Mtu ana elimu ya madrasa na shule darasa la 7 b halafu ni imamu. Mtu km huyu ukimpa mkataba wa DP auchambue atakimbilia kwenye udini. Ndicho nilichokiona
Ukiienda kwa wakristo watu wana madegree na maphd kwahiyo kwenye hoja ujipange.
TEC wamesema mkataba ni mbaya kwa hoja hizi, wanaokubali watoe hoja tujue kuwa ni mzuri ila darasa la 7 wanajadili udini
once kuwa muislam ni kujitwisha gunia la ujinga bora uwe mpagani tu
 
Wanasema matamko yanatolewa yana maslahi Kwa TEC anatolea mfano LGBTQ Kuwa TEC hawakutoa tamko kwakua Wana maslahi kwao
Waache kujitekenya
Kisiwani ushoga mwingi kulikoni bara sasa kule TEC ndio walipeleka. Watumie akili za kuzaliwa kama za shule ni mgogoro kuelewa jambo.
Tunazungumzia Bandari sio imani ya mtu…
 
Naona Waraka Sasa umefika Kila pahala, haujamuacha MTU salama! Naam wanaushambulia Kwa hakika though hakuna tangible points hapa!

Masheikh hawa wanaamini Waraka wa TEC utaleta taharuki. Wanafanya reference ya mambo ya ESCROW.

Wanasema tamko la TEC linataka kuleta taharuki Kwa wananchi na chuki Kwa wananchi dhidi ya serikali ya CCM.
Kwanini watetezi wakubwa wa huu mkataba ni mashekh?
 
AKILI NZURI HAIKUWA KUUJADILI,ILITAKIWA NAO WATOE WARAKA WAO WA KUKUBALIANA NA UWEKEZAJI HUU NA KUUPA BARAKA ZOTE.
watakurupuka kuutoa ili kujibu maaskofu. Itakuwa na vichekesho vitupu subirini wautoe. Watahoji nini wakati uwezo wa kujenga na kupangua hoja hawana?
 
Tukumbuke katika sakataa ESCROW bank ya Mkombozi ilitumika kupitisha pesa za ufisadi na maaskofu walipewa mgao.

Watu hata hawafanyi mapenzi na familia hawana lakini wanapenda sana hela sijui wanaenda kuhonga mabasha zao wanaowatindua.
Maneno yako yanaonesha umelewa familia ya namna gani
 
TEC wamekosoa mkataba uliofanywa na serikali, badala ya serikali ijitetee yenyewe hao mashehe ndio wanaitetea kama vile kwamba serikali ni mali yao pekee waislamu.
Ujinga uleule wa kuruhusu hoja badala ya kujibiwa kwa weledi serikali inatumia mbumbumbu wanaoendeshwa na hisia kuisemea.
Badala ya kufanya jambo kuwa rahisi linageuka kuwa kubwa na uhasama kwa kina kirefu.
wapuuzi kweli kweli, watoe waraka wao tuwashangae zaidi kwa ujuha wao
 
Naona Waraka Sasa umefika Kila pahala, haujamuacha MTU salama! Naam wanaushambulia Kwa hakika though hakuna tangible points hapa!

Masheikh hawa wanaamini Waraka wa TEC utaleta taharuki. Wanafanya reference ya mambo ya ESCROW.

Wanasema tamko la TEC linataka kuleta taharuki Kwa wananchi na chuki Kwa wananchi dhidi ya serikali ya CCM.
Kumbe Bado waanaitetea Serikali na CCM!?

Aahaaaa
 
Huu waraka wa TEC ni "pandora"s box" ya mabadiliko makubwa yatakayokuja ya kiutawala ndani ya nchi yetu. Badala ya watu kujikita katika kujibu hoja, sasa zinatafutwa sababu dhaifu na za kihistoria na zenye sura ya kidini ili kukwepa hoja iliyopo mezani.

Ilianza na suala la Uzanzibar kutaka sababu za kuokoteza katika sakata hili la bandari ila zikabuma, ikaja sababu za uanamke wa mama Abdul nazo zikafeli, walitafutwa chawa wakashindwa kuzimisha hoja iliyotolewa, makada wakajipanga kuzunguka nchi nzima ili kutoa elimu ila watu wakapuuzia, zikaja kesi za mchongo za kubambikia watu uhaini ila imebuma, sasa dini inaanza kutumika kama silaha ya mwisho.

Sasa litafumuka jingine kuhusu ilipo ndege ya Rais na sababu za kuwepo kwa hapo ilipo. Kama nalo litathibitika kuwa linahusiana na sakata hili la DPW, basi tegemea na lingine pia litafuatia. TEC ni baraza ambalo kamwe huwa halikurupuki, ukiliona tamko mwenye busara na hekima huwa anlifanyia kazi, na wala siyo kulifanyia dhihaka.
Kichaka Cha dini hakina nguvu,kwa kuwa wanaoutetea hawana uwezo wa kielimu wa kujenga hoja
 
Naona Waraka Sasa umefika Kila pahala, haujamuacha MTU salama! Naam wanaushambulia Kwa hakika though hakuna tangible points hapa!

Masheikh hawa wanaamini Waraka wa TEC utaleta taharuki. Wanafanya reference ya mambo ya ESCROW.

Wanasema tamko la TEC linataka kuleta taharuki Kwa wananchi na chuki Kwa wananchi dhidi ya serikali ya CCM.
Watapiga kelele kwa hisia tu wakati wenzao wameeleza kwa hoja.Hakuna taharuki serikali ina kazi Moja tu ya kuleta vitu vyenye manufaa kwa taifa.
 
Back
Top Bottom