Warembo wa Bukoba

Warembo wa Bukoba

Huko kwenu ndio ninoma na ndio mlisababisha tusilane kwa amani saizi tungekuwa tunakulana kwa raha sana
Una maana gani punguza utoto aliye kuambia ulianzia kwetu nani?ngoja nikupe Elimu huu ugonjwa uliingia kupitia sehemu mbali mbali kwa mikoa ya kusini waliuopata kwa nchi jirani yaani Zambia Malawi na Mozambique na mpaka leo nchi za kusini zinaongoza kwa ukimwi ambao ni hatari kuliko sehemu nyingine kwa Kagera kuna dk alikuja kufanya kazi baada ya kuona watu wanaugua ugonjwa asio uelewa alimpigia rafiki yake ambaye ni dk huko ufaransa ambako nao waliathilika pakubwa alipomtajia dalili akamuomba na vipimo amtumie ndio ikatangazwa ni ukimwi umeeingia nchini lakini wagonjwa walikuwepo karibu Tanzania nzima asa mikoa ya mipakani na kusini wali athilika zaidi Mbeya Iringa na bado huko kuna sumbua mpaka leo
 
🤣🤣
Bukoba kuna warembo wazuri sana wenye misambwanda miguu ya bia na figa namba 8. Wamegawanyika Watusi kwa hapa wanaitwa wanyarwanda pia wapo walio mix Wahaya na Watusi nakutoa watoto wakali. Pia wapo Wanyakore ambao ni wazuri sana wengi wao ni weusi kwa mbali ni maji ya kunde. Wahaya pia ni wazuri sana..Bukoba unakuta binti ni beki tatu lakini ni mzuri sana unakuta wengi wanao kuja huku UPENDA kufukuzia beki tatu kuepuka gharama. Warembo wa hapa wengi wanapenda kuishi maisha ya kujitegemea hii inatokana wengi wameenda shule ASA hawa ambao ni wahaya asilimia mia. Wengi wanapenda kuolewa na wahaya wenzao hawapendi shida. Wana akili za maisha ni watafutaji wazuri wa hela ukifika Bukoba utakuta biashara kubwa wanamiliki wao. Wanapenda kuzungumza kihaya hata HAWE amesoma vipi au HAWE mrembo kiasi gani hii inatokana na wahaya kukipenda kihaya sana. Wengi wanapenda sana Kampala na shopping nyingi wanapenda kufanyia huko..Kama una swali uliza.SINA SWALI ILA NIMEPENDA UANDISHI WAKO,(UPENDA,ASA,HAWE)...
 
Hiyo Bunena Beach unapitia njia gani, next month naexpect kwenda huko kikazi
Unajua watanzania bado sijui tatizo letu ni nini,hivi vitu kama hiyo Bunenena Beach,mahoteli au lodges za mikoa au wilaya,mbuga n.k kwanini wamiliki au mamlaka zinazohusika zisifungulie website ili iwe rahisi kuzipata hata kwenye mitandao kabla hata ya kufika eneo husika?unakuta mtu anataka kwenda Lindi inabidi aingie JF kuanza kuulizia hotel au vivutio vya huko! sijui hata tunakwamia wapi...?
 
Unajua watanzania bado sijui tatizo letu ni nini,hivi vitu kama hiyo Bunenena Beach,mahoteli au lodges za mikoa au wilaya,mbuga n.k kwanini hatuna utamadun wakuzufungulia website ili iwe rahisi kuzipata hata kwenye mitandao kabla hata ya kufia eneo husika?unakuta mtu anataka kwenda Lindi inabidi aingie JF kuanza kuulizia hotel au vivutio vy huko! sijui hata tunakwama wapi...?
Humu kuna watu wa kila aina ni vizuri kuuliza unapata majibu mazuri zaidi
 
Back
Top Bottom