Uchaguzi 2020 Waraka wa Uchaguzi wa Shura ya Maimamu Tanzania

Status
Not open for further replies.
Ndugu Mohamed kusema kwamba waislam ndio waliopigania uhuru ni kupotosha. Sijawahi kusoma katika historia kikundi au kundi la dini ya kiislamu lililopigania uhuru kama taasisi ya kiislamu. Bali kuna wafrika waislamu waliyoshiriki katika kupigania uhuru wa nchi hii kama watu binafsi (siyo kidini).

Uhuru ulilenga kuikomboa Tanganyika (waafrika wote bila kujali dini zao) iwe huru wala haukulenga kukomboa waislamu wawe huru. Hilo suala la nani alihusika sana na nani hakuhusika sana linategemea na mazingira na sababu kadha wa kadha. (Msilete udini kwenye mambo ya nchi unless otherwise with tangible evidence)

Maana tukiendela hivyo mwisho wa siku tutaanza pia kusema ni makabila fulani ndio yalishiriki zaidi kwenye kupigania uhuru wa nchi (which is nonsense!)
 
Luriga,
Hujui historia ya Tanganyika chini ya ukoloni wa Wajerumani na Waingereza.

Itakuwa vyema ukajifunza kwanza ndipo ushiriki katika huu mjadala.
 
Luriga,
Hujui historia ya Tanganyika chini ya ukoloni wa Wajerumani na Waingereza.

Itakuwa vyema ukajifunza kwanza ndipo ushiriki katika huu mjadala.
Kwa hiyo waislamu ndio walileta uhuru wa nchi hii. Nijibu tu hilo kama huna jibu basi endelea na mambo mengine)
 
Luriga,
Soma kitabu hicho hapo chini:
 
Kwa hiyo waislamu ndio walileta uhuru wa nchi hii. Nijibu tu hilo kama huna jibu basi endelea na mambo mengine)
Luriga,
Ukipandisha hamaki utakosa kujifunza mengi.
Historia hii huijui.

Kitabu hicho kimekuwa maarufu sasa tunakwenda toleo la nne toka mwaka wa 1998.
 
Shuura ya maimamu haijawahi wala haitawahi kuwa sambamba na serikali ya ccm hata Rais awe muislam watalalamika
Nimeshangaa sana wanalalamika kwamba serikali imeshindwa kugawa bure kilo 50 za dona kwa kila mwananchi wakati wa janga la corona!!
Sikushangaa walipoweka list ya mashekhe wa uamsho
 
Sawa nitasoma lakini nisipokuta uislam kama taasisi ya dini ilivyopigania uhuru bali waislamu kama watu binafsi bado sitashawishika na hoja yako.
Luriga,
Umechelewa sana kitabu kina miaka 22 na ubishi umekwisha miaka mingi nyuma ikaamuliwa lazima ipatikane historia ya Julius Nyererere wewe unawarudisha watu nyuma.

Hiyo picha nimeshika Wasifu wa Julius Nyerere nimetunukiwa na waandishi kwa kusaidia kueleza historia ya Mwalimu.
 
Wanawagawa watanzania, wanahamasisha chuki na uvunji wa amani
"Nimesoma Informatics udom pale namjua vizuri sana Dr. Masoud Masoud alikuwa yupo mbele sana kwautetezi wa waislam popote akiona kuna ukandamizaji wa waislam alikuwa anakuja juu nadhani hiki ndio kimemponza Alikuwa ni head wa Department ya computer Science. Na prof. Leonard Mselle namjua vizuri sana yeye sio mdini nimtu safi sana huyu mzee mara nyingi husimama kwenye ukweli nimlezi mzuri wa wanafunzi." Mhitimu wa UDOM
 
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…