Surely.Eti alisikia anashikwa shikwa maziwa akidhani anaota. Au alikuwa kalewa chakali pombe zimemjaa anaota.
Mazingira ya hitel ni ngumu sana ku attemp rape.
Highly secured environment.
Kama warere hatakua na evidence za maana even footage basi wanapigwa very soon.Matapeli hao wanaishi kwa kujiuza na kupora wanaume. Amekwama kwa mumakua🤣🤣🤣
Hahah sasa tunajadili nini hapa kama tunahukumu kwa one side story?Wenye hotel hawawezi kuwa na Utetezi wa msingi.....
Usitarajie hilo sababu hawakuwepo wakati wa makubaliano.
Na inawezekana huyo mlinzi hayupo tena eneo la tukio.
Holes tunazoziona sisi ni kuwa binti ni kama alimuita mlinzi, hatuhitaji utetezi wa Hotel wala hatuna shida nao.
Are you sure?Ndugu zake Zai hawataki kusikia hilo, wao tayari wameshamaliza kutoa hukumu yao.
Yes hawajawahi kuwa na akaunti twitter.Wenye Hotel hawana akaunti twitter, umelishwa matangopori.
Hapo umeandika nini sasa?Wanapenda sana wamasai pesa yenyewe hana huyo Changudoa
Ila utetezi wa Hotel wanaomkataa mlinzi wao ndio uko sawa/?Ukisoma allegations za Zainabu unaona kabisa ni za Mchongo.
Eti alisikia Mtu anampapasa maziwa akidhani ni ndoto[emoji1787][emoji1787]
Hivi kuna mwanaume anaweza kufanya hivyo kwenye hotel? Au nyie mnazungumzia hotel kama hivyo vichochoro vyenu vya kwenye Short Time vy elfu tano huko Madongo kuporomoka.
Hotel industry ni Mahali palipostaarabika sana.
Kwa akili mgando kama hizi ndio mnaamini hotel itaendelea na shighuli zake kama kawaida.Na kwa kuwa wanajua Hotel ingeogopa kuchafuliwa so walidhani ni rahisi watalipwa.
Kwa uchumi huu amekwama na hotel itaendelea na kazi zake.
Ishu ya yeye kutaka hela ni ajenda ya wenye hotel.Wewe unataka justice, yeye anataka hela.. Sasa tumsikilize nani?
Na
Mbona mnarahisisha sana mambo.Kiingereza ni kigumu kidogo. Mlinzi alifikishwa polisi. Baada ya yeye kusema kuwa alikaribishwa na Zainabu, Zainabu alishauriwa amshitaki yeye, kampuni iliyomwajiri na hata hoteli yenyewe. Zainabu alikataa kufanya hivyo kutokana na ushauri wa mawakili wake. Yeye akasema alipwe fidia ya dola 10000, lakini hoteli ikamwambia kuwa hawawezi kumlipa bila Mahakama kumkuta mlinzi ana hatia. Hoteli isingeweza kumshitaki mlinzi kwa sababu wao sio injured party. Na wangemshitaki halafu akathibitisha kuwa kweli Zainabu alimkaribisha, angeweza kuishtaki hoteli kwa kumharibia jina. Kitu kingine ni hofu ya kuset precedence. Watu wakijua kuwa hoteli iko tayari kutoa pesa ili kuepuka kuchafuliwa wengine wangemuiga Zainabu. Na itathibitisha kuwa huo ndio mchezo wa hiyo hoteli.
Inawezekana kuwa yalimpata kweli Zainabu lakini kukataa kwake kwenda mahakamani kumemharibia. Na hata kama ni PTSD, kukaa mwaka mzima kabla ya kuweka wazi yaliyomkuta yanafanya asionekane mwaminifu. Kingine ni simulizi zake kuhusu kunuka kwa jamaa, kumuita "baby", kukubali kwenda kuchukua kondom, kota kunanukia kutia chumvi.
Zainabu hapo mwanzo hakuzungumzia msaada na ushirikiano alioupata kutoka kwa wanasheria wa kizanzibari bali alikazania kuwa si hoteli wala polisi walimsaidia! Hii ni kujenga hoja kuwa wazanzibari ni watu ovyo sana.
Zainabu angeaminiwa zaidi kama angetumia huo mwaka aliokaa kimya kukusanya ushahidi kuwa kile kitendo hakikuwa isolated na kuna wengine yaliwakuta hayo hayo. Wengi wetu hatuna imani na polisi wetu na tunajua kuna watu waovu ambao wako tayari kuwatenda vibaya wanawake waliokuwa peke yao. Ila kwenye hili, Zainabu kawaangusha wenzake. Bahati mbaya kwake tunajua pia kuwa kuna wanawake ambao wanatembea na wafanyakazi wa hotelini, beach boys n.k. Kuna wanaume pia wanaofanya hivyo hivyo.
Amandla...
Highly secured Hotel ya 4 star haina hata CCTV?Eti alisikia anashikwa shikwa maziwa akidhani anaota. Au alikuwa kalewa chakali pombe zimemjaa anaota.
Mazingira ya hitel ni ngumu sana ku attemp rape.
Highly secured environment.
Wamiliki wameshatoa evidence zao nazo zimejaa Holes kibao.Surely.
Pamoja na wamiliki kutotoa evidence ila nahisi wanasubiri wana jambo lao ambo siyo lazima waweke mtandaoni.
But i believe this script was arranged in the high carefully.
Tangu umejiunga JF umewafuata wangapi?Mbona mnarahisisha sana mambo.
Hizo cost za yeye Zainab kukaa Zanzibar wakati kesi inaendelea angezilipa nani?
Waliosuggest hiyo ishu ya hela ni wale Lawyers ambao ni Wazanzibari ni kwanini msiwafate mkawauliza?
Hata kama angepewa hela bado angeendelea kuwa blackmail, Nina Shaka huenda ni extortionists. Huyo Alex ni nani kuna watu wamemfuatilia closely!?Wewe unataka justice, yeye anataka hela.. Sasa tumsikilize nani?
Na
Hotel zinaongozwa na Privacy as a top priorityHighly secured Hotel ya 4 star haina hata CCTV?
Upumbavu huu.
Kwani hao waliokuja ilikuwa ni five star?Kwa akili mgando kama hizi ndio mnaamini hotel itaendelea na shighuli zake kama kawaida.
Mtalii gani anakuja kwenye Hotel ya Single Star?
Kufanya nini?