Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo Serikali inatakiwa ifuate MWONGOZO la sivyo hawatapewa kura au namna gani? Au tuseme kama atatokea mwanasiasa mwenye kuukubali MWONGOZO ndiye atakayepewa kura? Tunamsubiri mzee 'no comment' kikongwe wa kikomunisti Kingunge, mzee wa 'hapa patamu' Makwaia wa Kuhenga na 'bwana madevu' maalim Seif kuupinga waraka huo kama walivyoupinga ule wa Kanisa Katoliki otherwise tutakuwa tumewajua janja yao ililenga kwenye nini!
Hebu tueleze katika waraka huo cha kupingika ni nini? tuanze kukipinga.
Ushauri wangu kwa maaskofu na wakristu ni kufanya kampeni za waziwazi makanisani kwamba tuchague wakristu wenzetu tuu.
Tueneze kampeni zaidi na kwa wapagani, hindu,n.k(exclude wajahidina).
Hii move ita work sana tuu.
Liwalo na liwe, kama ni noma na iwe noma.
Angalia cha kusema maneno yako mazito..! jua kuwa hakuna muislamu aliye kamili akashindwa kutetea haki yake hata kama itaghalimu maisha yake.! huwa tunafanya subira kisha baadae ndio maamuzi yanakuja. Au kwa kuwa Julius alipanda ndege kwenda kwa malikia ndio akaonekan kwamba ye ndio mambo yote.? Chukulia mfano w dereva wa dala dala anavyokuwa akiendesha abiria.Enyi waislamu ni nani aliyewaroga kuwa ninyi peke yenu mlipigania uhuru wa Tanzania?Tanzania ilitawalia na nani? Mwalimu Nyerere nini?
Ukishakuwa taharia utaongea hovyo sana.
Kama ni uhuru wa Tanganyika aliyepigania tena mstari ni mkatoliki Julius Kambarage Nyerere, narudia tena nyie mlikuwa fuata upepo, kwani muda mwingi wa kampeni mlikuwa hamna kazi ya kufanya zaidi ya kucheza bao, hivyo ilikuwa rahisi kwenu kufuata mikutano ya Nyerere.
Mfano mzuri ni zile movement za Martin Luther, waislamu na vikofia vyao walikuwa nyuma nyuma kama walinzi vile.
Kwahiyo mwataka kusema nanyi(waislamu) mlipigania uhuru wa watu weusi Marekani.
Acheni ulimbukeni na mizuka ya kipepo pepo hiyo, uhuru wa Nchi hii alipigania Nyerere.
Ninyi hamna historia ya kupigania uhuru zaidi ya kujilipua na mabomu.
Karume alishindwa kumtoa mwarabu zenj, ikabidi Nyerere kwa kushirikiana Okello ndiyo zoezi likafanikiwa.
Angalia cha kusema maneno yako mazito..! jua kuwa hakuna muislamu aliye kamili akashindwa kutetea haki yake hata kama itaghalimu maisha yake.! huwa tunafanya subira kisha baadae ndio maamuzi yanakuja. Au kwa kuwa Julius alipanda ndege kwenda kwa malikia ndio akaonekan kwamba ye ndio mambo yote.? Chukulia mfano w dereva wa dala dala anavyokuwa akiendesha abiria.
Nikusaidieje!?wewe bana,
jina lako tu linabeba matakataka halisi yaliyopo kichwani mwako
waraka wenyewe uko wapi jamani?
Au kwa kuwa Julius alipanda ndege kwenda kwa malikia ndio akaonekan kwamba ye ndio mambo yote.?
Niambieni hii imekaeje? Nani atakaekuwa mshindi au kubakia na nani atakuwa cancelled out. Mimi naona hii ni kama sinema ya Ze Komedi. Mnasemaje wachambuzi?
Mdini naona bado unatania tu. Hili silo suala la utani. Tanzania tushafika pabaya. Unadhani hio vita italeta nidhamu? Nidhamu tunaweza kuileta bila ya vita. Much can be done without a war but with unlimited imaginations! Kenya wamekufa zaidi ya 5,000 na badala ya nidhamu kuja Odinga anasema choo chake kapewa kidogo kuliko cha Rais. Hivyo tunasema vita ije kwa kungojea nidhamu kama hii - ya kudai choo afisini kiwe kikubwa? Is this worth of the 5,000 lives lost? Is this what these people died for? Anyway, kwa advice yako siiuzi tena nyumba yangu na wacha tuishangilie hio vita ije ili baadae nasi tudai vyoo vikubwa afisini kuliko vya Waislamu!!!
Mdini!
Mlishindwa nini ninyi waislamu kupanda hiyo ndege?