WARAKA WA WAZI KWA LADY JAY DEE kUHUSU WIMBO YAHAYA

WARAKA WA WAZI KWA LADY JAY DEE kUHUSU WIMBO YAHAYA

Sawa sawa nimekusouma, mmarekani mweusi wa Tandale

wewe unaish wapi?
Acha kashfa unaonekana mbaguzi sana wewe sasa tandale kuna tatzo gani hebu toa uharo wako hko
 
Nakuoongezea na mengine Kassim na Isihaka. But

Mtoto Iddy .............Juma Nature ni muislamu na umetoka kipindi hicho hakuna vuguvugu la udini Tz.

Masudi ..............Msondo Ngoma/Sikinde: Asilimia kubwa ya waimbaji wakuu kwenye hizo bendi ni waislamu, waimbaji viongozi kwenye hizo bend pia ni waislamu/ nyimbo hizo zimetoka kipindi hicho hakukuwa na upepo wa udini Tz kama uliopo hivi sasa. Sasa hivi udini umewaingia sana watz kiasi huko mashuleni mwalimu wa dini moja akimpa adhabu ya viboko mwanafunzi wa dini nyingine, inaweza kutafsiriwa kama udini. Naamini kama Jide angekuwa muislamu, beef yake na Ruge ingeweza kutazamwa katika sura ya udini
yani unaongea pumba mpka naona aibu kusoma!
aaaaaarhg!
 
Acha kuchochea udini wewe kwani ni Jide tu ndio wa kwanza kutaja majina ya watu kwenye nyimbo, mbona majina kibao tu ya kiislam na kikristo yametajwa kwenye nyimbo mbalimbali na wasanii mbalimbali

mfano Juma nature aliimba Athumani akishalewa anashindwa kujielewa!!!!!!

Matonya nae na wimbo wake wa latifa

hiyo ni mifano tu miwili lakini wapo wasanii wengi ambao hutumia kutaja majina mbalimbali kwenye nyimbo zao so lawama zako hazina msingi hata kidogo.
 
LIKUD..!!! Imani ikizidi Utashi??? Hatuendi hivyo bwana..!!!!
 
mjadala ulishafungwa

We njegele kweli, kwa akili yako unadhani mjinga gani atakusapoti, mbona zilishatolewa nyimbo kama "MASOUD JAMBAZI" na zimekuwa zikipendwa na WATANZANIA Wengi tu. Usilete akili yako ndogo mbele ya watu wenye upeo mkubwa, umeandika thread ndeeefu lakini pumba tupu. LIKUD mkubwa we
 
Last edited by a moderator:
Sasa angeimba Mohamed si ndio ungemtafuta na kumuua wacha uchochezi kijana huu sio wakati wake alafu unaanza na maneno ya vitisho hiyo siyo akili timamu ya kukaa na kuandika Eti waraka wa wazi kuna vitu vya kuandika na siyo vyote

Nahisi kabisa unataka kuvumbua mambo mengine ili yaanze makelele mengine tena mbona mnakuwa na vijimaneno maneno ambavyo havina msingi mnakela kama unaona hilo jina limekugusa saana basi tabia zile zilizo imbwa humo kwenye huo wimbo zinakugusa kwa haina moja ama nyingine

Huu ni ushamba na kama ungekuwa unajua gharama za kurecord nyimbo ungekwenda taratibu mpaka Nyumbani Lounge na ukamuuliza ni kiasi gani alichotumia kurecord huo wimbo wa YAHAYA ukazitoa hizo pesa na ukaanza kumuelezea haya na kumwambia afanye remix ya jina lingine.
 
acheni mambo ya kibwegebwege,na udini wenu,mnaanza taratibu,mtajibagua hadi ndani ya dini,zamani akina juma nature walitoa nyimbo mjomba iddi n.k hakukua na thread km izi,umetumwa na ru gay????
 
