Waraka wa TEC wajadiliwa TV IMAAN
Nadhani wangezungumzia mkataba na mapungufu yake yale ya escrow ilipaswa wazungumzie au watolee waraka wakati ule. Swali ni kuwa uwekezaji unafaa au haufai? Jibu ni kuwa uwekezaji unafaa na ni muhimu kwa maendeleo ya Taifa. Je kwa vipengele vilivyopo kwenye mkataba huu wa bandari sisi tutanufaika au hatutanufaika? Na kama tutanufaika tutanufaika kwa kipengele kipi kutoka kwenye mkataba? Hapa ndipo majibu yanakuwa sio ya kuridhisha.
 
Binafsi napenda hii ngoma iendelee hivihivi...maana ni kitu ambacho kimekua kikitengenezwa kwa muda mrefu sana. Ngoja kipasuke tu.
Tumekuwa watu wanafiki kupitiliza kiasi, ndiyo maana tumefika hapa tulipo.

Mfano mzuri ni kuanzia huko huko ndani ya CCM, angalia ilivyoharibika kwa kuendeleza unafiki tu ndani ya chama.

Sasa unafiki huo huo tunaukumbatia ndani ya nchi, eti tulembelembe juu ya mambo yanayobomoa umoja wetu; sijui tutafika wapi na ujinga wa namna hii.

Ninakubaliana nawe kabisa, wakati umefika sasa tuelezane ukweli tu, kama tunataka kuiokoa Tanzania yetu.

Ingewezekana sasa pakatokea kiongozi asiyevumilia upuuzi puuzi wa aina yoyote ile, hali ingekuwa nzuri sana kuibadili hii nchi isiende shimoni.
 
Hivi Dkt Magufuli angekuwa na udini angemchagua Samia kuwa Makamu wake. Hivi inakuwaje rais anapokuwa muislamu udini huibuka?
Huoni kuwa yeye ndiye anayeweza kuwa anaulea na kuupalilia udini, hilo hulitazami, au huna akili ya kukupeleka huko?

Akisimama, na kusema hataki kusikia mambo ya kidini dini, na akaonyesha kwa vitendo vyake havumilii hayo mambo, unadhani watu hawataelewa nia ya rais ni nini?
 
Kama Samia tu alivyomchagua Mpango kuwa makamo wake
Ndiyo maana Tanzania hatuna udini ila udini huwa unatafutwa na baadhi ya watu wetu hasa waislamu. Kuna ujinga fulani eti Uislamu kutawala dunia so tunajihesabia haki ya kutawala
 
Nyoooo zako, serikali ilotokana na uchaguzi under dictator JPM the devil and evil ni ya wananchi??

Nyoko lako linanuka
Tatizo lako ni elimu duni, ulitumia muds mwingi msdrasa kukifunza kutukana japo tusi halimbadilishi tusi zaidi ya wewe kuonekana hamnazo.
Serikali huwa ipo tu hata mwingereza alipoondoka bado serikali ilibaki na sheria zake zote pamoja na wafanyakazi wote wakiwemo waingereza, nenda kawafundishe hilo madrasa.
 
Kwa yanayoendelea najua wengi hasa wakristo wanasikilizia waislamu watasema nini baada ya wakristo kutoa waraka wao,

Sasa niwakumbushe tu kwamba si muislamu mmoja mmoja wala taasisi ya bakwata ambayo itaiamrisha serikali, zaidi zaidi watatoa ushauri na kusisitiza amani,
Mara zote waislamu wakisema lolote kuhusu inchi yao basi huambiwa wanachanganya dini na siasa,
Sasa ile athari imewaathiri, pia ni waungwana, wanyenyekevu hawapendi vita wala fujo kama wengine
Kwa hivyo tusitarajie mapya kwa kuwa mipango yao huwa HADHARANI HATA KABLA HAWAJATOKA KIKAONI,

Waislm shtukeni sasa
 
Back
Top Bottom