Uchaguzi 2020 Waraka wa Uchaguzi wa Shura ya Maimamu Tanzania

Status
Not open for further replies.

It seems wanaoteua wamegeuza Ukiristu kuwa ndo kigezo cha kwanza cha kuteuliwa. Kuna Udini mwingi sana awamu hii
Usiniambie teuzi za 80% Wakiristo na only 20% Waislamu zimekuja by chance. kuna kila dalili ya watu kupanga na kutekeleza aina hii ya ubaguzi dhidi ya Waislamu.

Waislamu wenye vigezo vyote wapo, lakini teuzi zimeelemea kwa Wakiristo
 
Aysee kuna watu wanajua kutiririka bhana...daah hongereni sana kwa kutuzibua masikio 👏👏👏
 

Nimekuelewa ndugu. Akutukanae hakuchagulii Tusi. Hili ni Tusi tosha kwa waislam pale usemapo: "sidhani kama kua sababu ya kulilia teuzi hata kama watu hawana vigezo vya kiuongozi" Hewala, Tumekusikia. Ila nakuomba ujitafakari, maana kwa maneno yako, wenye uwezo na vigezo vya kiuongozi ni wakristo.

Over!
 
Katika matatizo yote ya watanzania nyie mmeona Uchaguzi tu. Wasakatonge wakubwa nyie.
 
Hapo sasa ndo watanzania wajue kwamba waislamu wana hiden ajenda na hizo teuzi

Bara bara, miradi ya maji, zahanati, vituo vya afya vinajengwa na kutumiwa na kila mtu

Kwahiyo kujenga ujenge wewe tu, nikijenga mimi si ujenzi. Suala si matumizi, Topic imejikita kwenye watendaji kazi si watumiaji. Kwanini uchague watu wa kundi moja kuongoza wengine. Kwani waislam wakijenga nyie hamtatumia.

Najua hii ni Thread nzito hasa kwenu kupata majibu sahihi. Mnajua kuwa hawa wamelala tuwapige, wakiamka amani haipo. Ni vyema suala lishughulikiwe sasa muda huu wakiwa bado wapole.
 
Katika matatizo yote ya watanzania nyie mmeona Uchaguzi tu. Wasakatonge wakubwa nyie.

Lugola hakuwa msaka tonge. Nyie mnajifikiria kuwa ni wasafi sana. Kweli nyani haoni kundule. Endelea kuwa na mawazo finyu.
 
Yawezekana kuna majina mengi sana hapo ya kiislam lakini Wahusika ni Wakristo, Pia yapo ya Kikristo lakini dini ni Waislam

Rais wa JMT au Kiongozi yeyote anayejielewa hawezi kuwa na muda wa kijinga kujadili udini badala ya kuangalia uwezo.

Haya Mnayoandika ndio UDINI wenyewe sasa.
 
Mkuu Mzee Said wakati wako ndio huu gombea Ubunge uwakilishe kilio chako

Hao uliowaandikia siku hizi wanaogopa umma kuliko JF
Huyu Mzee ndio Mdini namba moja, hawezi kupata uongozi labda misikitini tu.
 

Kumbe unafanya kazi na jiwe au Roho Mtakatifu wako ndiyo alivyokufunulia??
 
Wamesahau tano bora
Rais
Makamu wa rais
Waziri Mkuu
Maji mkuu
Speaker

Asimilia hapa zikoje??
Awamu iliyopita:-

Rais wa JMT = Muislam

Makamu wa Rais = Muislam

Rais wa Zanzibar =Muislam

Makamu wa Rais Zanzibar=Muislam

Jaji Mkuu =Muislam

Hili hawakuliongea na bado walilia lia tu kama kawaida yao. Wanapenda kubebwa na Mbeleko sana hawa.
 
Titi...
Tanzania dini kuu ni mbili na unazijua.

Ili ufahamu imekuwaje leo dini imekuwa ni mada ya kujadiliwa inakubidi uisome historia kudai uhuru wa Tanganyika.

Bila ya kufanya hivyo hutoweza kuchangia vyema mjadala huu.
Kwanini asiweze kuchangia? Mbona anachangia? Huwa unajikuta kwamba wewe ndio unajua kila kitu Mzee

Historia ya Tanganyika, TANU n.k wanaoifahamu ni wengi tu humu.

Tena wanaijua historia halisi sio hiyo yako ya Udini unaotuletea humu kila Mara, ambayo umejaza Uzushi.
 
Huenda sikujieleza vizuri.

Ngoja nijaribu hivi:
Kama tungeondoa neno "waislamu/uislam" kwenye kichwa cha habari ya mada hii, tukabaki tu na maandishi yaliyomo kwenye maelezo yaliyowekwa, bado ungeandika kama ulivyoandika wewe na mimi kuku'quote'?

Ninakubaliana na wewe kuhusu kutanguliza mbele haya maneno/mambo ya 'imani' kwenye mambo ya nchi yetu na kila mara kujitambulisha kwa imani hizo. Hili ni tatizo ambalo nalipinga kwa nguvu zote, na ndio msukumo ulioniingia kukujibu wewe.

Sasa, kama bado utakuwa hujanielewa hapa, sidhani kuwa nitakuwa na uwezo wa ziada kujieleza hadi unielewe.
 
Azarel,
Mimi naijua historia ya Nyerere.
 
Waraka wa kipuuzi kabsa

Kwahyo wakisikia uteuzi kazi yenu kuuliza dini ya mteuliwa? kwahyo nchi hii ina wakristo na waislam pekee?
 
Titi...
Tutafanyaje inapokuwa waumini wa dini moja tu ndiyo wanakuwa na sifa za elimu, uxoefu, uadilifu, uchapakazi nk. kwa hiyo ndiyo wanaoongoza serikali na wengine wako nje?

Katika hali kama hii tunafanyaje?
wewe wasiwasi wako ni nini kwani wanaongoza kwa kutumia biblia au kurani?
 
Ndo ukweli huo

Waislamu wana njama zao juu ya taifa hili....kama ni shughuli za kufanya zipo kibao

Wao ni teuzi tuu....

1960s wao ni teuzi, 1970s wao ni teuzi, 1980s wao ni teuzi, 1990s wao ni teuzi, 2000 hadi leo 2020 wao ni teuzi
Uko sahihi sana mkuu hawa jamaa hawaelewi kwamba ina maana taifa hili ni la Waislam na wakristo tu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…