Warembo wa Kiarabu, wanapatikana wapi?

Warembo wa Kiarabu, wanapatikana wapi?

Wale waarabu koko, wanaongea kinyamwezi kinoma !! kwenye misiba ndiyo watangazaji na wasimamizi wa shuuli nzima. 😀 😀
Yaani nimecheka, kumbe machimbo ya waarabu wasiokuwa na zengwe mnayajua maana mie nilijibu aende Nzega kabla ya kusoma comments...nilichokutana nacho ni maelekezo yale yale ya kuelekea ukanda wa Tabora
 
Kuwa wasipoongea hawana tofauti wa Dubai.
Mkuu nipo katavi ngoja nitafute mwenyeji wa sikonge nikatalii nislimu nijichukulie Arab lady mmoja
Ukiingia Katavi watakuona matawi ya juu mkuu kama vile Wanyarwanda wanavyobabaikiwa na wabongo huku ukienda maeneo ya Karagwe na Ngara wanawanyanyapaa wanawake wa Kinyarwanda
 
Back
Top Bottom