Warere Beach Resort: Zainab Oladehinde alikubaliana na mlinzi kufanya mapenzi. Alitaka tumlipe fidia USD 10,000

Unadhani Dunia nzima ni wapumbavu?
Wapumbavu ni sisi.

Yaani wenye mamlaka ya kulisafisha hili likakaa sawa wamekaa wametulia as if nothing happen.

Halafu wapuuzi wanapita mtandaoni wanaandika Zanzibar is safe.

Hivi unadhani kuna mtu mwenye akili timamu atakuja Zanzibar kwa jinsi hiyo ishu ilivyokuwa handled?

Ni mpumbavu tu ndo ataona hiyo ishu haina impact.
 
Mlinzi Ni victim wa kukosa ethics!lakini hii kitu ulikuwa planed na am sure mlinzi hakumtongoza huyo dada,akipata wapi guts za kutuingiza binti Kama huyo?huyo dada kajilengesha then kageuza kibao.... Nigerians wametuzidi speed wabongo,kaeni hapo kumtetea huyo dada!Hamna mbakwaji pale slay queen mzima akipata wapi muda wa kutongozana na mlinzi
Its sad hii comment inatoka kwa mdada.
 
Kaangalie pesa zinazotumwa na wakenya walioko mataifa mbali mbali Kenya linganisha na za watanzania
Kaangalie ni nchi gan kwa africa inaongoza kutuma ela kenya?
Au unazungumzia wale mabek3 wakikenya wanaoteseka uae ili watume pesa za chakula nyumbani
 
Wapumbavu ni sisi.

Yaani wenye mamlaka ya kulisafisha hili likakaa sawa wamekaa wametulia as if nothing happen.

Halafu wapuuzi wanapita mtandaoni wanaandika Zanzibar is safe.

Hivi unadhani kuna mtu mwenye akili timamu atakuja Zanzibar kwa jinsi hiyo ishu ilivyokuwa handled?

Ni mpumbavu tu ndo ataona hiyo ishu haina impact.
Kuna mawili unatafuta attention ya watu.
Au unachuki na wamiliki wa hotel, maana tangia jana watu wanakupa hoja, hutaki kuzipokea.
 
Wanigeria walioko nje ya Nigeria 2021 walipeleka hela nigeria kwao dola bilioni 14

Wakenya walioko nje ya kenya 2021 walipeleka hela kenya kwao dola milioni 3,718

Watanzania walioko nje ya Tanzania 2021 walipeleka hela Tanzania kwao dola milioni 500

Unaona mziki wa wa Nigeria hapo?
 
Its sad hii comment inatoka kwa mdada.
Mbona Joanah yuko sahihi kabisa.
Ameweka Wazo kuwa mlinzi alikosa ethics.

Kwa haraka haraka tunaweza kusema mlinzi alikosa ethics lakini kwa kifupi tutakuwa tinakosea. Ukija kwenye hii industry sio kosa mfanyakazi wa hoteli kumla mgeni kosa ni kulazimisha kumla mgeni.

Kwa kampuni zinajojiwlewa au niseme za kimataifa ni ruksa kumla mgeni isipokuwa ni mwiko kwenda chumbani mwake kwa kuhofia kuwa framed. Sijui kama umenielewa?

Nakuwekea code of conduct katika hilo
Screenshot_20220418-152621.jpg
 
Kuna mawili unatafuta attention ya watu.
Au unachuki na wamiliki wa hotel, maana tangia jana watu wanakupa hoja, hutaki kuzipokea.
Nimchukie mwenye hotel ili nipate nini?

Mwenye hotel mwenyewe alitoa taarifa zake na kufuta mara ngapi?

Ukiacha hilo alikuwa amefunga watu wasicomment. Hili hamkuliona kama ni redflag?

Haya akaja na utetezi kwamba mlinzi hakuwa wa ile hotel. Utetezi wa kipumbavu kuwahi kuuona.

Mnaona holes tu kwa huyo dada ila holes kwa mwenye hotel hamzioni.

Haya hotel yake ina Singe star now. Nadhani atakuwa amefurahi huko aliko.
 
Wanigeria walioko nje ya Nigeria 2021 walipeleka hela nigeria kwao dola bilioni 14

Wakenya walioko nje ya kenya 2021 walipeleka hela kenya kwao dola milioni 3,718

Watanzania walioko nje ya Tanzania 2021 walipeleka hela Tanzania kwao dola milioni 500

Unaona mziki wa wa Nigeria hapo?

Sasa wanigeria wameanza kwenda nje miaka ya zamani sasa unatufananisha na sisi ,pia idadi ya watanzania huko nje ni ndogo
 
Kaangalie pesa zinazotumwa na wakenya walioko mataifa mbali mbali Kenya linganisha na za watanzania
watu waliotakiwa kulijenga taifa lao wamekimbia nje ya nchi does sound good to you? remittance sio fid !! (Sio mitaji inayoingia kujenga nchi ni pesa ya mbogamboga myb ada ila sio mitaji
 
watu waliotakiwa kulijenga taifa lao wamekimbia nje ya nchi does sound good to you? remittance sio fid !!

Nimchukie mwenye hotel ili nipate nini?

Mwenye hotel mwenyewe alitoa taarifa zake na kufuta mara ngapi?

Ukiacha hilo alikuwa amefunga watu wasicomment. Hili hamkuliona kama ni redflag?

Haya akaja na utetezi kwamba mlinzi hakuwa wa ile hotel. Utetezi wa kipumbavu kuwahi kuuona.

Mnaona holes tu kwa huyo dada ila holes kwa mwenye hotel hamzioni.

Haya hotel yake ina Singe star now. Nadhani atakuwa amefurahi huko aliko.
Watakuja wageni wengine wataricomend na itapanda
 
watu waliotakiwa kulijenga taifa lao wamekimbia nje ya nchi does sound good to you? remittance sio fid !! (Sio mitaji inayoingia kujenga nchi ni pesa ya mbogamboga myb ada ila sio mitaji
Wako lakini Nigeria inafaidi kwa kuwapo kwao raia wao Diaspora nje ya nchi

Dola bilioni 14 kuingizwa nchini tena kipindi cha Covid19 sio utani

Sisi tunabania watu hata kuwapa Passport wakasake dola nje!!! Walete

Dola bilioni 14 haziwezi Saidia kujenga nchi?
 
Huyu mnigeria mwenzake kaamua kumpiga spana
 
watu waliotakiwa kulijenga taifa lao wamekimbia nje ya nchi does sound good to you? remittance sio fid !! (Sio mitaji inayoingia kujenga nchi ni pesa ya mbogamboga myb ada ila sio mitaji
Hawa waliopo ndani wamejenga nchi gani ? Mbona Tanzania hadi leo iko kundi la nchi maskini?
 
NEVER TRUST NIGERIANS AND FUCKING RUSSIANS

Eti aliingia chumba cha mrusi kulala tena aliwaona walinzi nje ila akaogopa wanaweza kuwa wabakaji ila akaingia Kwenye chumba cha warusi hahah kwahiyo hakuogopa kubakwa huko Hii story ina loopholes nyingi sana!
 
Back
Top Bottom