Warere Beach Resort: Zainab Oladehinde alikubaliana na mlinzi kufanya mapenzi. Alitaka tumlipe fidia USD 10,000

Upuuzi tu, tuhuma za uhalifu wa ngono sio mpya Zanzibar.

Hao wenye hotel wanaona ni sawa wafanyakazi wao kufanya ngono na wageni?? Hakuna work ethics huko visiwani?
Mkuu kama umesoma walichosema hotel owner, kuna sehemu walimshauri huyo binti akaishitaki kampuni ya huyo mlinzi au hotel, binti kagoma.

But mlinzi siyo wa hotel na alikuwa amesha_sing off, hotel nyingi utoa tender kwa kampuni ambayo usambaza watu/security guard maeneo tofauti
.
 
Matapeli sana wanaijeria

Wangemzuia kuondoka hadi kesi iishe
 
Binafsi naaamini yule dada ni kanjanja tu alieamua kuja kusaka maisha na mchoro wake wa hadithi

Ukitafakari, mtu aliyenusurika tukio lolote ambalo la kuhatarisha maisha yake psychology haiwezekani ww u jump kuchukua simu na kuanza kurekodi matukio yote, eti ukishuka ngazi za hotel, eti umeona walinzi wameinama kwa mnele kisha uka tambaaa ili kuwakwepa.

Kwa tafakari yangu binafsi naona ni script aliyoandaa awali na alikuwa na lengo lake, sasa amekutana na upepo wa iyo filamu ya Royal tour basi amepepea nao.
 
Case closed.

Tukio limefanyika April 2021...kwanini leo?
RB no na Case no huko polisi April 21 viko wapi?.
Taarifa hizi alipeleka ubalozi wa Nigeria April 21?
Wakati wa tukio alipiga kelele.?
Kwanini mhudumu alifuata Condom na wote wanakubaliana katika hili?.
 
Tamko hayo unayosema wewe huna uhakika nayo Serikali imetoa tamko kaa kimya subiria uchunguzi usibaki unahisi hisi kitu wakati hakuna hata mmoja humu alikuwa kwenye tukio
 
CCTV camera footage pls,hao wanaija ni matapeli tu,alitaka kutengeneza pesa kirahisi,amekutana na bongo landers,
 

Which Tanzanians are inferior?Did you read, hear, check all the evidence put forward by the lady? Would you have the same opinion had it been your sister, mother, daughter?
This issue has been collaborated by the hotel, police, Russians that she took refuge to.The responsible organs need to come out and give out answers.
 
Eti mbakaji akatoka kwenda nje kutafuta condom. This stupid lady ana PhD ya uongo
Na mbakwaji akapata muda wa kupiga picha na kuangalia nani yupo reception na nextdoor...huku akimsubiria mbakaji aliyemshauri akachukue Condom.

Hahahahaha...

Waniger bhana. Ila nakuhakikishia analucky saana maana ingekuwa hii hotel ni ya wakenya angeaibishwa saana.
 
Kama mahala pa kazi kuna sera ya maadili ya kazi basi jambo hilo linapaswa kuwa mwiko. Kuruhusu tabia za hovyohivyo pahala pa kazi basi matokeo yake ndio hayo sasa, ujinga wa mfanyakazi wako mmoja unaichafua biashara yako yote.
Kuto kuruhusu haimaanishi haiwezi kufanyika. By the way huyo sio mwajiriwa wa Hotel ni mwajiriwa wa Security company ambayo imepewa tenda na hyo hotel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…