Uchaguzi 2020 Waraka wa Uchaguzi wa Shura ya Maimamu Tanzania

Uchaguzi 2020 Waraka wa Uchaguzi wa Shura ya Maimamu Tanzania

Status
Not open for further replies.
Tume huru inapaswa ianze kushughurikiwa baada tu uchaguzi kuisha, Kwa muda huu utekerezaji wake hauwezekani!!

Tume huru ilikuwa ndani ya katiba mpya ambayo rais alikataa ili apate nafasi ya kunajisi chaguzi zetu. Madai halali hayana muda. Bora uundwe serikali ya mpito tukisubiri tume huru ya uchaguzi. Inatakiwa itokee na dini nyingine itoe tamko la tume huru ya uchaguzi, tumechoka na chaguzi za kishenzi.
 
Mambumbumbu utawajua tu. Tume huru kwako inapatikana kwa muda mfupi kihivyo? Nadhani mngeomba uchaguzi uahirishwe kwanza tuipate huyo tume huru wako baadaye tuchague
 
Safi sana. Wale wanakondoo nao watoe waraka siyo waone kijana wao wa kanisani yupo madhabauni wajifanye hawaoni jinsi haki za raia zinavyominywa.

Dr Shoo atautoa jpili ijayo.
 
Jihadi
Safi mashekhe tupigane jihadi mpaka kieleweke.

Jihad NI Vita ya DINI Iliopiganwa baina ya waislam na washirikina baina ya kutwezwa nguvu na kusumbuliwa wasifanye ibada na kuusimamisha uislam wao kivitendo.

Haya umesikia waislam wanaonewa kwa kuzuiwa wasiende kufanya ibada misikitini?! Wanawake wa kiislam wanavuliwa nguzo zao za stara na kudhalilishwa kijinsia?!

Waislamu wanazuiwa kwenda kuhiji?!!

Acha kujitia uzwazwa...
 
Tume huru ilikuwa ndani ya katiba mpya ambayo rais alikataa ili apate nafasi ya kunajisi chaguzi zetu. Madai halali hayana muda. Bora uundwe serikali ya mpito tukisubiri tume huru ya uchaguzi. Inatakiwa itokee na dini nyingine itoe tamko la tume huru ya uchaguzi, tumechoka na chaguzi za kishenzi.
Wewe Utapata Kiharusi Kwa kujitia hamaniko lisilo tija.....
 
Unaongelea hiyo Bakwata, ambayo ni "branch" ya chama tawala cha CCM

Endelea kutoijua historia ya nchi hii...
Endelea kuchagua KUBWETEKA na kubaki na ujinga wako kwa Maana "elimu" ni GHARAMA.....
 
Kabisa, kwa hawa waisilamu wa kweli wasio na mafungamano na genge liitwalo ccm.

Unajipaje MIZANI ya kuwapima waislamu walio wakweli na walio bosheni kwa Mambo ya SIASA?!!
 
Safi bakwata nina unga mkono hoja ya uchaguzi ulio uhuru na haki
 
Tume huru ilikuwa ndani ya katiba mpya ambayo rais alikataa ili apate nafasi ya kunajisi chaguzi zetu. Madai halali hayana muda. Bora uundwe serikali ya mpito tukisubiri tume huru ya uchaguzi. Inatakiwa itokee na dini nyingine itoe tamko la tume huru ya uchaguzi, tumechoka na chaguzi za kishenzi.

Nchi Hii Mbona Matamko Ya Aina Hiyo Tumeshazoea kuyasikia.

Waislamu Tulio Wengi Tuna Utii na Mamlaka Yetu Ya Dini. Kiongozi wetu wa kiroho na kiimani ni Ashaykh Ul Muadhama Mufti Zubeir Bin Alii,akitokea mtu kutaka kumpora nafasi yake HUYO ni MUASI WA UONGOZI.

ACHENI MASKHARA NA KUCHEZEA IMANI ZA WATU. Tuendelee kuwa HURU km watanzania na tusitukanane kidini na bugudha zisizokuwa na UTU.
 
Nchi Hii Mbona Matamko Ya Aina Hizo Tumeshazoea kuyasikia......

Waislamu Tulio Wengi Tuna Utii na Mamlaka Yetu Ya Dini.
Kiongozi wetu wa kiroho na kiimani ni Ashaykh Ul Muadhama Mufti Zubeir Bin Alii,akitokea mtu kutaka kumpora nafasi yake HUYO ni MUASI WA UONGOZI......

ACHENI MASKHARA NA KUCHEZEA IMANI ZA WATU...
Tuendelee kuwa HURU km watanzania na tusitukanane kidini na bugudha zisizokuwa na UTU....

Hiyo sheikh Zuberi ni ni kiongozi wa waisilamu wa ccm.
 
Hao
Safi bakwata nina unga mkono hoja ya uchaguzi ulio uhuru na haki
[/QUOT

Hao sio BAKWATA...

Hao hawakisemei chombo chetu pekee CHA BAKWATA chenye dhamana juu yetu waislamu wa Tanzania katika masuala ya DINI na imani.
 
Hiyo sheikh Zuberi ni ni kiongozi wa waisilamu wa ccm.

Tindo huwa nakuheshimu sana nashangaa unavyojitoa ufahamu wako....

Kihistoria huwezi kuwatenga waislamu na wale makuli wa bandari na CHAMA chao Cha WORKERS ASSOCIATION.....
Wala na AA...
Wala na TAA.....
Wala na TANU......
Wala na ASP.....

Wala na KILEMBWEKEZA CCM.

Ukiwa sober😀😀 tutajadili haya....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom