Kwa hivyo hapo kwenye hoja ya usawa katika kugawana nyadhifa na mengineyo inahusu raia walio muhimu au bora kuliko wengine?Titi...
Huwezi kufananisha historia ya Waislam na kundi lolote labda ikiwa unataka kuchekesha watu.
Unaweza kuanza kujifunza kwa kusoma kitabu cha Abdul Sykes (1998).
Waislamu wana hiden motives (agenda) na teuzi na nafasi zote za uongozi, ndio maana huzipigania sana...kwao limekuwa swala la kufa na kuponaTeuzi na upandishwaji vyeo lazima vifanyike kwa kuangalia sifa na vigezo vya mtu husika.
Lazima viwe 'based on merits' siyo sifa ya udini au ukabila.
Titi...Kwa hivyo hapo kwenye hoja ya usawa katika kugawana nyadhifa na mengineyo inahusu raia walio muhimu au bora kuliko wengine?
Mimi niliwaelewa vibaya nilidhani wanatka usawa kwa raia wote toka kila kundi la kiimani.
NB: Kutoamini kuhusu dini na Mungu/Miungu nayo ni imani pia. Kuamini katika miungu au mungu zaidi ya mmoja nayo ni imani pia.
UjuIla makala ndefu jamani,ebu tuendelee kuidadavua.Kuna mengi nakubaliana na waraka huu ila hili la kuangalia na kumlazimisha kuwa mtanzania huyu ni wa dini hii au ile hilo lina utata.
Kugawana keki ya taifa n.k kungetumia kikokotoo cha kanda maana kutumia imani bado imani fulani itazidiwa wingi na kuleta mgawanyiko ktk taifa, jamii na familia ila kuangazia kanda inafuta mgawanyiko kwa kufuata imani.
Utanisamehe mzee wangu, mimi nilielewa vibaya kwamba maimamu wanadai haki sawa kwa raia wote kumbe siyo lengo lao kama nilivyodhania.Titi...
Tanzania dini kuu ni mbili na unazijua.
Ili ufahamu imekuwaje leo dini imekuwa ni mada ya kujadiliwa inakubidi uisome historia kudai uhuru wa Tanganyika.
Bila ya kufanya hivyo hutoweza kuchangia vyema mjadala huu.
Lakini haya ni maoni yako mkuu wangu.Waislamu wana hiden motives (agenda) na teuzi na nafasi zote za uongozi, ndio maana huzipigania sana...kwao limekuwa swala la kufa na kupona
Ndo ukweli huoLakini haya ni maoni yako mkuu wangu.
Ngoja tuwasikilize wenyewe, naomba ufafanuzi zaidi toka kwa Mzee wangu Mohamed Said .
MkuuHao hawatusemei waislamu wote.....hao Wala hawatambuliki KISHERIA kutusemea....
Muislam Mimi SIYATAKI HAYO WAYASEMAYO.....
Muislam mimi na wenzangu tulio wengi tunataka kuiona tume HIIHII iendelee kwani iko KISHERIA na haina dosari zozote.......
Waislam tunasemewa na BARAZA letu kuu BAKWATA......
WENGINE WANAKUWAGA WALE WACHOCHEZI WACHACHE.
Hivi huo UKUU wa dini mbili unazo zizungumzia ni wa namna gani?Titi...
Tanzania dini kuu ni mbili na unazijua.
Ili ufahamu imekuwaje leo dini imekuwa ni mada ya kujadiliwa inakubidi uisome historia kudai uhuru wa Tanganyika.
Bila ya kufanya hivyo hutoweza kuchangia vyema mjadala huu.
Mkuu
Ninamashaka Sana na uislam wako.. Yumkini nyama huli ila Wakula ndizi.. Natumai umenielewa
Titicomb,Hivi huo UKUU wa dini mbili unazo zizungumzia ni wa namna gani?
Kigezo kipi umetumia kusema hizi ni kuu?
Kama kigezo ni idadi yao basi nasikitishwa na kustushwa na mitizamo ya kudai kupewa haki katika taifa kwa kuangalia makundi ya waliyo wengi tu na kuachwa au kupuuzwa makundi ya wale waliyo wachache.
Titicomb,Lakini haya ni maoni yako mkuu wangu.
Ngoja tuwasikilize wenyewe, naomba ufafanuzi zaidi toka kwa Mzee wangu Mohamed Said .
LOoo, mkuu 'Jumbe Brown', huko nyuma kwenye michango yako mingine nilikuchukulia kama mtu 'serious', sasa hii hapa ni nini mkuu?
Tusibishane, nimeweka tu haya ili ujue nilivyoheshimu michango yako huko nyuma.