Nini sherehe, hivi hakuna uwezekano wowote hiyo ndoa tuifungie tu kabisa ndani, mfungisha ndoa akimaliza tumfungulie mlango atoke, halafu sisi tuanze zetu maisha mapya ya ndoa?? [emoji23]
Wazo hili jema[emoji38]Nini sherehe, hivi hakuna uwezekano wowote hiyo ndoa tuifungie tu kabisa ndani, mfungisha ndoa akimaliza tumfungulie mlango atoke, halafu sisi tuanze zetu maisha mapya ya ndoa?? [emoji23]
Hii inapendeza 😂😂😂 maana mgeni mualikwa ni pasta au shehe tu.Nini sherehe, hivi hakuna uwezekano wowote hiyo ndoa tuifungie tu kabisa ndani, mfungisha ndoa akimaliza tumfungulie mlango atoke, halafu sisi tuanze zetu maisha mapya ya ndoa?? 😂
We uko tayari kwa hiloNini sherehe, hivi hakuna uwezekano wowote hiyo ndoa tuifungie tu kabisa ndani, mfungisha ndoa akimaliza tumfungulie mlango atoke, halafu sisi tuanze zetu maisha mapya ya ndoa?? [emoji23]
😂😂😂Yan fresh kabisa hatutak shobo na umbea wa hapa na pale as long as tumekubaliana wenyewe haina haja ya sherehe..mkileta mambo ya sherehe kwa mim natoroka na michango..
Nataka tufanye hivyoNini sherehe, hivi hakuna uwezekano wowote hiyo ndoa tuifungie tu kabisa ndani, mfungisha ndoa akimaliza tumfungulie mlango atoke, halafu sisi tuanze zetu maisha mapya ya ndoa?? [emoji23]
Kaka madenge popote pale ulipo mruhusu muweka hazina amnunulie soda ya baridi huyu dada pia leo akae siti ya mbele kwenye daladala😆😆Nini sherehe, hivi hakuna uwezekano wowote hiyo ndoa tuifungie tu kabisa ndani, mfungisha ndoa akimaliza tumfungulie mlango atoke, halafu sisi tuanze zetu maisha mapya ya ndoa?? 😂
HatariTatizo wadada wa dizain kama Carleen ni wachache yani wakisikia hakutakuwa na sherehe mpka mama mkwe mtarajiwa anakukana[emoji38][emoji38][emoji1787]
Uwezekano upo ila je upo tayari, maana swala la sherehe wenye influence zaidi ni wanawake...Atataka awatambie mashoga zake kuwa kaolewa auze sura kwa MC GaraB ndio aone kaolewa.Kama hali ya uchumi hairuhusu Kwanini niendelee kushupaza shingo yangu ngumu kwa kung’ang’ania sherehe.kwanza ni gharama sana.hiyo pesa si bora tuifanyie uwekezaji ambapo itaongeza kipato.
wanandoa wengi sana huishi maisha ya stress baada ya kufanya harusi.
Ingewezekana kufunga ndoa na kuendelea kupiga kazi ingekuwa mzuka sana.
Niko Tayari bila kupepesa macho, achague yeye sasa.. tukitoka kufunga ndoa twende kazini au twenzetu home tukapige gameUwezekano upo ila je upo tayari, maana swala la sherehe wenye influence zaidi ni wanawake...Atataka awatambie mashoga zake kuwa kaolewa auze sura kwa MC GaraB ndio aone kaolewa.
I likeNini sherehe, hivi hakuna uwezekano wowote hiyo ndoa tuifungie tu kabisa ndani, mfungisha ndoa akimaliza tumfungulie mlango atoke, halafu sisi tuanze zetu maisha mapya ya ndoa?? [emoji23]
[emoji106]Ukweli ni kwamba kama uwezo upo Ndoa na Sherehe inapendeza sana maana ni tukio muhimu sana katika maisha ya mwanadamu lakini kama uwezo hauruhusu hamna haja ya sherehe, ndoa ni muhimu lakini sherehe siyo muhimu.