Warembo wa Bukoba

Huko kwenu ndio ninoma na ndio mlisababisha tusilane kwa amani saizi tungekuwa tunakulana kwa raha sana
Una maana gani punguza utoto aliye kuambia ulianzia kwetu nani?ngoja nikupe Elimu huu ugonjwa uliingia kupitia sehemu mbali mbali kwa mikoa ya kusini waliuopata kwa nchi jirani yaani Zambia Malawi na Mozambique na mpaka leo nchi za kusini zinaongoza kwa ukimwi ambao ni hatari kuliko sehemu nyingine kwa Kagera kuna dk alikuja kufanya kazi baada ya kuona watu wanaugua ugonjwa asio uelewa alimpigia rafiki yake ambaye ni dk huko ufaransa ambako nao waliathilika pakubwa alipomtajia dalili akamuomba na vipimo amtumie ndio ikatangazwa ni ukimwi umeeingia nchini lakini wagonjwa walikuwepo karibu Tanzania nzima asa mikoa ya mipakani na kusini wali athilika zaidi Mbeya Iringa na bado huko kuna sumbua mpaka leo
 
🤣🤣
 
Hiyo Bunena Beach unapitia njia gani, next month naexpect kwenda huko kikazi
Unajua watanzania bado sijui tatizo letu ni nini,hivi vitu kama hiyo Bunenena Beach,mahoteli au lodges za mikoa au wilaya,mbuga n.k kwanini wamiliki au mamlaka zinazohusika zisifungulie website ili iwe rahisi kuzipata hata kwenye mitandao kabla hata ya kufika eneo husika?unakuta mtu anataka kwenda Lindi inabidi aingie JF kuanza kuulizia hotel au vivutio vya huko! sijui hata tunakwamia wapi...?
 
Humu kuna watu wa kila aina ni vizuri kuuliza unapata majibu mazuri zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…