Warembo wa TBC

Wanawavutia mrudi kuangalia channel yao..
.
 
Asante kwa hii video, nimewaona watu ambao sijakutana nao kitambo.

Nakumbuka hili kanisa wakati wanasali kwenye majengo ya shule ya Kisutu Sekondari...

Nilikiwa napenda sana vipindi vya kuimba kusifu na kuabudu....hadi unasahau kama uko duniani.
Siku hizi wako Upanga
 
Bila picha ya Aisha Hadji hapa utakuwa unatupotezea muda
 
Sijamuona mda sana Asha Haji.
Yule mdada ni mzuri na sauti yake ya mapenzi ile.

Ana macho fulani hivi ukikutana nayo yanasema "baby I love you ".

Akizungumza sauti yake shekhe unaweza kupoteza fahamu jinsi inavyoingia masikioni na kuanza kukitembelea kiungo cha mwili kimoja kimoja mpaka kwa ABDALA KICHWA.

Akisimama huo mshape kama ni mkeo unaweza ukawa unashinda nyumbani kila siku uendelee kumuona yeye tu.

Kuna wanaume wanafaidi sana duniani aisee[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Vijana wa kizazi cha Tecno wereva hawawezi kumjua kabisa.
 
Acha kuwa mtumwa wa sheria, sheria hizi zimetungwa na watu tu, kwa maana hiyo unaweza kuta sheria imetungwa kwa maslahi binafsi ya mtu/kakikundi fulani. Kuwa huru bro.
 
Siku hizi TBC inapendeza unapoangalia AridhioView attachment 1463814View attachment 1463816
Huyo binti yangu wa kwanza hapo juu anapendeza sana na nywele zake natural! Naomba walio karibu naye wamshauri aachane kabisa na minywele bandia. Napendekeza hili nikiwa na uhakika kuwa hapo lazima nitapata mahari isiyopungua ng'ombe 100. Bila kiasi hicho, basi mtu ajaribu tu kuwa mvumilivu asije akasogeza mguu wake nyumbani kwangu, siwezi kumwelewa.
 
Vijana wa kizazi cha Tecno wereva hawawezi kumjua kabisa.
Nafikiri alikuwepo TBC taifa toka 2010 miaka hiyo bado TBC ina la maana la kusikiliza.
Miaka nane sasa sijawahi kusikiliza hii radio sijui kama bado yupo huyu mrembo.
 
Mahari siyo malipo ni zawadi.

Unajipangiaje zawadi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…