emback
JF-Expert Member
- Jan 3, 2013
- 444
- 372
Kwa serikali hii kwanza hata kupiga kula ni kupoteza muda....kimsingi walishaona kama vile wananchi wooooote ni mbwa 🐶🐶🐶🐕 yaani ukipiga mluzi wote wanatingisha mikia...inauma jinsi maisha yanavyozidi kubana halafu wananchi wanalalamika halafu wenyewe nao wanakuja kulalamika kwa wananchi...sasa nani amsaidie nani...kodi zisizokuwa na maana mfumuko wa bei halafu wanaleta na uuzaji wa rasilimali za wananchi then eti udini...wapambane na hizo changamoto waone kama kuna atakayewasema.
Binafsi napenda hii ngoma iendelee hivihivi...maana ni kitu ambacho kimekua kikitengenezwa kwa muda mrefu sana. Ngoja kipasuke tu.