Tume huru inapaswa ianze kushughurikiwa baada tu uchaguzi kuisha, Kwa muda huu utekerezaji wake hauwezekani!!
Hao ni wahuni tu Kama chadema, chombo cha kuwasemea waislamu wa Tanzania ni bakwata tuMungu wabariki Watukufu Waislam
Safi sana. Wale wanakondoo nao watoe waraka siyo waone kijana wao wa kanisani yupo madhabauni wajifanye hawaoni jinsi haki za raia zinavyominywa.
Muislam Brown....utakuwa muislam wa kianglicana wewe siyo bure
Safi mashekhe tupigane jihadi mpaka kieleweke.
Wewe Utapata Kiharusi Kwa kujitia hamaniko lisilo tija.....Tume huru ilikuwa ndani ya katiba mpya ambayo rais alikataa ili apate nafasi ya kunajisi chaguzi zetu. Madai halali hayana muda. Bora uundwe serikali ya mpito tukisubiri tume huru ya uchaguzi. Inatakiwa itokee na dini nyingine itoe tamko la tume huru ya uchaguzi, tumechoka na chaguzi za kishenzi.
Mungu wabariki Watukufu Waislam
Wewe Utapata Kiharusi Kwa kujitia hamaniko lisilo tija.....
Unaongelea hiyo Bakwata, ambayo ni "branch" ya chama tawala cha CCM
Kabisa, kwa hawa waisilamu wa kweli wasio na mafungamano na genge liitwalo ccm.
Muislam Brown....utakuwa muislam wa kianglicana wewe siyo bure
Unajipaje MIZANI ya kuwapima waislamu walio wakweli na walio bosheni kwa Mambo ya SIASA?!!
Tume huru ilikuwa ndani ya katiba mpya ambayo rais alikataa ili apate nafasi ya kunajisi chaguzi zetu. Madai halali hayana muda. Bora uundwe serikali ya mpito tukisubiri tume huru ya uchaguzi. Inatakiwa itokee na dini nyingine itoe tamko la tume huru ya uchaguzi, tumechoka na chaguzi za kishenzi.
Nchi Hii Mbona Matamko Ya Aina Hizo Tumeshazoea kuyasikia......
Waislamu Tulio Wengi Tuna Utii na Mamlaka Yetu Ya Dini.
Kiongozi wetu wa kiroho na kiimani ni Ashaykh Ul Muadhama Mufti Zubeir Bin Alii,akitokea mtu kutaka kumpora nafasi yake HUYO ni MUASI WA UONGOZI......
ACHENI MASKHARA NA KUCHEZEA IMANI ZA WATU...
Tuendelee kuwa HURU km watanzania na tusitukanane kidini na bugudha zisizokuwa na UTU....
Safi bakwata nina unga mkono hoja ya uchaguzi ulio uhuru na haki
[/QUOT
Hao sio BAKWATA...
Hao hawakisemei chombo chetu pekee CHA BAKWATA chenye dhamana juu yetu waislamu wa Tanzania katika masuala ya DINI na imani.
Hiyo sheikh Zuberi ni ni kiongozi wa waisilamu wa ccm.