Likud, mimi sijaona tatizo. Whether ni mkristo au muislamu binadamu yeyote ana uwezo wa kufanya matendo mema na mabaya. Tuache kuendekeza siasa za udini zinazotumiwa na wachache kutuvuruga kwa maslahi yao. Watanzania hatuna matatizo baina yetu sisi wenyewe wa dini tofauti bali tunapandikizwa virusi vya udini ili tuanze kuchukiana kwa misingi ya imani zetu.
 
wewe unaish wapi?
Acha kashfa unaonekana mbaguzi sana wewe sasa tandale kuna tatzo gani hebu toa uharo wako hko

bUNK pITCH!!!!!.....by ol minz d title n main character'f d song shud b remixed as “lee-kurd" insted'f “yahh-haya"........aint u wet yet,i wonda!
 
Mimi ni miongoni mwa mamilioni ya watanzania ambao wana ji identify themselves kama mashabiki wako wakubwa. But kina kitu kimoja ambacho kwa maoni yangu ninaona hakipo sawa . Nacho ni kuhusu wmbo wako uitwao YAHAYA. Wimbo wako ni mzuri na unaelimisha jamii but kwa nini usingetumia jina tofauti na YAHAYA. Kwanini ninasema hivyo?

1. YAHAYA ni jina la kiislamu, na miongoni mwa majina ya kiislamu yenye maana kubwa kwa waislam.
2. Wewe ni mkristo wa madhehebu ya wasabato.
3. Hapa kwetu nchini Tanzania kuna vugu vugu la waislamu na wakristo. Waislamu wamekuwa makini sana kwa kila kitu kinacho fanywa na mtu yoyote yule mwenye jina la kikristo hususani pale maslahi ya dini ya kiislamu ama jina la kiislamu linapotajwa. Sihitaji kulizungumzia hili kwa kina kwa sababu naamini huwa unafuatilia taarifa mbalimbali za habari so am sure as hell unafahamu ni kitu gani kinaendelea kati ya wakristo na waislamu Tanzania wakati huu.

( KITU CHA MSINGI KUELEWA HAPA NI KWAMBA, KITU CHOCHOTE KILE KITAKACHO TAJWA NA MKRISTO DHIDI YA UISLAMU AMA MUISLAMU KWA NAMNA YOYOTE ILE KINAWEZA KUCHUKULIWA KAMA KASHFA DHIDI YA UISLAMU )

Hivyo basi wimbo wako wa YAHAYA ingawa una ujumbe mzuri, but unaweza kukuletea matatizo na waislamu wa Tanzania ambao wanaweza kuuchukulia kama kashfa dhidi yao. Maadui zako wanaweza kuitumia hiyo kama loop hole na ku dress beef lenu kulifanya lionekane kama beef kati yako waislamu.

MAPENDEKEZO: Nikiwa kama shabiki wako, ninakushauri ubadilishe haraka iwezekanavyo jina la wimbo YAHAYA na kutafuta jina lingine lolote lile. Katika kutafuta jina nakushauri utafute jina ambalo halihusiani na jina la dini yoyote kati ya ukristo na uislamu. Unaweza kutumia majina yanayo tumiwa na watu wa dini zote kama vile MAWAZO.
Ukibadilisha jina la wimbo wako, utajijengea heshima kubwa sana kwa mashabiki wako ambao ni waislamu na watachukulia hiyo kama heshima kwao.
Sina mengi ya kuongea zaidi ya hayo. Natumaini umenielewa.

NAKUTAKIA MAANDALIZI MEMA YA MAADHIMISHO YA MIAKA 13 YA LADYJAYDEE.

Mtoto Iddy Kazua balaa by Juma Nature. tafakari.
 
Kichwa kinapokosa mawasiliano na ubongo mambo huwa ovyo sana
 
Hata hapa bongo kuna MIBOKO HARAMU...
Nenda nigeria au somly sh..ytpe
 
Nina kitu kimoja ambacho kwa maoni yangu ninaona hakipo sawa, kuhusu wmbo wako uitwao YAHAYA. Wimbo wako ni mzuri na unaelimisha jamii but kwa nini usingetumia jina tofauti na YAHAYA. Kwanini ninasema hivyo?

