Ulimbo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 3,768
- 4,038
Hivi kwa nini hili la mkataba likiguswa tu, huu upande wa pili wa dini wakishirikiana na ccm wanakuwa wakali?
Au pia nao ni wanufaika kwa siri wa huu mkataba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi watuachie bandari za MaziwaniUmoja wetu ni TUNU ndugu zangu Watanzania, tusiichome Nchi kwasababu ya Bandari ya Wazaramo
Wakati Wazaramo wenyewe wako bize na vigodoro na Singeli
tatizo hawana akili za kujenga na kupangua hoja, watakimbilia upuuzi wa kidiniWalete tamko lao wasijadili tamko la TEC wasitafute kiki
Which wrong approach?? You can’t call a cow a milk factoryWapo sahihi. Inawezekana mkataba una kasoro ila hao TEC chose a wrong approach.
Nadhani ni wakati muafaka sasa Viongozi wao wawe na elimu ya kutosha kuweza kupembua mambo kiyakinifu...Waslam hupenda sana lalamika, japo ni marafiki zangu
kwa hali ilivyojitokeza bora atafutwe muwekezaji mwingine mwenye ufanisi. Huyu kapoteza sifaMwarabu wa Dubai anazidi kutuvuruga
Wanasema matamko yanatolewa yana maslahi Kwa TEC anatolea mfano LGBTQ Kuwa TEC hawakutoa tamko kwakua Wana maslahi kwao
Hahaha 🤣 very logical questionKwa hiyo huu wa DPW una maslahi na BAKWATA
Tumekuwa watu wanafiki kupitiliza kiasi, ndiyo maana tumefika hapa tulipo.Binafsi napenda hii ngoma iendelee hivihivi...maana ni kitu ambacho kimekua kikitengenezwa kwa muda mrefu sana. Ngoja kipasuke tu.
Huyo sheikh akivua kanzu anabukta ya CCM
Huoni kuwa yeye ndiye anayeweza kuwa anaulea na kuupalilia udini, hilo hulitazami, au huna akili ya kukupeleka huko?Hivi Dkt Magufuli angekuwa na udini angemchagua Samia kuwa Makamu wake. Hivi inakuwaje rais anapokuwa muislamu udini huibuka?
Kama Samia tu alivyomchagua Mpango kuwa makamo wakeHivi Dkt Magufuli angekuwa na udini angemchagua Samia kuwa Makamu wake. Hivi inakuwaje rais anapokuwa muislamu udini huibuka?
Ndiyo maana Tanzania hatuna udini ila udini huwa unatafutwa na baadhi ya watu wetu hasa waislamu. Kuna ujinga fulani eti Uislamu kutawala dunia so tunajihesabia haki ya kutawalaKama Samia tu alivyomchagua Mpango kuwa makamo wake
Tatizo lako ni elimu duni, ulitumia muds mwingi msdrasa kukifunza kutukana japo tusi halimbadilishi tusi zaidi ya wewe kuonekana hamnazo.Nyoooo zako, serikali ilotokana na uchaguzi under dictator JPM the devil and evil ni ya wananchi??
Nyoko lako linanuka
Karibu sanaSawa
Tatizo mapandikizi tangu dahari, akili ya mzungu tangu zamani sana