1. YAHAYA ni jina la kiislamu, na miongoni mwa majina ya kiislamu yenye maana kubwa kwa waislam.
2. Wewe ni mkristo wa madhehebu ya wasabato.
3. Hapa kwetu nchini Tanzania kuna vugu vugu la waislamu na wakristo. Waislamu wamekuwa makini sana kwa kila kitu kinacho fanywa na mtu yoyote yule mwenye jina la kikristo hususani pale maslahi ya dini ya kiislamu ama jina la kiislamu linapotajwa. Sihitaji kulizungumzia hili kwa kina kwa sababu naamini huwa unafuatilia taarifa mbalimbali za habari so am sure as hell unafahamu ni kitu gani kinaendelea kati ya wakristo na waislamu Tanzania wakati huu.

( KITU CHA MSINGI KUELEWA HAPA NI KWAMBA, KITU CHOCHOTE KILE KITAKACHO TAJWA NA MKRISTO DHIDI YA UISLAMU AMA MUISLAMU KWA NAMNA YOYOTE ILE KINAWEZA KUCHUKULIWA KAMA KASHFA DHIDI YA UISLAMU )

Hivyo basi wimbo wako wa YAHAYA ingawa una ujumbe mzuri, but unaweza kukuletea matatizo na waislamu wa Tanzania ambao wanaweza kuuchukulia kama kashfa dhidi yao. Maadui zako wanaweza kuitumia hiyo kama loop hole na ku dress beef lenu kulifanya lionekane kama beef kati yako waislamu.

MAPENDEKEZO: Nikiwa kama shabiki wako, ninakushauri ubadilishe haraka iwezekanavyo jina la wimbo YAHAYA na kutafuta jina lingine lolote lile. Katika kutafuta jina nakushauri utafute jina ambalo halihusiani na jina la dini yoyote kati ya ukristo na uislamu. Unaweza kutumia majina yanayo tumiwa na watu wa dini zote kama vile MAWAZO.
Ukibadilisha jina la wimbo wako, utajijengea heshima kubwa sana kwa mashabiki wako ambao ni waislamu na watachukulia hiyo kama heshima kwao.
Sina mengi ya kuongea zaidi ya hayo. Natumaini umenielewa.
NAKUTAKIA MAANDALIZI MEMA YA MAADHIMISHO YA MIAKA 13 YA LADYJAYDEE.

Ndugu yangu nianze kwa kukufundisha kitu. Majukwaa kama haya, mara nyingi hukutanisha watu wengi wenye ufahamu tofauti wa mambo, hivyo kabla hujaleta kitu ni vema ukafanya utafiti wa kutosha.
Kwani kwa hili uliloleta inaonesha hukufanya utafiti wa kina. Nianze kwa kukujulisha kwamba, katika Uislam hakuna jina la YAHAYA ambalo lina maana kubwa kama unavyodai.
Katika Uislam kuna nabii YAHYA ibn Zakariah mbaye ndiye YOHANA Mbatizaji (Kwa Wakristo). Kwa kifupi katika hii post yako nadhani wewe ndiye utakayeingia kwenye matatizo kwa kuharibu jina la nabii au kulihusisha jina la mtaani na majina ya manabii.

USHAURI!
Omba radhi kwa uchochezi wa makusudi au kutojua kwa kulihusisha kwa makusudi au bahati mbaya jina la YAHAYA na Uislam, kwa kulazimisha kwa makusudi au bahati mbaya lionekane kama YAHYA!
 
umeniona nna kuni hadi uniite mchochezi? anyways mjadala ushafungwa
 
We mtoa mada hushangai hakuna mtu anayekusapoti???.. Siku nyingine usilete mawazo yako ya kishirikina hapa.
 
Back
Top Bottom